Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Picha hamna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nyingi tu kuna moja naijua ipo Kariakoo Una nyolewa chini halafu unaambiwa panda juu kuna ngazi huko ndio unaenda kuosha kichwa na huduma za scrubbing.Tabata bima opposite na St Mary's
Ni nyingi tu kuna moja naijua ipo Kariakoo Una nyolewa chini halafu unaambiwa panda juu kuna ngazi huko ndio unaenda kuosha kichwa na huduma za scrubbing.
Unaweza kabisa ukapiga mashine hata kichwa usioshe wala scrubbing usifanye .
Kwa buku tano tu unapiga kimoja cha fasta
Sasa muoshaji moja apigwe mashine na wateja wenye nia hiyo atawamudu wote?Ni nyingi tu kuna moja naijua ipo Kariakoo Una nyolewa chini halafu unaambiwa panda juu kuna ngazi huko ndio unaenda kuosha kichwa na huduma za scrubbing.
Unaweza kabisa ukapiga mashine hata kichwa usioshe wala scrubbing usifanye .
Kwa buku tano tu unapiga kimoja cha fasta