Rais atakuta vibibi kibao vimemjalia vikitafuta magari.Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema.
Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji aliokusudia kumkabidhi Rais kama ishara ya shukrani na pongezi kwa mikakati na sera mbalimbali za Serikali yake, ikiwemo elimu bure.
Baada ya kufika Ikulu, Maggie alikutana na Rais Hichilema, na kupata chakula cha pamoja akiwemo Jeremiah Tembo, ambaye alisafiri kwa baiskeli kutoka Lusangazi hadi Ikulu. Zawadi ya gari kwa Maggie ilitolewa na Jelumu Zambia kama kutambua ujasiri na jitihada zake.
View attachment 3665581
Kweli๐Neutral
Ni mtoto wako aliyeshika simu na kubadili jina?Kweli๐
Aisee ๐,wadau mnanichamba kuhusu hili jina,,,,nitabadili Hadi October,Ni mtoto wako aliyeshika simu na kubadili jina?
Wengine tulikuwa tayari tumeshakujengea picha fulani akilini mwetu na sasa ulitaka kuibomoa!Aisee ๐,wadau mnanichamba kuhusu hili jina,,,,nitabadili Hadi October,
Picha gani tena hiyo mazee? Msiibomoe hiyo picha pleas.Wengine tulikuwa tayari tumeshakujengea picha fulani akilini mwetu na sasa ulitaka kuibomoa!
Mm ilikuwa nzuri tu ila kwa sasa naona mawenge tuPicha gani tena hiyo mazee? Msiibomoe hiyo picha pleas.
Daah๐,nitairudia.Mm ilikuwa nzuri tu ila kwa sasa naona mawenge tu
Fanya haraka iwezekanavyo wengine tulikuwa tunakaribia kuweka nia zetuDaah๐,nitairudia.
Mod wamenipiga stop Hadi October watanibadilishia.Fanya haraka iwezekanavyo wengine tulikuwa tunakaribia kuweka nia zetu
Basi sawa.Mod wamenipiga stop Hadi October watanibadilishia.
๐๐๐ si unatembea tu mzeeNafikaje huko nina bata wake hapa
Eti "52"ni bibi woooi kweli neno bibi linatumika vibaya sikuhizi....๐คBibi ni yupi hapo maana namuona mmama
Nasikia ni msabato hali bata na nikiwaza kutembea hadi huko na mbuzi mgongoni naishiwa pawa๐๐๐๐ si unatembea tu mzee