Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
RAISNafukaje huko nina bata wake hapa
🤣Nafukaje huko nina bata wake hapa
Wewe itumie hii fursa kwenda kutoa pole kwa huyu wakwetu. Unaogelea hadi Kizimkazi tu.Nafukaje huko nina bata wake hapa
Masikini huwa wanahisi gari ndicho kitu cha maana sana. Huyo kama ametembsa hana pesa hilo gari linahitaji mafuta na service. Wangemtengenezea nazingira ya kupata kipatoMwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema.
Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji aliokusudia kumkabidhi Rais kama ishara ya shukrani na pongezi kwa mikakati na sera mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo elimu bure.
Baada ya kufika Ikulu, Maggie alikutana na Rais Hichilema, na kupata chakula cha pamoja akiwemo Jeremiah Tembo, ambaye alisafiri kwa baiskeli kutoka Lusangazi hadi Ikulu. Zawadi ya gari kwa Maggie ilitolewa na Jelumu Zambia kama kutambua ujasiri na jitihada zake.
View attachment 3665581
Wewe ndo umeiba bata wangu janaNafukaje huko nina bata wake hapa
Marais wa Kiafrika wengi ni matapeliHichilema naye kumbe ni tapeli
Ndoto za kuachana na daladala zishafifia🙁RAIS
Ni msabato halagi bata!!!
Mkuu!!Wewe itumie hii fursa kwenda kutoa pole kwa huyu wakwetu. Unaogelea hadi Kizimkazi tu.