Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Ooooh bahati iliyoje kuitwa jina la bibi, inapendeza sana ! 😍Babu yangu mzaa baba alifariki mwaka 1991, sikufanikiwa kumuona kabisa.
Bibi yangu nilimuona, alikua mpole sana, alikua anaongea kwa busara..
Aliomba sana akizaliwa mtoto wa kiume aitwe yeye (utamaduni wa wakurya huo)
Bahati ikanidondokea mimi😭😭😭
How sweet 😍Huwa anabusu mikono yangu kila nikienda kumsalimia
Umenichekesha sana, eti ukipigwa kibao unaweza kuhisi umepigwa na ubao" 🤣 🤣 🤣namisi uchapakazi wao ,sikuhizi hata wababu wa vijijini wakichimba shimo fupi tu ,eti vidole vinachubuka
umeona vidole vya Babu pichani hapo, ukipigwa kibao mjukuu unaweza hisi umepigwa na ubao
Bila shaka wewe una miaka chini ya 35Bado wapo, Babu akiwa na 95yrs na bibi 86. Nakumbuka upendo wao kwa wajukuu
huo muda bibi alikuwa kashanyolewa manyoya na Babu saa 10 alfajili kwa wanandoa ngumusana mana mwenye tundu haelewagi kituBibi mzaa mama, nlikua nkimchokoza kwa kupiga chafya yenye keleleee, nikipiga ya kwanza anageuka ananiangalia tu, narudia ya pili chaaaaaaaafyaaaaa anaguna "mh we bibi, mwanamke hapigi chafya hivyo" basi anaanza na story za kikungwi......
Alikua anaamka mapemaaa kumi yupo macho akiamka anaanza kuniita bibi, bibi, bibi nikiamka bibi vipi anasema aaah kumbe umelala basi lala nilikua nadhani umeamka nlikua namind aaagrrrr 😁
Duuuh bibi yako alikufundisha kuwanga 😅Mimi ninachokipenda na kukikumbuka ni pale inqpofika usiku bibi alipokua ananiambia tukae kwenye shuka tukunje miguu nifunge na macho nikifungua macho najikutq tupo sehemu nyingine tofauti na pale tulipokuwa,na kingine ni pale tunapofika tulikoenda tunaingia kwenye nyumba bila mlango wa hiyo nyumba kufunguliwa
Mimi ninachokipenda na kukikumbuka ni pale inqpofika usiku bibi alipokua ananiambia tukae kwenye shuka tukunje miguu nifunge na macho nikifungua macho najikutq tupo sehemu nyingine tofauti na pale tulipokuwa,na kingine ni pale tunapofika tulikoenda tunaingia kwenye nyumba bila mlango wa hiyo nyumba kufunguliwa
[/uQUOTE]
Walikuwa wachawi hao
Bibi yako ninjaMimi ninachokipenda na kukikumbuka ni pale inqpofika usiku bibi alipokua ananiambia tukae kwenye shuka tukunje miguu nifunge na macho nikifungua macho najikutq tupo sehemu nyingine tofauti na pale tulipokuwa,na kingine ni pale tunapofika tulikoenda tunaingia kwenye nyumba bila mlango wa hiyo nyumba kufunguliwa