Biashara za mitandao (kuunganishana) zinavyowaliza first year vyuoni

Biashara za mitandao (kuunganishana) zinavyowaliza first year vyuoni

UKIONA UNAITWA KWENYE FURSA BASI UJUE WEWE NDO FURSA YENYEWE

_FOREVER LIVING
_QNET
_AIM GLOBAL
_SMILE WE CARE
_FAHARI CASH COIN

HAO WOTE NI KUNDI MOJA,SEMA TU WANATOFAUTIANA KUTOKANA NA ADA YA KIINGILIO
 
Asante sana mkuu nitafanya hivyo. Dakika chache zilizopita sister katoka kunipigia, kumbe kuna pesa 4.5m walishalipa kwa ajili ya degree course(undergraduate) ya online inayoendeshwa na na University moja inaitwa Quest University ipo Malaysia( ambayo ni Education Institution ya iliyo chini ya hao Qnet). Mtoto wa sister yupo UD mwaka wa kwanza sasa anataka kusoma online degree nyingine through hao Qnet

Kanitumia risiti ya hela waliyolipa bank naona kama ni malipo ya manunuzi ya commodities yaani hata haieleweki. Sasa mtoto ndio anawashinikiza wazazi wajiunge kununua products ili eti watengeneze pesa!
Apo mtoto kashajiunga kazi itakua kupata watu wengine kuwashawish ili na yy apate iyo commission ya usd 200, kazi ni kupata hao Watu watakao weza kutoa izo ml 5
 
Mimi nilikoswakoswa, jamaa yangu aliniambia ukiweka M10 utapata faida kubwa na kwenye maisha yako hutonisahau. Lakn hadi leo yeye ni bodaboda. Huwa najiuluza nisingemsahau kwa hasara aliyonipa. Juz juz anakuja nimuazime kilo 1.
Ha haaaaa
Mkuu hii post imenifanya nicheke peke yangu kama chizi........ ama hakika usinge msahau kupoteza 10m kirahisi hivyo

Mi kuna kadada kamoja kaliniganda na issue hizo wakati najua kabisa huu ni ujinga
Nikaona dawa yake ndogo... nikakatongoza kakapotea mazima
 
kuna mwamba amejiunga akamuunga na mkewe[emoji16][emoji16],jamaa ana roho ngumu yule.

halafu mkewe kisu,sijui amewaza nini[emoji1787][emoji1787]
 
Jaman mm nimebakia tu kujiunga na ALLINCE IN MOTION GLOBAL na anaenshawishi ni class mate wangu nliegraduate nae. Ananambia iko poa sana na nimehudhuria semina na mafunzo yao kibao na bidhaa zao nazijua A - Z asa nlikosa pesa tu mana ada yao ni laki 5. Jaman mpaka saiv anaendelea kunshawishi ila ni pesa tu sikuwa nazo, jaman hebu anaefaham kidogo pia nae aniokoe hapa nsitumbukie.
Achana nazo kama unapesa bora ukasaidie ndugu zako au wazaz wako upate baraka.
 
