"Bibi Nisamehe...Najuta"

Hata hao waliopita hawapendi kuonekana vilaza mbele ya huyu wa leo.
Muda si mrefu ataanza kuwafanyia kazi waliomweka alipo na hapo ndo mtaanza kusema bora "Vasco da gama" kuliko huyu na 2025 atamshika mkono mmoja wa watoto wa wakubwa chamani akimnadi apewe Urais kama mchezo wa kuigiza.
 
Kuna watu bila kumtaja Lowassa hamjisikii vizuri... Mtatafuta stori yoyote tu ya kijinga mmtaje Ngoyae.
Maongezi ya siku nzima nyumbani kwako hiki tu ndo kipande cha maana cha ku-share nasi!???
 
Wewe lowasa inabidi akugegede tu maana amekukaa akilini sana! Ngja a kule mpaka 0714 yako ndy utatuliaaa
 
Hata mwenye hasira avumilie sio kuwaona waliochagua CCM au watu wa mkoa Fulani wajinga hivi hiyo ni sawa? Kwa ujanja gani waliokuwa nao.
Ni busara kusoma na kuyaacha kama yalivyo. Baada ya muda watu watatulia na kuelewa nini kinaendelea. Unajua kupona maumivu kuna hatua miongoni mwao ni kujuta, hasira ya kwanini imekuwa vile na baadae watu hutulia.
 
huyo mjukuu wako amekosa ELIMU kama wewe ulivyoikosa

"mwambie asiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa"

sisi Emu ni ile ile ndio maana hata Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kuboronga amehamishiwa Wizarani
 
Tulianza na dhanna ya kujivua gamba waliotuelewa wamejivua, sasa ni ukurasa mwingine, asiejivua na asiyeweza kufanya kazi tutakavyo tunamvua kwa nguvu.
 
Tulianza na dhanna ya kujivua gamba waliotuelewa wamejivua, sasa ni ukurasa mwingine, asiejivua na asiyeweza kufanya kazi tutakavyo tunamvua kwa nguvu.

ukurasa mpya wa kuhamishia walioboronga wizarani😕

tulipo sema mabadiliko na nyie mli-iga pasipo kuyajua mabadiliko yenyewe yanahusu nini

ni UPIMBI kufikiri kua maendeleo ya nchi yataletwa na sisi Emu
 
Jamani naomba tumuhurumie huyu mzee inasema hasara alioingia katika kuusaka uraisi tangu 2005 hadi 2015 ni takriban Bil 200, ameuza ng`ombe zaidi ya 2000 na baadhi ya Vijanja vyake, ni hasara kubwa mno! anaugulia mengi mwenzenu

Ficha upumbavu wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…