Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

Vizuri Sana aisee. VIP na ww unataka kumchek akushughulikie?
Labda nikushughulikie aisee me Dume la mbegu!
Nilitaka tu kujuwa mapito mnayo pitiaga je mnaingiaga kwenye 18 za wasugua miguu!
 
Awamu ya tano hii, hapa kazi tu
 
Leo ndiyo umejua hili? Mbona haya mambo yako muda mrefu sana.... zaidi ya miaka kumi?
 
๐Š๐ฆ ๐ฎ๐ง๐š๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ฉ๐จ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐จ๐ญ๐จ?
Pale panaitwa Camp we sena msaada Camp unashushwa mlangoni kwny saluni
 
Nimekutana na hii kadhia Mwaka 2018 Tabora mjini baada ya kutafuta barbershop kali ya kisasa nijiweke sawa.Nilitoka nduki maana mfukon nilikua na hela ya kunyolea tu.๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
๐Š๐ฆ ๐ฎ๐ง๐š๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ข๐ฆ๐š๐ง๐ ๐š ๐ข๐ฉ๐จ ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐จ๐ญ๐จ?
We inaonekana ushafika pale
 
Pesa ipo au mnazani bulebule mnaonaje iyo pesa mkisevu ndugu na jamaa kijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