Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

Fafanua vzr mkuu hyo biashara ya nafaka inakuwaje
 
Etsy unanunua nn? Bei za Etsy unazijua unazisikia. Wallet moja inauzwa laki mbili. Enhe huku utaiuza sh ngapi?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Fungua duka la spea za pikipiki kwa mtaji huo itakulipa sn.Kama utahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara hii nitakupa maana ndo biashara yangu
 
Kumbe hizo Boda nazo pasua kichwa
 
Safi sana
 
samahan boss .. nulikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo
1. kiasi cha mtaji kinachofaa kuanzia biashara hiyo
2. mkoa au eneo linalofaa kwa hiyo biasahara
3. Eneo la kupata mzigo.
na vitu vingine naomba unielekeze tu nduguydngu kama utakua naufaham kuhusu ilo ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…