1. NI WAONGO SANA.
2. KAMWE HAWAKUELEZI UHALISIA WA BIASHARA.
3. QNET SIO BIASHARA YA MTANDAO (ONLINE BUSINESS) KAMA WANAVYODAI. NI BIASHARA YA KUTEMBEA KWA MIGUU MTAA KWA MTAA UKIPIGWA NA VUMBI HUKU UKITAFUTA WATU WA KUJIUNGA KWENYE BIASHARA.
4. MATAJIRI WANAOWATOLEA MFANO MARA ZOTE WAMEFANIKIWA KWA KUPITIA NJIA NYINGINE NA KAMWE SIO QNET.NI KWELI KUNA ONLINE BUSINESS LAKINI SIO QNET. NI KWELI NI MATAJIRI WAKUBWA SANA DUNIANI LAKINI HAWAKUFANIKIWA KUPITIA QNET.
5. HUWEZI UKAKUTANA NA MTU WA QNET AKAKUPA HATA SHILINGI 1000 AU AKAKUSAIDIA FEDHA KIASI FULANI AU HATA KUKUNULIA SODA. HAWANA HELA NA KAMA WANAZO ZIMETOKANA NA SHUGHULI NYINGINE.
7. WENGI WAO WANADAI WALIACHA KAZI NZURI SANA NA KUJIUNGA NA QNEI. SIO KWELI HATA KIDOGO KWANI WENGI WALIACHISHWA KAZI AU MKATABA KUISHA AU KUPATA CHANGAMOTO NYINGINE KAZINI.
USIDANYANYIKE UKAACHA KAZI YAKO HATA SIKU MOJA.
9. WAKIKUITA KWENYE PRESENTATION ZAO NENDA WASIKILIZEA LAKINI WAULIZE MASWALI YA AKILI( LOGICAL QUESTIONS)
9. OFISI ZAO HATA SIKU MOJA HAZINA BANGO AU ALAMA YEYOTE, HAZINA ANUANI WALA NAMBA ZA SIMU.
10. QNET NDIYO KAMPUNI INAYOOGOZA KWA KASHFA ZA UTAPELI DUNIANI,M UHALIFU KAMA TUHUMA ZA MAUAJI, UTEKAJI NYARA N.K. BAADHI YA MAAFISA WAMEKAMATWA, KUSHTAKIWA NA KUFUNGWA.
11. QNET IMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI DUNIANI.
In Saudi Arabia, network marketing was banned after complaints about companies including Tvi and Qnet.[180]
Many Georgians took credits from commercial banks to buy Qnet products ranging from $500-$3,000 and claimed that they were defrauded.[181]
The Central Investigation Bureau of Nepal in June, arrested 102 Qnet IRs on fraud charges. Some IRs received had as much as Rs 1 million.[182][183][184]
The Jijel province of Algeria dismantled Qnet's network, alleging that recruits were promised trips abroad.[185] 15 women suspected to belong to Qnet were arrested in Annaba State.[186] In Mostaganem three IRs were arrested.[187]
Indonesia included Qnet on its list of bogus companies.[188][189][190][191] Four Qnet IRs were arrested for the murder of a Go Car driver.[192][193] Qnet claimed that the company was not involved.[194] In July 2017, at least 19 teenagers who had joined Qnet were evacuated from a shelter in Simo Boyolali Indonesia and returned to their parents.[195][196][197] They had been attempting to sell worthless products such as Chakra for Rp 8 million.[198] Similar cases of alleged fraud occurred in Sambi district.[199][200] Police raided a rented house in Tray district, finding 20 men and 4 women. Two of their leaders were questioned by the police.[201][202] In Jambi City detained 48 Qnet members for disturbing neighbors.[203] Dozens of youth were recruited in Kartosuro Sukoharjo Regency.[204]
In Maharashtra a Court stated that Qnet operations were not legal.[205] In February Delhi High Court, dismissed a petition to quash aFirst Information Report describing Qnet as a scam.[206] In March forty-seven IRs were arrested and multiple bank accounts were frozen.[207] In April the Enforcement Directorate provisionally seized Qnet properties worth over 150 crore.[208][209] In May, the Economic Offences Wing Mumbai announced that a unit would be formed to compensate Qnet investors pending a court order.[210] IRs were arrested in Kerala,[211][212] Thiruvananthapuram,[213] Meerut[214] and Kochi.[215] Complaints were lodged in Hyderabad, Madhapur[216] and Mumbai.[217]
In Fardis Iran eight Qnet IRs were arrested for counterfeiting and fraud.[218][219]
France 24 television investigated Questnet.[220]
More than 100 youth from Togo were taken hostage under the banner of Qnet in Côte d'Ivoire.[221]
Four Qnet IRs were arrested for allegedly recruiting 580 youth in Kumasi Ghana. The recruits were asked to pay 3,100 Ghanaian Cedi.[222][223]
In Sri Lanka three Qnet-related schemes were investigated. The company was ordered to stop its activities.[224]
2019
In India Qnet faced legal action and/or arrests in Kukatpally,[278] Cyberabad,[279][280][281][282][283][284][285][286] Bangalore,[287][288][289][290][291] Hyderabad,[292] Goa,[293] Rajasthan,[294] Telangana[295] and Powai.[296] Cyberabad police began investigation of the suicide of a former techie owing to alleged losses suffered after investing Indian Rupee 25 Lakh in Qnet Ponzi scheme. He had enrolled six members and was under extreme pressure to enroll more members, his family claimed.[297][298] The police have written to several investigating agencies including Reserve Bank of India,Enforcement Directorate, Income Tax Department,Serious Fraud Investigation Office,Registrar of Companies, India about how the firm was running Ponzi schemes and have created thousands of investors across the country.[299] A man in Chennai committed suicide after being tricked to invest INR 8 Lakhs in Qnet multi level marketing company by his cousin.[300] A software engineer in Navi Mumbai allegedly committed suicide although his brother refuted his friends claims that he was depressed following losses from an investment of INR 2.5 Lakhs in Qnet.[301][302] The Registrar of Companies in Karnataka had inspected the books of Vihaan Direct Selling Pvt Ltd, a franchise of QNet, and based upon the report, it had filed winding up petition before the National Company Law Tribunal.[303] Ministry of Corporate Affairs official communication stated that Lookout circulars were issued against 12 persons associated with the company as directors or promoters.[304] 70 people were arrested and 38 cases registered against the company in different police stations.[305] People in Odisha had registered a complaint with the Economic Offences Wing against QNet for allegedly cheating them of lakhs of rupees.[306] A former member of QNet who launched his own multi-level marketing firm after he lost 13 lakhs rupees in QNet scheme was arrested by Cyberabad police for running a money circulation scheme.[307][308] Three persons in Kerala were arrested by Payyanur police after complaint was filed by a person who was asked to invest in the company.[309]

