Kumbuka bei ndogo si chini ya laki hata vile vibaya unadhani watauza efu50 unauliza bei unaambiwa laki unusuSasa mtaji wake si utakuwa mkubwa sana? Maana kuna majeneza ya gharama kubwa kutokana hadhi ya mtu na wajihi wake. Yapo mpaka majeneza ya saprasi ya bei ndogo. Majeneza ya siku hizi karibia yote yana vikorombwezo vingi vya bei mbaya
Mimi Acha Nipambane Na Kwaresma Lakini Baadae Lazima Kwenye Kufungua,,Nichape Mwili wa Kristu Rosti Kg 1.5 Na Juisi Ya Ubuyu,,Kuusindikiza Uzi Wa MdauAisee sikutegemea kuwaza mambo ya KIFO weekend ya leo nilipanga ninywe safari bia
hilo jeneza la laki na nusu si litakuwa la hovyo na hadhi ya chini?Kumbuka bei ndogo si chini ya laki hata vile vibaya unadhani watauza efu50 unauliza bei unaambiwa laki unusu
Maisha ni kuchaguaKwa hiyo mnamzika ndugu yenu na suti ya laki 5 viatu laki 1 jeneza laki 8 halafu baada ya siku 3 mwili unaanza kuoza na kuliwa na mafunza,hamuoni huu kaka ni ujinga?
Nitajie tajiri wa dunia au hata wa Tanzania anayefanya biashara kichaa kama hiyoUwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.
Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni.
Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu bajeti ya mazishi sababu wapo kwenye majonzi.
Kwa haraka haraka wauza majeneza hawakadiliwi kodi na TRA.
Tulienda kununua marashi kwa ajili ya marehemu bei tuliyopewa ni laki inauzwa.
After all mtu ameshakufa coffin iwe ya pesa ndogo ama kubwa haitaeza fanya mabadiliko ni basi tu kwa hali ya kawaida ukitafakati haileti maana sanahilo jeneza la laki na nusu si litakuwa la hovyo na hadhi ya chini?
We jamaa ukifungua hii biashara utakua unaombea tufe kila siku π π πUwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana.