Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,580
Reaction score
1,773
Habari wakuu,

Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml. 15 mpaka 20.

Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.

Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.

Asanteni
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.

Assnten
 
Kama unaweza fungua ka microfinance kadogo ukopeshe mfano
100k kwa asilimia 30-40 inadependi na wewe mwenyewe hawa wanarejesha kila siku 4500 au 4000 inalipa (haikosi changamoto)

au
Fungua wakala wa bank na mitandao (tafuta location nzuri huko ulipo unaweza ukapata hapa location mbili... upae vijana waamifu na uee makini unaweza weka na gesi hapo hapo

au
Kama uko Dar fungua duka la nafaka kama ni mkoani, mkoa ulipo anza kusafirisha mchele to Dar ila uwe makini nayo.

Fungua duka ka spea za pikipiki na vifaa vingine
au
Kanunue bond UTT au BOT

Au kaweke Fixed kwenye bank inayotoa commision nono
 
Habari wakuu,

Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.

Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.

Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Nenda Mbeya wilaya ya Mbalizi kijiji kinaitwa ISUTO, nunua kahawa wanauza donya moja 300, debe 7000 mbichi na zilizokauka 10000, nunua mashine ndogo ya kuzibangua then uza kwa 50 elfu mpaka 60 kwa kampuni ya Olden iliyoko mkoa wa Songwe kijiji cha Iwowo.

Ushauri tu.
TEKERI.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Nenda mbeya wilaya ya mbalizi kijiji kinaitwa ISUTO, nunua kahawa wanauza donya moja 300 , debe 7000 mbichi na zilizokauka 10000 , nunua mashine ndogo ya kuzibangua then uza kwa 50 elfu mpka 60 kwa kampuni ya Olden iliyoko mkoa wa songwe kijiji cha Iwowo.

Ushauri tu.
TEKERI.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app

Donya moja ndio nini mkuu?
 
Nipo morogoro mjini hapa

Tunaendelea. Changamoto ya Morogoro ni mkoa ulikaribiana na Dar kwa hiyo hata upatikanaji wa vitu kwa bei rahisi ni kawaida. Morogoro kwa rahisi kufanya ni mazao uza na kununua mazao.

Ila kwa kuwa ulikuwa na pikipiki 10, unaelewa kidogo kuhusu pikipiki, kata huo mtaji mara 3 waulize vijana wako pikipiki zinakufa zaidi nini. Au fanya research zako then fungua duka la spea. Tumia hao vijana kuleta Wateja na Wateja
 
Donya moja ndio nini mkuu?
Naferi nikuelekeze vipi ila ni lugha nimekuta huku , yaani kama umewahi ona wale walevi wa pombe za kienyeji kwa mkoa wa dar es salaam au mbeya au kagera au Mwanza vile vyombo wanavyowekewa hiyo pombe basi hizo ndiyo ndonya , ni almost ndogo kidogo kwa jagi.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Tunaendelea. Changamoto ya morogoro ni mkoa ulikaribiana na dar kwa iyo ata upatikanaji wa vitu kwa bei rahisi ni kawaida. Morogoro kwa rahisi kufanya ni mazao uza na kununua mazao.

Ila kwa kua ulikua na pikipiki 10, unaelewa kidogo kuhusu pikipiki, kata huo mtaji mara 3 waulize vijana wako pikipiki zinakufa zaidi nini. Au fanya research zako then fungua duka la spea. Tumia hao vijana kuleta Wateja na Wateja
Okh mkuu
 
Back
Top Bottom