kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Muongozo wako kwa ili kiongoziIDO, BASE OIL, CONDI SET, SLAGE NA OIL CHAFU huko ni pesa tupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muongozo wako kwa ili kiongoziIDO, BASE OIL, CONDI SET, SLAGE NA OIL CHAFU huko ni pesa tupu
Mkuu haya umeandika kifupi sana..ila naamini yana details za kutosha.IDO, BASE OIL, CONDI SET, SLAGE NA OIL CHAFU huko ni pesa tupu
MC kwenye sherehe. Mtaji suti na Microphone hainaga Kodi za TRAHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Fafanua mkuu MshanaIDO, BASE OIL, CONDI SET, SLAGE NA OIL CHAFU huko ni pesa tupu
Soko linapatikanaje mkuu? Na malighafi yananunuliwa wapi?kawombe Ntemii
Base oil, OBM na condiset ni mafuta yanayotumika kwenye kuchoronga miamba wakati wa utafiti na gesi na mafuta ardhini na baharini.. Yakishatumika huwa na matumizi mengine mbadala viwandani
Slage (sina hakika na spelling) ni mabaki ya mafuta meli za mafuta zinaposhusha mafuta, pia inapatikana kwenye yale matank makubwa ya kuhifadhia mafuta
Oil chafu inajulikana
IDO ni industrial Diesel Oil inayopatikana kupitia mvuke wa tairi zilizochomwa
Ungefafanua juu ya hizo changamoto ili wadau wajifunze na wakupe idea zao..Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
NUNUA ARDHI IPIME KISHA UZA VIWANJA UTAZALISHA MARA DUFU NA HAINA HASARA TOFAUTI NA BIASHARA NYINGINE YOYOTEHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Hii idea iko nje ya guidelines za uzi lakini ntachangia kidogo.Njoo na hela ndogo kwanza nikufundishe Namna ya kuflip pallets za kutoka Amazon kwa huku Africa.
Nenda YouTube jifunze Namna ya how to flip liquidation pallets and make money then nitakwambia wapi ukanunue kwa Bongo utengeneze pesa ambayo itakushangaza. Uje uanze na million tu! Then utaona direction yako inakupeleka wapi.
Nimepiga pesa saana, kwenye Hii arena na na Hadi muda huu sitoi ramani kirahisi Hadi nitoboe ili watu wasiwe wengi tukaflood market.
It's a multi billion dollar business.
Mkuu mlozi Mshana JrSoko linapatikanaje mkuu? Na malighafi yananunuliwa wapi?
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
hizi ndo hoja sasa za kusaidia watuNenda Mbeya wilaya ya mbalizi kijiji kinaitwa ISUTO, nunua kahawa wanauza donya moja 300 , debe 7000 mbichi na zilizokauka 10000 , nunua mashine ndogo ya kuzibangua then uza kwa 50 elfu mpka 60 kwa kampuni ya Olden iliyoko mkoa wa Songwe kijiji cha Iwowo.
Ushauri tu.
TEKERI.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
hii pesa ni nyingi sana kiasi kwamba kwa mwezi inaweza ingiza ml 3 kwa makadilio ya chini kama utaanzisha biasharq yq nafaka kwa kununua na kuuza kwa bei ya jumla! ninaifanya na ninaona matunda yake, mm ni mfanyakazi hvyo siend kununua mm ila kuna jamaa anafata mzgo analeta tunauza ni mwz wa pil sasa na nmeanza tayar bei ikiwa juu lkn nashukuru mungu sanaHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Asanteni
Mimi nataka niifanye hiyo ya kuwapa bodaboda pikipik Kwa mikataba, nisaidie changamoto na faida zake tafadharHabari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml.15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa ya kwake, hii biashara kwangu ishakuwa changamoto sana.
Naombeni mawazo yenu mbali mbali kwa biashara ipi naweza kufanya maana mimi sio mzoefu ya biashara nyingi nilikuwa kwenye biashara moja tu, najua kwa ushauri wenu naweza kupata pakuanzia na kila changomoto kwa biashara husika.
Assnten
Nimejaribu kukufuata PM, nimeshindwa, system inaniambia I don't have enough permission to PM. Please nicheki PM kuhusu sources zinazo weza kuwa profitable kwa BongoNjoo na hela ndogo kwanza nikufundishe Namna ya kuflip pallets za kutoka Amazon kwa huku Africa.
Nenda YouTube jifunze Namna ya how to flip liquidation pallets and make money then nitakwambia wapi ukanunue kwa Bongo utengeneze pesa ambayo itakushangaza. Uje uanze na million tu! Then utaona direction yako inakupeleka wapi.
Nimepiga pesa saana, kwenye Hii arena na na Hadi muda huu sitoi ramani kirahisi Hadi nitoboe ili watu wasiwe wengi tukaflood market.
It's a multi billion dollar business.
hii pesa ni nyingi sana kiasi kwamba kwa mwezi inaweza ingiza ml 3 kwa makadilio ya chini kama utaanzisha biasharq yq nafaka kwa kununua na kuuza kwa bei ya jumla! ninaifanya na ninaona matunda yake, mm ni mfanyakazi hvyo siend kununua mm ila kuna jamaa anafata mzgo analeta tunauza ni mwz wa pil sasa na nmeanza tayar bei ikiwa juu lkn nashukuru mungu sana
Kama hiyo ya kuwakopesha watu ndio uwendawazimu kabisa,kipindi hiki sio cha kuwapa watu pesa halafu usubirie wakurudishie.Biashara zote ulizomshauri hapa ni biashara kichaa
Hii post imenichekesha sana hasa hapo mwishoni imekaa kimtegomtego sana.Njoo na hela ndogo kwanza nikufundishe Namna ya kuflip pallets za kutoka Amazon kwa huku Africa.