kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
hapana ant wangu weee, wamchongoUmenichekesha sana, eti ukipigwa kibao unaweza kuhisi umepigwa na ubao" 🤣 🤣 🤣
hapana ant wangu weee, wamchongoUmenichekesha sana, eti ukipigwa kibao unaweza kuhisi umepigwa na ubao" 🤣 🤣 🤣
Haa haa 😅 , alikua anakupa na wewe bia ulivyokua kijana?Bibi yupo now ana 116 nakumbuka alivyokua anapenda kuniagiza bia na kikapu.
😍 ila bibi, sasa kwanini alikua anakuamsha 😅Bibi mzaa mama, nlikua nkimchokoza kwa kupiga chafya yenye keleleee, nikipiga ya kwanza anageuka ananiangalia tu, narudia ya pili chaaaaaaaafyaaaaa anaguna "mh we bibi, mwanamke hapigi chafya hivyo" basi anaanza na story za kikungwi......
Alikua anaamka mapemaaa kumi yupo macho akiamka anaanza kuniita bibi, bibi, bibi nikiamka bibi vipi anasema aaah kumbe umelala basi lala nilikua nadhani umeamka nlikua namind aaagrrrr 😁
Bibi yangu kabla hujamsalimia asubuhi anakwambia ukaoshe papa 😹😹Bibi mzaa mama, nlikua nkimchokoza kwa kupiga chafya yenye keleleee, nikipiga ya kwanza anageuka ananiangalia tu, narudia ya pili chaaaaaaaafyaaaaa anaguna "mh we bibi, mwanamke hapigi chafya hivyo" basi anaanza na story za kikungwi......
Alikua anaamka mapemaaa kumi yupo macho akiamka anaanza kuniita bibi, bibi, bibi nikiamka bibi vipi anasema aaah kumbe umelala basi lala nilikua nadhani umeamka nlikua namind aaagrrrr 😁
Kusafisha Lingozi Ni Muhimu Mnoo.Bibi yangu kabla hujamsalimia asubuhi anakwambia ukaoshe papa 😹😹
Usilie mkaka mzuri, kutopata kila unachotaka ni sehemu ya maisha!Mshangazi Dot Com hiyo avatar yako ndio iliyonivutia nimebonyeza ili nizoom na nisifu na kuabudu uumbaji wa Mola Maanan lakini ikanikatalia, inasema umeninyima kuangalia, aisee nimelia sana!
ali kuwa ana lipizia kwenye kupiga chafya😂😆Bibi mzaa mama, nlikua nkimchokoza kwa kupiga chafya yenye keleleee, nikipiga ya kwanza anageuka ananiangalia tu, narudia ya pili chaaaaaaaafyaaaaa anaguna "mh we bibi, mwanamke hapigi chafya hivyo" basi anaanza na story za kikungwi......
Alikua anaamka mapemaaa kumi yupo macho akiamka anaanza kuniita bibi, bibi, bibi nikiamka bibi vipi anasema aaah kumbe umelala basi lala nilikua nadhani umeamka nlikua namind aaagrrrr 😁
Alikua anasema mwanamke hapigi chafya hivyo ukiwa na mwanaume itachomoka 😂😂😂😂😍 ila bibi, sasa kwanini alikua anakuamsha 😅
Story za kikungwi na akina bibi huwa ni tamu, kuna mengi ya kujifunza kuhusu hulka na tabia za kike.
Nilikua nazifurahia hizo story.
🤣🤣 wewe dada hauja achaga tu comment zako matata?Alikua anasema mwanamke hapigi chafya hivyo ukiwa na mwanaume itachomoka 😂😂😂😂
Bibi alikua anasema ukweli tupu 🤣 🤣 🤣 🤣Alikua anasema mwanamke hapigi chafya hivyo ukiwa na mwanaume itachomoka 😂😂😂😂