Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

Kamoja tu
Sasa hapo ndio makosa ya kiufundi yanaanza. Au ndio kuwakilisha kwamba amebaki peke yake kwa vile amepoteza mwenza?

Jiandae kupanda boat ya saa kumi. Maelekezo mengine yatafuatia.
 
Kuna mama alitolewa kwenye nyumba ndogo ya serikali na mwanae ili ahamie nyumba ya kifahari alilomjengea

Mama alikataa katakata na kusema hawezi kumudu gharama
 
Back
Top Bottom