Ni nyingi tu kuna moja naijua ipo Kariakoo Una nyolewa chini halafu unaambiwa panda juu kuna ngazi huko ndio unaenda kuosha kichwa na huduma za scrubbing.
Unaweza kabisa ukapiga mashine hata kichwa usioshe wala scrubbing usifanye .
Kwa buku tano tu unapiga kimoja cha fasta