Biashara za Online Zimejaa Matapeli

Biashara za Online Zimejaa Matapeli

Watu walionunua bitcoin wakati ipo 200$ saivi ipo worth tens of thousands. High risk high reward. Calculated risks are part of the game.

Matapeli wanajulikana tu cha msingi ni mtu kufanya research kabla ya kukurupuka lakini ukisema fursa zote za online ni scam kisa huoni mtu mhusika unakua unakosea sana.
Nadhani hukuweza kusoma uzi mzima au pengine ulisoma tu title pekee, lakini mi nilijaribu pia kueleza ni kwa namna gani biashara za online zina utapeli, na nilifika sehemu nikasema unaweza fanya online bila kutapeliwa ndio nikaongea mfano Unaeza fanya forex ukaingia sokoni mwenyewe na pia kama utatumia broker ni global trusted na forex ni biashara inayotrade legal currencies kwa muda mrefu hivo inaauthorization na credibility ipo, world Bank ni third parties na stakeholders wakubwa ebu try to think of this..... Kwa hiyo sijasema all online businesses are subjected to scam, hata heading inasema biashara za online Zimejaa Matapeli means ni kweli percent kubwa wapo japo siyo wote.

Umeongea kuhusu Bitcoin wakati ipo 200$ na saivi ipo juu sana kulingana na nyuma hiyo ni kweli na sijabisha na kama mtu ungeweza kununua Bitcoin wakati huo ikiwa 200$ ukawa na wallet unastore pengine wewe leo hii ungekuwa mbali, maana ilifikaga hadi 1btc= $15000 au milioni 30 na chenji.
Ila jibu langu ni? Uwekezaji wa kununua bitcoin mwenyewe kwa trusted broker na kustore kwenye wallet then uuze inapopanda au whatever siyo tatizo na ni njia sahihi ambayo ni recommend maana umetake risk for yourself au upo willing kugain au lose, na hao mabroker na ni trusted vile vile ebu nenda www.localbitcoin.com utawaona kina Jordan Mwinuka, wapo Kama mawakala wa mpesa na tigo pesa walivyo.
Uwekezaji niliosema ni wakitapeli ni pale unapoletewa news unaambiwa jiunge kwenye fursa ya kampuni la crypto currency trade unufaike kipesa, so wewe unawatrust unaingia unatoa ela eti umenunua share nao kumbe ni matapeli, kumbuka pia biashara ya sarafu za kidigitali mfano bitcoins ni virtual currencies au haina any stakeholders au third parties kulingana na teknolojia yake ilivo kuwa discovered na Nakamoto, hivyo siyo sawa na legal currencies kama USD, EURO, AUD, JPY, TSH n.k.
Zipo njia za kufanya online businesses lakini safe ones hata kwenye crypto currency exchange trade maarufu Kama digital coin Kama bitcoin. Mi yangu ni hayo nitakuwa Sasa nimekuelewesha au soma zaidi thread niliyotuma hapa JF.
 
.hawa Bitcoin na wenzao ndio sitaki kuwasikia kabisa.
kuna watu walinunua bitcoin @10,000USD WAKIDHANI ITAPANDA ilipopanda hadi 18000usd wakajiona ni vidume wakaendelea kuhold wakidhani labda itafika 40000usd kwa story za kudanganyana vijiweni. Maumivu wanayougulia sasa sio ya dunia hii.
 
Mleta post brain zero kabisa nyie ndio mnalipaga mapea bidhaa za kupatana
Sikia mkuu matapel wapo kila kona na kila sehemu
Masokoni tu humi ukienda hapo kkoo utakutan na watu kibao wanalizwa,
Jambo la kukushauri hebu jifunze kwanza darasani kisha uelewe naona kama zinakuuma hela zako

Shida nadhani uliivyest afu haukujua namna hla itakavyopatikana na ulipokuja kujua ukaona hauwezi kupambana nayo,
Pole sana mkuu kila jambo linahitaji elimu sahihi sio za kupeana huko maofisin kwenu

Laiti unejua hata hii JF nimojawapo ya Online Business nadhani usingeandika utumbo wako huuu
 
Nawaona vijana hasa wa chuo wanavyopapalikia huu utapeli.
Kuna hii inaitwa global health alliance wanawadanganya eti kuna ujiunge kwa tsh 500,000 halafu na wewe utafute watu wawili uwashawishi wajiunge.