In Indonesia, in Malang in separate incidents, police rescued individuals allegedly held captive by Qnet personnel.[310][311][312] Six youths claimed to be victims of QNet multi level marketing business who were promised of job placement with a salary of Rp 3 million per week but first had to deposit an initial capital of Rp 9.5 million per week to join QNet. They revealed that they were taught to recruit atleast two downlines in order to reap profits but the money paid to join cannot be withdrawn later.[313][313] Lumajang Police arrested the director of PT Amoeba International affiliated with PT QNet for running business as a money game system using the pyramid mechanism.New members who joined Qnet were required to find two new members in which each left and right leg of the pyramid will continue to branch off.[314][315][316] Lumajang Police Chief explained that in a pyramid scheme, even if there are goods, actual sale of goods is just a cover. Almost 87 percent people lose their money, which is why it is prohibited in many countries. [317][318] Thousands of people along with dozens of victims of QNet pyramid scheme descended on the roads to support the police chief and the cobra team to investigate the fraud.[319][320]

Channel 31 (Kazakhstan) reported that in Karaganda region one person had to undergo treatment after joining Qnet.[321]

In Conakry, Guinea, 100 people were arrested for involvement with Qnet.[322]

In Sierra Leone investigations of Qnet were demanded by IRs claiming they had been defrauded.[323]

In Senegal a dozen IRs were arrested along with two company executives.[324][325]

In a public press conference, the Director, National Agency of Financial Investigations in Chad declared Qnet as a criminal enterprise and asked the public to remain vigilant. The pyramid scheme had extorted 91 million Central African CFA franc from vulnerable groups in over 4 years.[326][327]

Over 100 people from Togo became victim to a big scam called Qnet. They were told by friends that they found jobs in Ghana with a monthly salary of 300,000 CFA franc but were instead made to pay 500,000 CFA franc for training. The victims without knowing the name of the company, sold things, mobilized the money and went into debt,only realizing later that they have joined Qnet against their will.[328][329]

213 nationals belonging to Mali were found to be victims of a scam network in Abidjan in Ivory Coast where each Malian had paid the sum of 3,00,000 to 20,00,000 CFA franc.[330][331][332]

In Ghana about 50 foreigners who were employees of Qnet, were deported for not having resident permits.[333][334][334]

Police in Alborz Province of Iran arrested 13 members of the pyramid company Qnet who were recruiting people where each invested 200 million Iranian rial. They were later sent to prison.
 
Habari, karibu ndugu msomaji Leo tutaangazia kwa uchache namna biashara za kuunganishana ( biashara za mitandaoni kama wanavyoziita wao)
Hizi sio zile zakuuza bidhaa online kama wafanyavyo Al-Baba, Amazon, E-bay au jumia Bali hizi nizamifumo ya kuunganishana na zitakuwa pyramid in shape yani nikijiunga Mimi nakushawishi na wewe unajiunga chini yangu.

