Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ataifufua tenakama hiyo biashara mpya atayofungua itafeli na kufa je?
back to square 0
Haswaaa. Piga marufuku ndugu yoyote kwenda kuchukua pesa kinyemela. Tena marufuku kubwa, wanune wasinune watajua wenyewe.Haupo serious mkuu..hao ndugu uliwatambulisha na kuwaaminisha kuwa zipo ndo maana wanazifuata.Kama biashara ulianzisha mwenyewe usiposimama na kuwa thabiti utaizika mwenyewe ...
Kaka unakuwa mnyonge sanaaaa. Badilisha account ya kuweka pesa. Haiwezekani biashara usimamie wewe hela achukue dada. Huo ni ujinga, stand up na umuarifu mkeo kuwa imetosha... wanashida wakueleze wewe sio waende kubarib biashara.Nasimamia mimi na mzazi wangu wa kike ikitokea pesa zimetoka unakuta kachukua dada sina la kufanya ndio maana naomba ushauri
NimekuelewaKaka unakuwa mnyonge sanaaaa. Badilisha account ya kuweka pesa. Haiwezekani biashara usimamie wewe hela achukue dada. Huo ni ujinga, stand up na umuarifu mkeo kuwa imetosha... wanashida wakueleze wewe sio waende kubarib biashara.
Anasema anasimamia yeye na mama yake siyo mke wakeKaka unakuwa mnyonge sanaaaa. Badilisha account ya kuweka pesa. Haiwezekani biashara usimamie wewe hela achukue dada. Huo ni ujinga, stand up na umuarifu mkeo kuwa imetosha... wanashida wakueleze wewe sio waende kubarib biashara.
Ukienda chini umeenda chini na ukoo wote,kuanzia Mama,dada,baba na wewe mwenyewe,mambo kama hayo yaliyokukuta wewe yalimkuta kaka angu,famili walipomfilisi,wa kwanza wakumuuliza alikuwa mama,mama alimuuliza kaka "sasa ndio umefanya nini?",walisahau wao ndio walikuwa sababu ya kufilisika kwake..Nasimamia mimi na mzazi wangu wa kike ikitokea pesa zimetoka unakuta kachukua dada sina la kufanya ndio maana naomba ushauri
Oh sawa..Anasema anasimamia yeye na mama yake siyo mke wake