Sasa kama ni hivyo inamaana hata hao wanaokuja kushawishi watu watoe pesa nap wanatapeliwa. Inaonekana kuna kikundi cha watu wachache sana ndani au nje ya nchi waliobuni hii biashara ndio wanafaidika na mtandao huuHii ni point mkuu mafanikio yao yapo kina nadharia zaidi, utawaona wamevaa suti uchwara. Wameshika pesa na kupiga nazo picha lakini ukija katika maisha yao halisi wapo kawaida tu.
Mfano huyo jamaa wa Qnet ambayo kiingilio ni zaidi ya milioni nne. Ilifika hatua anatuma screenshot ya balance yake iliyo bank alikuwa na around milioni 3.7. Sikutaka kuwa mwepesi kuamini kuwa ile pesa imetokana na hiyo biashara, nikataka athibitishe kwa kunitumia bank statement ili nione vyanzo vya hiyo pesa. Ili nijiunge alishindwa kufanya hivyo.
Mkuu itakuchukua muda kuelewa mfano hiyo qnet. Lkn angalau umepata mwanga flani kuwa hizi biashara zipoje.I also have strong feelings that this is a scam lakini sina hoja zenye mashiko kuwaambia hii utapeli wake uko hivi au vile
Jibu ni NDIYO.Sasa kama ni hivyo inamaana hata hao wanaokuja kushawishi watu watoe pesa nap wanatapeliwa. Inaonekana kuna kikundi cha watu wachache sana ndani au nje ya nchi waliobuni hii biashara ndio wanafaidika na mtandao huu
Wala usipate shida, hapa hapa nitatoa maelezo ya QNET wanavyofanya kazi zao, maana wapo jamaa kadhaa waliingia mkenge kujiunga huko wakalizwa hatari.Kwa qnet kidogo napata kigugumizi, sababu aliyetaka kuni unganisha hakuwa muwazi sana. Ila alliance nilielezwa kwa kina.
Kama utahitaji maelezo labda nikuunganishe na huyo jamaa ambae yeye tayari ni member wa qnet labda waweza ng'amua jinsi inavyo fanya kazi ukimdadisi vizuri.
Kwa hapa jukwaani sina hakika kama yupo atakae funguka vizuri kuhusu hizi biashara. Maana wengi wao huwa sio wawazi sana. Sentensi yao kuu ni kwamba uende ofisi zao zilipo ili kupata maelezo zaidi. Na ukifika narudia ukiwa na tamaa basi waweza jitosa maana jamaa wanaushawishi mkubwa.
Hata mtoa mada ameeleza hapo kuwa sio utapeli ila ukishatoa pesa,ili wewe upate pesa basi utahitaji kufanya juhudi kubwa, yani kila mtu kwako utamuona ni fursa.
Experience niliipata kwa hawa Alliance in motion.
Mkuu ubarikiwe sana sana hakika umepita mule mule.Wala usipate shida, hapa hapa nitatoa maelezo ya QNET wanavyofanya kazi zao, maana wapo jamaa kadhaa waliingia mkenge kujiunga huko wakalizwa hatari.
-Kifupi kabisa, msingi wao mkuu ni ule ule kama Forever Living, Alliance in motion nk, zote ni PYRAMID SCHEME (Yaani wachache wanaotangulia kujiunga wanavuna zaidi kupitia migongo ya wengine wengi wanaofuata nyuma yao katika mnyororo) Katika hilo hakuna tofauti.
-Kuna gharama(mtaji) wa chini wa kujiunga, ambazo kwa sasa ni zaidi ya shilingi 4.5milioni. Bila hicho kiasi kukilipa kwa mara moja huwezi kujiunga na QNET. Wao watakwambia sio gharama za kujiunga bali ni pesa yako unayotumia kununua bidhaa au huduma za Qnet! (Hapo utaambiwa bidhaa zenyewe ni Saa ya mkononi, Pafyumu, kulala kwenye hoteli kali ya kitalii huko Asia nk.)
-Kamwe hawatakwambia kinagaubaga biashara yao kirahisi mtaani, lazima watakuita uje kwenye ofisi zao(ndani ya chumba maalum!), hapo watajipanga watu kadhaa kukufanyia 'brain washout' na kukupa maelezo marefu mazuri na matamu ya kukufanya uwe milionea kupitia Qnet kwa muda mfupi na bila kuhangaika kabisa, na hicho kitu watakifanya kwa ustadi mkubwa sana, kwa hatua au siku kadhaa kabla ya kukwambia utoe pesa kujiunga. (Wakati wote huo watakwambia hiyo ni secret opportunity, usiulize mtu mwingine yoyote wala kusema sema kwa watu ovyovyo!).