Kwa baadhi ya nchi ni haziruhusiwi na niharamu, kama ilivyo kwa michezo ya kubahatisha, na hata matangazo yake hayaruhusiwi kutangazwa katika vitengo vya matangazo ya mitandao mikubwa kama Facebook ads na google AdWords.

Unachotakiwa kufanya nikujiunga na kisha kutafuta watu wakujiunga chini yako na Mara nyingi kiasi cha kujiunga huwa nikikubwa hadi kufikia 600,000+

Ukishajiunga unaanza kuhangaika kutafuta watu wakuwaunganisha na kuwadanganya kama ulivyo danganganywa. Simaanishi kuwa ni utapeli Bali ni mfumo mgumu na unaoumiza na unaendeshwa kwa uongo yani nilazima udanganye ili upate wafuasi mfano " nimejiunga Nina wiki mbili maisha yangu yamebadilika kabisa na hapo umevaa suti yakuazima na hujui Utakuta nini maana siwashachomoka na na Laki zako haha!

Sasa hawa jamaa wamejikita sana vyuoni na kuwasubiri wale mwaka wakwanza ili kuwaingiza mkenge na kuwaacha wakilia.
Ushawishi mkubwa hutumika kuwadanganya Bila kueleza wazi ugumu wa mfumo.

Watakwambia baada ya mwezi utanunua gari. Haha!

Na mengineyo mengi kukutamanisha. Ukisha jiunga sasa ndio utaanza kuonja joto yajiwe.

Wito kwa watanzania
Anayekushawishi kujiunga na kitu chochote mwambie akwambie madhara yake tuu faida utazipata kwa kutafuta taarifa zingine wewe mwenyewe.

Namshukuru sana padri simplis wa france, maana Mimi nilishawishiwa kidogo niingie mkenge lakini Huyu father alinieleza hii ni black market na anayefanikiwa ni yule wa mwanzo( jaribu kuchora pyramid utaelewa nachoeleza)

Wito kwa serikali.

Hizi biashara zinapaswa kuundiwa bodi ya udhibiti kama ilivyo betting Tena pengine yenye nguvu zaidi

Onyo Kwako usisikie maneno kuwa " Nina project nahitaji watu 20 wanafanya nao kazi hahaha! Au kuna project sijui ikishirikiana na nmb

Fanya real business utafanikiwa
Kwaheri
Share ujumbe kwa watu wako wanguvu.
Nilipigwa na Deci kipindi hicho niko mwaka wa pili sitasahau. Halafu mbaya Zaidi nilikosa hadi nauli ya kunirudisha mkoa. Hadi leo ninazo tiketi tano za desi nilizolipia elfu hamsini CRDB posta.
 
1. NI WAONGO SANA.
2. KAMWE HAWAKUELEZI UHALISIA WA BIASHARA.
3. QNET SIO BIASHARA YA MTANDAO (ONLINE BUSINESS) KAMA WANAVYODAI. NI BIASHARA YA KUTEMBEA KWA MIGUU MTAA KWA MTAA UKIPIGWA NA VUMBI HUKU UKITAFUTA WATU WA KUJIUNGA KWENYE BIASHARA.
4. MATAJIRI WANAOWATOLEA MFANO MARA ZOTE WAMEFANIKIWA KWA KUPITIA NJIA NYINGINE NA KAMWE SIO QNET.NI KWELI KUNA ONLINE BUSINESS LAKINI SIO QNET. NI KWELI NI MATAJIRI WAKUBWA SANA DUNIANI LAKINI HAWAKUFANIKIWA KUPITIA QNET.
5. HUWEZI UKAKUTANA NA MTU WA QNET AKAKUPA HATA SHILINGI 1000 AU AKAKUSAIDIA FEDHA KIASI FULANI AU HATA KUKUNULIA SODA. HAWANA HELA NA KAMA WANAZO ZIMETOKANA NA SHUGHULI NYINGINE.
7. WENGI WAO WANADAI WALIACHA KAZI NZURI SANA NA KUJIUNGA NA QNEI. SIO KWELI HATA KIDOGO KWANI WENGI WALIACHISHWA KAZI AU MKATABA KUISHA AU KUPATA CHANGAMOTO NYINGINE KAZINI.
USIDANYANYIKE UKAACHA KAZI YAKO HATA SIKU MOJA.
9. WAKIKUITA KWENYE PRESENTATION ZAO NENDA WASIKILIZEA LAKINI WAULIZE MASWALI YA AKILI( LOGICAL QUESTIONS)
9. OFISI ZAO HATA SIKU MOJA HAZINA BANGO AU ALAMA YEYOTE, HAZINA ANUANI WALA NAMBA ZA SIMU.
10. QNET NDIYO KAMPUNI INAYOOGOZA KWA KASHFA ZA UTAPELI DUNIANI,M UHALIFU KAMA TUHUMA ZA MAUAJI, UTEKAJI NYARA N.K. BAADHI YA MAAFISA WAMEKAMATWA, KUSHTAKIWA NA KUFUNGWA.
11. QNET IMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI DUNIANI
Post yako imenipa mwanaga na kunifungua macho mkuu. Nimepata nondo za kwenda kuongea na shemeji, sister na huyo binti mpwa wangu ili kum discourage aachane kabisa na hiyo habari aweke nguvu kwenye masomo yake, shukran sana mkuu
 
