Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop yakisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi.

Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika chumba cha ndani,...
Leo ndiyo umejua hili? Mbona haya mambo yako muda mrefu sana.... zaidi ya miaka kumi?
 
Nimekutana na hii kadhia Mwaka 2018 Tabora mjini baada ya kutafuta barbershop kali ya kisasa nijiweke sawa.Nilitoka nduki maana mfukon nilikua na hela ya kunyolea tu.😁😁
 
Pesa ipo au mnazani bulebule mnaonaje iyo pesa mkisevu ndugu na jamaa kijijini
 
Back
Top Bottom