Biashara za mitandao (kuunganishana) zinavyowaliza first year vyuoni

[emoji23][emoji23][emoji23]kwamba huwa upo upo tu hapa town ila yeye ndiye mjanja zaidi[emoji3][emoji3]sijui huwa wanafikiriaje,aliye nipeleka nimemtangulia hapa mjini miaka saba yeye kaja mwaja juzi.

nikahisi kabisa huyu amenidharau[emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hii ni zaidi ya dharau kwamba yeye katoka bush juzi kawa mjanja zaidi yako.
 
Kun dogo first year alijiunga n alliance, ada yak lki tano akpelka uko mwsho wa siku akabaki analia tu na mda wa ue umefika[emoji16]
 
kuna mdada nasoma nae yeye alijiunga na wengne nazan wanaitwa travexers kiinglio chake n km 25elfu ,hawa wenyewe kila wiki unacheza kwa huweka hela unavyocheza mara nyng na kuwaongeza member wengne ndo kiwango chako kinapanda, bahati nzuri kwangu nikawa sina hela ya kujiunga...baada ya muda akaweka km lak na25 hv mala admn wagroup lao la whtsapp akalifnga wakpga simu hapatkan hela zikawa zmepigwa hvyo
 
Watu wanapesa za kuchezea...

Na hao wote wanao fanya mambo ya ajabu ajabu sidhani kama hizo fedha wamezitolea jasho. Mfano hao wa vyuoni kwakuwa ni pesa za kupewa tu hawaoni uchungu kuzitoa.
 
Kun dogo first year alijiunga n alliance, ada yak lki tano akpelka uko mwsho wa siku akabaki analia tu na mda wa ue umefika[emoji16]
Hyo kawaida sana chuo mm mpaka kuna manzi tuliachana.
Kachukua bum lote kapeleka global halafu hata hela ya kula hana.
Nikaona siwezi kua na dem mjinga kiasi hichi.
 
Usi
Mkuu unaweza kuelezea zaidi kuhusu Qnet? Kuna mtoto wa sister anawasumbua sana wazazi wake wajiunge na entrance fee ni 5m.

Baba ya mtoto(shemeji yangu) kaniuliza kama naijua na wanapataje pesa bahati mbaya sina ninalolijua kuhusu hiyo biashara. Wasiwasi wa shemeji yangu ni kwamba huo ni utapeli na mwanaye anashauriwa vibaya na kutumiwa na hao wenye biashara

Ajabu ni kwamba my sister anaelekea kuingia king maana ameanza ku side na mtoto kumshawishi baba yake wajaribu kum support binti aingie labda ni kweli kuna faida

Nilichokiona na kuwashauri ni kwamba hata wao wazazi hawajaelewa hiyo biashara inaendaje na watapataje faida? Kwahiyo wakikishe wanaelewa kwanza kabda ya kuingiza pesa yoyote huko
K

a
 
Usiche

Huyo uncle wako keshadanganywa anataka kuwaingiza mkenge wazazi wake, wazuie haraka sana hao jamaa ni wezi me mwenyewe nineshawai pigwa na hao wezi wa mtandaoni, tena narudia tena waambie huo ni utapeli hivyo vitu vinavyoonyeshwa kama ni mafanikio ya watu waliojiunga hiyo kitu ni uongo mtupu wanataka watu waingie king wawapige
 
Kuna upuuzi mwingine unaitwa worldventures. Halafu aliyenijulisha kuhusu worldventures ni mzee mmoja wa kanisa
Moyoni nkawa najisemea kweli kanisa limeingiliwa na matapeli
 
Kuna demu alijidai rafiki yangu kweli nilikuwa 3rd year yeye festiyia akanambia kuna kitu nataka nikwambie twende town. Nilifikiri naenda kupewa ofa kumdadisi akanambia kuna ofisi tutaenda hatutokaa sana nikagundua hii ni network marketing.

Nikamwambia ntakuja geto kwako unipe maelezo kwa kirefu akakubali kufika kanipokea vizuri nikapiga menu safi kabisa, akanielezea nikajidai nimemuelewa akafurahi sana na papuchi nikapiga. Siku ya kwenda ikafika kanitafuta tuelekee nikamjibu sina pesa za mchezo ananichukia mpaka leo😂
 
Usiche

Huyo uncle wako keshadanganywa anataka kuwaingiza mkenge wazazi wake, wazuie haraka sana hao jamaa ni wezi me mwenyewe nineshawai pigwa na hao wezi wa mtandaoni, tena narudia tena waambie huo ni utapeli hivyo vitu vinavyoonyeshwa kama ni mafanikio ya watu waliojiunga hiyo kitu ni uongo mtupu wanataka watu waingie king wawapige
Nashukuru sana mkuu. Ni kwamba shemeji yangu amekataa kumpa pesa huyo mpwa wangu baada ya mimi kupata maoni ya watu humu na kumueleza

Mtoto bado anasisitiza kua ni biashara genuine kabisa na imekua kama amelishwa kitu gani sijui maana asili yake ni mpole lakini amekua stubborn sana akitaka wazazi wake wajiunge!