Naamini humu wapo member ambao wapo kwenye hizo biashara, lakini hatuoni positive comments, zaidi ya Negative comments kuhusu hizo biashara.

Mwenye macho haambiwi tazama, sisi tulio salimika tuwe vinara kuwafungua macho ambao hawana elimu yoyote kuhusu hizi biashara za kihuni.
 
Hizi mambo zilinikosanisha na watu..
Mimi niliungwa nikatoa pesa yangu. Na mimi nikatafuta wanyonge wangu watano nikawaunga wakanipa pesa.
Sasa tatizo likaja pale kwa wale watano niliowaunga wao wakakosa watu..

Baada ya muda wakaona mimi ndo tapeli nimewapiga wakaanza kunidai..
Mimi mwenyewe siwezi kuwapa pesa yao sababu na mimi niliungwa nikatoa pesa
Inamaana ningelipa mimi ndio ningekula loss.

Basi nikawa mbuzi tu sikuwalipa.. waliniandama kinoma lakini mwisho wa siku wakabaki kununa tu na hela nikaitafuna.

Baada ya hapo nikisikiaga mambo ya biashara za hivyo huwa hata siwasikilizi na wakikomaa nawatukana kabisa
Hii ishu mwishowe ni kujenga uadui na hao jamaa endapo wakikupiga sound ukachomoa,
 
Naamini humu wapo member ambao wapo kwenye hizo biashara, lakini hatuoni positive comments, zaidi ya Negative comments kuhusu hizo biashara.

Mwenye macho haambiwi tazama, sisi tulio salimika tuwe vinara kuwafungua macho ambao hawana elimu yoyote kuhusu hizi biashara za kihuni.
You are right kabisa mkuu, si vema kumuacha mwenzio akaingia kwenye shimo eti kwa sababu na wewe uliwahi kutumbukia humo

Ni vizuri kupeana taarifa kama hizi kwa wenye experience maana inavyoonekana watu waliowahi kujiunga kwenye network marketing kama hizi na wakatapeliwa huwa hawataki kabisa kuzungumzia mambo ya hizo biashara positively or negatively, wananyamaza utafikiri wamelishwa kiapo cha damu wasiseme
 
Alietoa pesa zake ni ngumu kukiri mbele yako wewe, maana tayari kwa muda huo wewe ni fursa kwake kupoza machungu ya pesa aliyo toa.

Mbaya zaidi ukuta huyo mtu alitoa pesa halafu amekosa member wa kuwaunganisha, [emoji1][emoji1][emoji1]
 
You are right kabisa mkuu, si vema kumuacha mwenzio akaingia kwenye shimo eti kwa sababu na wewe uliwahi kutumbukia humo

Ni vizuri kupeana taarifa kama hizi kwa wenye experience maana inavyoonekana watu waliowahi kujiunga kwenye network marketing kama hizi na wakatapeliwa huwa hawataki kabisa kuzungumzia mambo ya hizo biashara positively or negatively, wananyamaza utafikiri wamelishwa kiapo cha damu wasiseme
Hawa ni alliance ukielewa hii video.
Basi wote wanatumia hii kanuni tofauti yao ni ndogo sana.
[emoji1484]
 
