Biashara yenye pesa nyingi na faida kubwa kama kuuza majeneza na marashi yake.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.

Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na TRA.

Tulienda kununua marashi kwa ajili ya marehemu bei tuliyopewa ni laki inauzwa.
 
Sasa mtaji wake si utakuwa mkubwa sana? Maana kuna majeneza ya gharama kubwa kutokana hadhi ya mtu na wajihi wake. Yapo mpaka majeneza ya saprasi ya bei ndogo. Majeneza ya siku hizi karibia yote yana vikorombwezo vingi vya bei mbaya
 
Kumbuka bei ndogo si chini ya laki hata vile vibaya unadhani watauza efu50 unauliza bei unaambiwa laki unusu
 
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.

Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na TRA.

Tulienda kununua marashi kwa ajili ya marehemu bei tuliyopewa ni laki inauzwa.
Nitajie tajiri wa dunia au hata wa Tanzania anayefanya biashara kichaa kama hiyo
 
hilo jeneza la laki na nusu si litakuwa la hovyo na hadhi ya chini?
After all mtu ameshakufa coffin iwe ya pesa ndogo ama kubwa haitaeza fanya mabadiliko ni basi tu kwa hali ya kawaida ukitafakati haileti maana sana
 
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.

Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na TRA.

Tulienda kununua marashi kwa ajili ya marehemu bei tuliyopewa ni laki inauzwa.
We jamaa ukifungua hii biashara utakua unaombea tufe kila siku 😅😅😅
 
Back
Top Bottom