Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NotedSio kwamba napinga supposition yako..., ila technically sample ya hii barbershop moja haimaanishi barbershop zote /nyingi za kiume zinafanya hii kitu...., Ushauri; Ongeza utafiti zaidi ili kupata sample zitakazoleta uhakika wa conclusion....
Wanasaikolojia ya kusoma status ya mtu , hoe hae namba upewe ya niniSio saluni zote za kiume, kuna saluni zingine wadada was scrub hawatoi hata namba
Kuna siku nimeenda kunyoa, tulivyomaliza nikaambiwa niingie kuosha, dada akaanza tunafanyaje? Nikamwambia tunaosha nywele, akasema, scrub, dawa ya mba sijui steam takataka gani huku ananishika shika mgongoni na kichwani....nikamwambia chukua kitamaa kiloweke, kamua nifute kichwani. Hivyo tu!
Nikalipa na kumwachia elfu mbili (2,000/-) nikaondoka zangu.
Sio kila anaeenda kunyoa anahitaji huduma za ziada.
Boya lipo baharini , usituvurugie mada hapaukabaki kula kwa macho ili hali ushapewa password ...boya kweli weeee
😀😀😀Mwanaume mwenye hela hata kwenye picha anaokena tu anazo...anakua na confindence balaa...hata akienda saloon hata akute Taulo yeye atalikalia...hajali...asiyenazo atalinyanyua au alipakate kabisa au akalianike nje kabisa!..Wanasaikolojia ya kusoma status ya mtu , hoe hae namba upewe ya nini
Ukute hakua na hela?😀ukabaki kula kwa macho ili hali ushapewa password ...boya kweli weeee
😂 😂 😂 😂 😂 doh.asiyenazo atalinyanyua au alipakate kabisa au akalianike nje kabisa!
Hakika mkuuInabidi akupe huduma zote mwenyewe
Mtasababisha wake zetu watulazimishe kunyolea home nyie.hizi password huwa hatuzitoi public.Kwenda saloon mimi huwa najiandaa kama naenda kanisani mpaka wife anashtuka
Wapuuzi kuna siku nilitaka kumlamba binti mabanzi na hiyo sehemu marufuku kwenda tena!Kuna siku nimeenda kunyoa, tulivyomaliza nikaambiwa niingie kuosha, dada akaanza tunafanyaje? Nikamwambia tunaosha nywele, akasema, scrub, dawa ya mba sijui steam takataka gani huku ananishika shika mgongoni na kichwani....nikamwambia chukua kitamaa kiloweke, kamua nifute kichwani. Hivyo tu!...
Kuna jamaa aliniambia na wale wauza mihogo mibichi..duhKuna wengine huku mtaani wanajifanya wanauza uji ni balaa