-Sasa ukishajiunga tu na Qnet kwa kutoa zaidi ya 4.5milion ndio akili inafunguka na kujua kuwa umelizwa au kugundua kuwa umelionea siyo kitu kirahisi kabisa, sasa mtu ndio anahangaika kutafuta 'wajinga' wengine kadhaa ili wajiunge kwenye mnyororo wake ili kuanza kufidia kile ulicholizwa, na hapo inakuwa ni suala la kufa na kupona.
Kwa leo niishie hapa......
Asante sana mkuu nitafanya hivyo. Dakika chache zilizopita sister katoka kunipigia, kumbe kuna pesa 4.5m walishalipa kwa ajili ya degree course(undergraduate) ya online inayoendeshwa na na University moja inaitwa Quest University ipo Malaysia( ambayo ni Education Institution ya iliyo chini ya hao Qnet). Mtoto wa sister yupo UD mwaka wa kwanza sasa anataka kusoma online degree nyingine through hao QnetMKUU,NAKUOMBA KWA NGUVU ZUIA HILI JAMBO AISEE,
NAKUOMBA TENA MKUU,MUAMBIE HUYO BINTI ASIFANYE HILO JAMBO,SIO JAMBO JEMA KABISA
Hao jamaa ni hatari.Mkuu ubarikiwe sana sana hakika umepita mule mule.
Ukienda kwenye ofisi zao umeisha kama huna akili ya ziada. Wapi vizuri kwenye ushawishi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao jamaa ni hatari.
Ni kikosi kazi kamili.
Huwa wanamsoma kwanza mtu anayeletwa kuja kupigwa somo la kujiunga. Wakijua wewe ni mtu wa kidini, basi watajipanga hadi angle za kidini, wakijua wewe ni mtu kisayansi wataweka kikosi cha watu wanaojua sayansi, kama wewe ni mtu wa kiheshima basi utashaanga unakutana na kikosi kazi za waheshimiwa siku hiyo.
Hapo ni mwendo wa Good morning!!!!!
Duh [emoji2811]Asante sana mkuu nitafanya hivyo. Dakika chache zilizopita sister katoka kunipigia, kumbe kuna pesa 4.5m walishalipa kwa ajili ya degree course(undergraduate) ya online inayoendeshwa na na University moja inaitwa Quest University ipo Malaysia( ambayo ni Education Institution ya iliyo chini ya hao Qnet). Mtoto wa sister yupo UD mwaka wa kwanza sasa anataka kusoma online degree nyingine through hao Qnet
Kanitumia risiti ya hela waliyolipa bank naona kama ni malipo ya manunuzi ya commodities yaani hata haieleweki. Sasa mtoto ndio anawashinikiza wazazi wajiunge kununua products ili eti watengeneze pesa!
Huyo binti hapo ndio tayari keshalizwa na Qnet. Ndivyo inavyokuwaga hivyo.Asante sana mkuu nitafanya hivyo. Dakika chache zilizopita sister katoka kunipigia, kumbe kuna pesa 4.5m walishalipa kwa ajili ya degree course(undergraduate) ya online inayoendeshwa na na University moja inaitwa Quest University ipo Malaysia( ambayo ni Education Institution ya iliyo chini ya hao Qnet). Mtoto wa sister yupo UD mwaka wa kwanza sasa anataka kusoma online degree nyingine through hao Qnet
Kanitumia risiti ya hela waliyolipa bank naona kama ni malipo ya manunuzi ya commodities yaani hata haieleweki. Sasa mtoto ndio anawashinikiza wazazi wajiunge kununua products ili eti watengeneze pesa!
Kweli kabisa mkuuMkuu itakuchukua muda kuelewa mfano hiyo qnet. Lkn angalau umepata mwanga flani kuwa hizi biashara zipoje.
Dah kuna watu ni wapigaji professional aisee, tena hasa wazungu kitu illegal wanakitengeneza kinakua kama legit kabisaJibu ni NDIYO.
Ila wanatumia saikolojia kubwa sana kukuaminisha kuwa wewe ndie mnufaika zaidi kuliko pesa ambayo umewapelekea.
Hao wazazi ni wajinga,samahani lkn.Asante sana mkuu nitafanya hivyo. Dakika chache zilizopita sister katoka kunipigia, kumbe kuna pesa 4.5m walishalipa kwa ajili ya degree course(undergraduate) ya online inayoendeshwa na na University moja inaitwa Quest University ipo Malaysia( ambayo ni Education Institution ya iliyo chini ya hao Qnet). Mtoto wa sister yupo UD mwaka wa kwanza sasa anataka kusoma online degree nyingine through hao Qnet
Kanitumia risiti ya hela waliyolipa bank naona kama ni malipo ya manunuzi ya commodities yaani hata haieleweki. Sasa mtoto ndio anawashinikiza wazazi wajiunge kununua products ili eti watengeneze pesa!