King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
- Thread starter
- #21
Nadhani hukuweza kusoma uzi mzima au pengine ulisoma tu title pekee, lakini mi nilijaribu pia kueleza ni kwa namna gani biashara za online zina utapeli, na nilifika sehemu nikasema unaweza fanya online bila kutapeliwa ndio nikaongea mfano Unaeza fanya forex ukaingia sokoni mwenyewe na pia kama utatumia broker ni global trusted na forex ni biashara inayotrade legal currencies kwa muda mrefu hivo inaauthorization na credibility ipo, world Bank ni third parties na stakeholders wakubwa ebu try to think of this..... Kwa hiyo sijasema all online businesses are subjected to scam, hata heading inasema biashara za online Zimejaa Matapeli means ni kweli percent kubwa wapo japo siyo wote.Watu walionunua bitcoin wakati ipo 200$ saivi ipo worth tens of thousands. High risk high reward. Calculated risks are part of the game.
Matapeli wanajulikana tu cha msingi ni mtu kufanya research kabla ya kukurupuka lakini ukisema fursa zote za online ni scam kisa huoni mtu mhusika unakua unakosea sana.
Umeongea kuhusu Bitcoin wakati ipo 200$ na saivi ipo juu sana kulingana na nyuma hiyo ni kweli na sijabisha na kama mtu ungeweza kununua Bitcoin wakati huo ikiwa 200$ ukawa na wallet unastore pengine wewe leo hii ungekuwa mbali, maana ilifikaga hadi 1btc= $15000 au milioni 30 na chenji.
Ila jibu langu ni? Uwekezaji wa kununua bitcoin mwenyewe kwa trusted broker na kustore kwenye wallet then uuze inapopanda au whatever siyo tatizo na ni njia sahihi ambayo ni recommend maana umetake risk for yourself au upo willing kugain au lose, na hao mabroker na ni trusted vile vile ebu nenda www.localbitcoin.com utawaona kina Jordan Mwinuka, wapo Kama mawakala wa mpesa na tigo pesa walivyo.
Uwekezaji niliosema ni wakitapeli ni pale unapoletewa news unaambiwa jiunge kwenye fursa ya kampuni la crypto currency trade unufaike kipesa, so wewe unawatrust unaingia unatoa ela eti umenunua share nao kumbe ni matapeli, kumbuka pia biashara ya sarafu za kidigitali mfano bitcoins ni virtual currencies au haina any stakeholders au third parties kulingana na teknolojia yake ilivo kuwa discovered na Nakamoto, hivyo siyo sawa na legal currencies kama USD, EURO, AUD, JPY, TSH n.k.
Zipo njia za kufanya online businesses lakini safe ones hata kwenye crypto currency exchange trade maarufu Kama digital coin Kama bitcoin. Mi yangu ni hayo nitakuwa Sasa nimekuelewesha au soma zaidi thread niliyotuma hapa JF.