Bahati mbaya dada yangu kama anamuonea huruma hivi mtoto eti labda wajaribu kuingia nashukuru lakini shemeji kakataa na mimi namuunga mkono
 
Hyo kawaida sana chuo mm mpaka kuna manzi tuliachana.
Kachukua bum lote kapeleka global halafu hata hela ya kula hana.
Nikaona siwezi kua na dem mjinga kiasi hichi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
D
Kuna demu alijidai rafiki yangu kweli nilikuwa 3rd year yeye festiyia akanambia kuna kitu nataka nikwambie twende town. Nilifikiri naenda kupewa ofa kumdadisi akanambia kuna ofisi tutaenda hatutokaa sana nikagundua hii ni network marketing.

Nikamwambia ntakuja geto kwako unipe maelezo kwa kirefu akakubali kufika kanipokea vizuri nikapiga menu safi kabisa, akanielezea nikajidai nimemuelewa akafurahi sana na papuchi nikapiga. Siku ya kwenda ikafika kanitafuta tuelekee nikamjibu sina pesa za mchezo ananichukia mpaka leo😂
Dah mkuu! Ulitumia mbinu za kijasusi kabisa hizo🤣🤣🤣
 
Wala usipate shida, hapa hapa nitatoa maelezo ya QNET wanavyofanya kazi zao, maana wapo jamaa kadhaa waliingia mkenge kujiunga huko wakalizwa hatari.

-Kifupi kabisa, msingi wao mkuu ni ule ule kama Forever Living, Alliance in motion nk, zote ni PYRAMID SCHEME (Yaani wachache wanaotangulia kujiunga wanavuna zaidi kupitia migongo ya wengine wengi wanaofuata nyuma yao katika mnyororo) Katika hilo hakuna tofauti.

-Kuna gharama(mtaji) wa chini wa kujiunga, ambazo kwa sasa ni zaidi ya shilingi 4.5milioni. Bila hicho kiasi kukilipa kwa mara moja huwezi kujiunga na QNET. Wao watakwambia sio gharama za kujiunga bali ni pesa yako unayotumia kununua bidhaa au huduma za Qnet! (Hapo utaambiwa bidhaa zenyewe ni Saa ya mkononi, Pafyumu, kulala kwenye hoteli kali ya kitalii huko Asia nk.)

-Kamwe hawatakwambia kinagaubaga biashara yao kirahisi mtaani, lazima watakuita uje kwenye ofisi zao(ndani ya chumba maalum!), hapo watajipanga watu kadhaa kukufanyia 'brain washout' na kukupa maelezo marefu mazuri na matamu ya kukufanya uwe milionea kupitia Qnet kwa muda mfupi na bila kuhangaika kabisa, na hicho kitu watakifanya kwa ustadi mkubwa sana, kwa hatua au siku kadhaa kabla ya kukwambia utoe pesa kujiunga. (Wakati wote huo watakwambia hiyo ni secret opportunity, usiulize mtu mwingine yoyote wala kusema sema kwa watu ovyovyo!).

-Sasa ukishajiunga tu na Qnet kwa kutoa zaidi ya 4.5milion ndio akili inafunguka na kujua kuwa umelizwa au kugundua kuwa umelionea siyo kitu kirahisi kabisa, sasa mtu ndio anahangaika kutafuta 'wajinga' wengine kadhaa ili wajiunge kwenye mnyororo wake ili kuanza kufidia kile ulicholizwa, na hapo inakuwa ni suala la kufa na kupona.

Kwa leo niishie hapa......
Umesahau kusema ule ukichaa unaowapa watu baada ya kugundua kwamba sio kazi rahisi kuwa millionea ya kwamba ndio ukichaa unaowadrive kutaka kuunga wengine ili wawe vichaa kama wao chain ya vichaa inaendelea tu
 
Sio ukichaa mkuu wanakuwa motivated to the highest point sema hata umaskini ni ukichaa trust me
 
Qnet ni mwendo wa kupigwa tu, na ukipigwa inabidi ukomae na wewe kutafuta wengine wa kuwapiga.

Good morning!!!!
Haha haha haha jamaa alinikaribisha kwenye ofisi zao karibu na Bodi ya Mikopo pale Mwenge...jioni saa kumi nikapokelewa na Good Morning! Kuanzia pale tu hata kabla hawajaanza kuongea na kujitambulisha nilijua ni utapeli....

Cha pili baada ya somo la namna wanavyoendesha business zao hawakutaka kabisa kusema bei za bidhaa zao...

Good Morning!
 
Back
Top Bottom