Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,236
- 4,746
Acha unafiq wewe! Leo ndio umeyajua hayo?Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.
Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
Kwa miaka yote uliyokuwa unamwaga sumu humu unajua umeambukiza wangapi chuki zako? mpuuzi kabisa wewe.