Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

1000km kutoka Tunduma mpaka Lusaka anatembea na kuku kawashika hivyo Wazambia wametuona wajinga sana hiyo gari tu unaenda mpaka unaona kama haufiki ndio iwe kwa miguu..
 
Km 1000 mbeya to dar kwa bus na unafika umechoka balaa

sasa huyo bibi kazikata km hizo kwa miguu?!
huo sasa ni utoto au wanatuchukulia sisi ni mapimbi kama wao!
 
Back
Top Bottom