Unakuta kijana mzazi wake kajichanga ili amlipie ada mtoto , mtoto naye anaona ngoja aiongezee hiyo hela kwa kuamini kuna siku kweli atatoboa.
Si kwa sababu wanadanganyana ni rahisi kutoka kumbe choo cha kike kama wewe ni mwanaume
 
Mleta post brain zero kabisa nyie ndio mnalipaga mapea bidhaa za kupatana
Sikia mkuu matapel wapo kila kona na kila sehemu
Masokoni tu humi ukienda hapo kkoo utakutan na watu kibao wanalizwa,
Jambo la kukushauri hebu jifunze kwanza darasani kisha uelewe naona kama zinakuuma hela zako

Shida nadhani uliivyest afu haukujua namna hla itakavyopatikana na ulipokuja kujua ukaona hauwezi kupambana nayo,
Pole sana mkuu kila jambo linahitaji elimu sahihi sio za kupeana huko maofisin kwenu

Laiti unejua hata hii JF nimojawapo ya Online Business nadhani usingeandika utumbo wako huuu
Watu mnaofikiria negative mtakuwepo tu na mlikuwepo tangu dunia kuanza hivyo siwashangai watu kama nyie ambao ni akili ndogoozi au mbululazi, ebu jaribu kukaa kitaalamu,
Mimi naleta uzi wa kunusuru watu kwenye mitego na changamoto zinazo wakuta pale wanapo pambana kutafuta door au ugali na wewe tena unaleta michezo ya mwanza nyegezi 😏😏😏😏😏 kweli watu kama nyie ndio wale mnaopigwa risasi mkifika Marekani.
 
kuna watu walinunua bitcoin @10,000USD WAKIDHANI ITAPANDA ilipopanda hadi 18000usd wakajiona ni vidume wakaendelea kuhold wakidhani labda itafika 40000usd kwa story za kudanganyana vijiweni. Maumivu wanayougulia sasa sio ya dunia hii.
Bitcoin is unpredictable kama game of chance, yaani ile umekariri password ya Jana ndio ile ile ukija kesho imebadilika tayari ni maumivu tayari market makers washafanya yao.
 
Kukaa physically sio enough proof.. In fact unaweza ukakutana na mtu physically akawa amekushawishi virahisi kuliko ata online...

Mi nadhani cha msingi ni kujielimisha, kujua what you're dealing with na kufanya maamuzi baada ya kufanya research ya kutosha.

Dunia ya sasa ni Dunia ya online, whether we like it or not. Sasa ukimwambia mtu online hakuna cha kweli kwa sababu mtu haonekani.. Yani unakua umempoteza sana hasa kwenye Tanzania kama hii yenye ajira chache.

Vijana wenzangu cha msingi ni kujielimisha tu. Soma vitabu, articles pata ujuzi.. Hutowai kuingia kwenye mitego kama hii ya ponzi schemes.
Niliongea tu ivo kwa kustaajabu tu 😥😥😥
 
Ina maana D9 na Amazon hazikuwafundisha?
Bora hata hizo D9 na Amazon zilitupa pigo, lakini nimetoa tu Uzi hapa bado Kuna wanao support mfumo huu kwa kuona ni big deal ina maana sikio la kufa halisikii dawa kabisa.
 
Changamoto kubwa ya sisi watz ni kukosa taarifa sahihi juu ya biashara za mitandaoni.
Tukishaekewa mifano mtu anakwambia anatengeneza laki ngapi kwa siku halafu anaweka na picha ya gari yaani hapo akili inaluka.

Na kisha tunauliza unajiungaje unaambiwa kiingilio laki tano, mtu anashindwa kuzama kiundani na kuielewa jinsi biashara inavyofanyika na kujua kama ni scam au la.

Mwisho tunaingia kichwa kichwa na mambo yanakuwa ndivyo sivyo baada ya hapo utasikia utapeli huo hata kama biashara ni real.
 
mimi hii biashara nimetokea kuipenda ila tatizo ni pale unapotafuta pesa alafu mtu anakuambia ulipe dola 175 kwa ajiri ya kufundishwa namna ya kufanya biashara sasa sijui hii inakuaje. kwahiyo kumbe fursa ni kulipa hiyo dola 175 bila kujali utafanikiwa au hutofanyikiwa.
 
Nimeandika pale ukiona fursa inakufuata uwe makini maana wewe ndio unaweza kuwa fursa yenyewe yaani kupigwa lazima 😏😏😏😏
 
Nimeandika pale ukiona fursa inakufuata uwe makini maana wewe ndio unaweza kuwa fursa yenyewe yaani kupigwa lazima [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Sio unaweza kuwa Fursa...WEWE NDO FURSA...!
 
Changamoto kubwa ya sisi watz ni kukosa taarifa sahihi juu ya biashara za mitandaoni.
Tukishaekewa mifano mtu anakwambia anatengeneza laki ngapi kwa siku halafu anaweka na picha ya gari yaani hapo akili inaluka.

Na kisha tunauliza unajiungaje unaambiwa kiingilio laki tano, mtu anashindwa kuzama kiundani na kuielewa jinsi biashara inavyofanyika na kujua kama ni scam au la.

Mwisho tunaingia kichwa kichwa na mambo yanakuwa ndivyo sivyo baada ya hapo utasikia utapeli huo hata kama biashara ni real.
Kupigwa kinamna hii hata kama ni real bizness haiwezi kuwa hivi, huu ni full utapeli.
 
Back
Top Bottom