Nunua Vipande vya UTT-AMIS.
Ndiyo. Tena ni nzuri sana kwa sababu kuna machaguo mengi mpaka hata ya kupokea gawio kila mwezi. Nenda Ofisi kwao ukawasikilize. Utakuja kunishukuru baadaye.Mkuu hii nayo ni biashara kweli?
Kama unaweza fungua ka microfinance kadogo ukopeshe mfanoHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Nenda Mbeya wilaya ya Mbalizi kijiji kinaitwa ISUTO, nunua kahawa wanauza donya moja 300, debe 7000 mbichi na zilizokauka 10000, nunua mashine ndogo ya kuzibangua then uza kwa 50 elfu mpaka 60 kwa kampuni ya Olden iliyoko mkoa wa Songwe kijiji cha Iwowo.Habari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Uwekezaji wa wenye akili ndogoNunua Vipande vya UTT-AMIS.
Nenda mbeya wilaya ya mbalizi kijiji kinaitwa ISUTO, nunua kahawa wanauza donya moja 300 , debe 7000 mbichi na zilizokauka 10000 , nunua mashine ndogo ya kuzibangua then uza kwa 50 elfu mpka 60 kwa kampuni ya Olden iliyoko mkoa wa songwe kijiji cha Iwowo.
Ushauri tu.
TEKERI.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Nipo morogoro mjini hapa
Naferi nikuelekeze vipi ila ni lugha nimekuta huku , yaani kama umewahi ona wale walevi wa pombe za kienyeji kwa mkoa wa dar es salaam au mbeya au kagera au Mwanza vile vyombo wanavyowekewa hiyo pombe basi hizo ndiyo ndonya , ni almost ndogo kidogo kwa jagi.Donya moja ndio nini mkuu?
Okh mkuuTunaendelea. Changamoto ya morogoro ni mkoa ulikaribiana na dar kwa iyo ata upatikanaji wa vitu kwa bei rahisi ni kawaida. Morogoro kwa rahisi kufanya ni mazao uza na kununua mazao.
Ila kwa kua ulikua na pikipiki 10, unaelewa kidogo kuhusu pikipiki, kata huo mtaji mara 3 waulize vijana wako pikipiki zinakufa zaidi nini. Au fanya research zako then fungua duka la spea. Tumia hao vijana kuleta Wateja na Wateja