Kweli kabisa ndugu, hawa madogo wanatakiwa waelimishwe kuhusu hizo business ni bora hizo pesa wawe wananunua hata assets tu. Sasa kuna dogo yy ni first year amejiunga na hizo Network marketing alafu anataka kuniokota na mm ambae nimeshamaliza 4th year kabsa chuoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari, karibu ndugu msomaji Leo tutaangazia kwa uchache namna biashara za kuunganishana ( biashara za mitandaoni kama wanavyoziita wao)
Hizi sio zile zakuuza bidhaa online kama wafanyavyo Al-Baba, Amazon, E-bay au jumia Bali hizi nizamifumo ya kuunganishana na zitakuwa pyramid in shape yani nikijiunga Mimi nakushawishi na wewe unajiunga chini yangu.

Kwa baadhi ya nchi ni haziruhusiwi na niharamu, kama ilivyo kwa michezo ya kubahatisha, na hata matangazo yake hayaruhusiwi kutangazwa katika vitengo vya matangazo ya mitandao mikubwa kama Facebook ads na google AdWords.

Unachotakiwa kufanya nikujiunga na kisha kutafuta watu wakujiunga chini yako na Mara nyingi kiasi cha kujiunga huwa nikikubwa hadi kufikia 600,000+

Ukishajiunga unaanza kuhangaika kutafuta watu wakuwaunganisha na kuwadanganya kama ulivyo danganganywa. Simaanishi kuwa ni utapeli Bali ni mfumo mgumu na unaoumiza na unaendeshwa kwa uongo yani nilazima udanganye ili upate wafuasi mfano " nimejiunga Nina wiki mbili maisha yangu yamebadilika kabisa na hapo umevaa suti yakuazima na hujui Utakuta nini maana siwashachomoka na na Laki zako haha!

Sasa hawa jamaa wamejikita sana vyuoni na kuwasubiri wale mwaka wakwanza ili kuwaingiza mkenge na kuwaacha wakilia.
Ushawishi mkubwa hutumika kuwadanganya Bila kueleza wazi ugumu wa mfumo.

Watakwambia baada ya mwezi utanunua gari. Haha!

Na mengineyo mengi kukutamanisha. Ukisha jiunga sasa ndio utaanza kuonja joto yajiwe.

Wito kwa watanzania
Anayekushawishi kujiunga na kitu chochote mwambie akwambie madhara yake tuu faida utazipata kwa kutafuta taarifa zingine wewe mwenyewe.

Namshukuru sana padri simplis wa france, maana Mimi nilishawishiwa kidogo niingie mkenge lakini Huyu father alinieleza hii ni black market na anayefanikiwa ni yule wa mwanzo( jaribu kuchora pyramid utaelewa nachoeleza)

Wito kwa serikali.

Hizi biashara zinapaswa kuundiwa bodi ya udhibiti kama ilivyo betting Tena pengine yenye nguvu zaidi

Onyo Kwako usisikie maneno kuwa " Nina project nahitaji watu 20 wanafanya nao kazi hahaha! Au kuna project sijui ikishirikiana na nmb

Fanya real business utafanikiwa
Kwaheri
Share ujumbe kwa watu wako wanguvu.
 
Naamini humu wapo member ambao wapo kwenye hizo biashara, lakini hatuoni positive comments, zaidi ya Negative comments kuhusu hizo biashara.

Mwenye macho haambiwi tazama, sisi tulio salimika tuwe vinara kuwafungua macho ambao hawana elimu yoyote kuhusu hizi biashara za kihuni.
ng'ombe haziishi pamoja na kuchinjwa zinazaliwa zingine.

hapa tunaloloma weee,kesho ukienda hapo unakuta kuna nyumbu kama 50 mpya zimenda kupata semina elekezi ya kupiga dollar[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli kabisa ndugu, hawa madogo wanatakiwa waelimishwe kuhusu hizo business ni bora hizo pesa wawe wananunua hata assets tu. Sasa kuna dogo yy ni first year amejiunga na hizo Network marketing alafu anataka kuniokota na mm ambae nimeshamaliza 4th year kabsa chuoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba huwa upo upo tu hapa town ila yeye ndiye mjanja zaidi[emoji3][emoji3]sijui huwa wanafikiriaje,aliye nipeleka nimemtangulia hapa mjini miaka saba yeye kaja mwaja juzi.

nikahisi kabisa huyu amenidharau[emoji2]
 
Back
Top Bottom