Bibi na babu yako bado wako hai? ni kipi unakipenda na kukikumbuka kuhusu wao?

😹😹😹 Nna bibi kichomi, nyie bibi yangu ana hekaheka sijaona..!!
Nikimuelezea sitomaliza, bibi down town kitambo hakuna asilolijua yani tafrani..!!


Aishi miaka mingi Bi ….. toto la kinyamwezi..!!
 
😍 ila bibi, sasa kwanini alikua anakuamsha πŸ˜…

Story za kikungwi na akina bibi huwa ni tamu, kuna mengi ya kujifunza kuhusu hulka na tabia za kike.
Nilikua nazifurahia hizo story.
 
Bibi yangu kabla hujamsalimia asubuhi anakwambia ukaoshe papa 😹😹
 
Mshangazi Dot Com hiyo avatar yako ndio iliyonivutia nimebonyeza ili nizoom na nisifu na kuabudu uumbaji wa Mola Maanan lakini ikanikatalia, inasema umeninyima kuangalia, aisee nimelia sana!
Usilie mkaka mzuri, kutopata kila unachotaka ni sehemu ya maisha!
 
ali kuwa ana lipizia kwenye kupiga chafyaπŸ˜‚πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…