The CIA
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 479
- 479
- Thread starter
- #241
So unashauri nini?Hyo hela ndogo hata muuza maji ya mkokoteni chanika anaipata Mara tatu ya hyo kwa mwez,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unashauri nini?Hyo hela ndogo hata muuza maji ya mkokoteni chanika anaipata Mara tatu ya hyo kwa mwez,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi?We muongo mkubwa, Biashara isiyotajawa jina?? Unauza bangi?
Dah kwakwel hta mi mwenyewe sijui kwann nilipoteza muda kuleMimi sionagi nilifata nini University...
Kwa mara nyingine tena nimechaguliwa
Kusoma
bachelor of arts in economics pale UDSM.
Wakati naomba ushauri nilikuwa tayari nimeshatuma maombi ya kujiunga university.
SASA kulingana na ushauri wa walio wengi najiuliza hii chance ni ipige chini tena?
Wakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm.
Kwa bahati mbaya sikupata mkopo kutoka HESLB kwa ajili ya kuniwezesha kupata elimu hiyo ya juu,
Nikatazama nyuma na mbele nikagundua sina support kutokana na umasikini uliokithili ndani ya familia yangu,
Baada ya hapo nikachukua maamzi magum, nikasafiri kutoka mkoani mpaka jijini na nikafuta na kufuta kabisa mawazo ya hiyo elimu ya chuo kikuu kwanza kwenye ubongo wangu.
Mawazo yangu na bongo langu nikahamishia kwenye neno "ajira" nikaanza kutembeza bahasha la vyeti vyangu ya secondary kutafuta ajira hapa mjini, hata hivyo sikuweze kupata ajira baada ya kuzunguka sana na bahasha hapa jijini,. Baada ya changamoto hiyo ikanifundisha tena kubadili mawazo kutoka kutafuta ajira mpaka kutafuta "mtaji" ili nijiajiri, nikiwaza ni jinsi gani niachane na suala la kutembeza bahasha kila ofisi naonekana kama bango,
nikaamua kukusanya kamtaji kwa kuanzia na kale kale ambako nilikuwa nazunguka nako kutafuta ajira nikapiga vibarua vya hapa na pale, nikasaidia sana mafundi site mbalimbali, nikapata kamtaji, nikaachana kwanza na vibarua nikaanzisha biashara fulani.
kwa sasa biashara yangu hiyo inanilipa faida tasilimu ya shilingi laki mbili kila mwezi, na mpaka dakika hii nimeweza kukusanya ada ya kuweza kujilipia university nchini.,
Je niende chuo au niendelee na biashara yangu hii.
NB nikimuachia mtu kuisimamia hii business lazima ife ndani ya muda mfupi sana maana inahitaji kujitoa sana. Japo kulingana na hela niliyonayo cash lazima chuo nimalize bila wasiwasi kabisa..
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Signal mkuuMkuu jiunge na FOREX hiii biashara ni kiboko. Hio 200K unapiga kwa siku![]()