Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Sep 12, 2026 #61 1000km kutoka Tunduma mpaka Lusaka anatembea na kuku kawashika hivyo Wazambia wametuona wajinga sana hiyo gari tu unaenda mpaka unaona kama haufiki ndio iwe kwa miguu..
1000km kutoka Tunduma mpaka Lusaka anatembea na kuku kawashika hivyo Wazambia wametuona wajinga sana hiyo gari tu unaenda mpaka unaona kama haufiki ndio iwe kwa miguu..
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Sep 12, 2026 #62 Km 1000 mbeya to dar kwa bus na unafika umechoka balaa sasa huyo bibi kazikata km hizo kwa miguu?! huo sasa ni utoto au wanatuchukulia sisi ni mapimbi kama wao!
Km 1000 mbeya to dar kwa bus na unafika umechoka balaa sasa huyo bibi kazikata km hizo kwa miguu?! huo sasa ni utoto au wanatuchukulia sisi ni mapimbi kama wao!