"Bibi Nisamehe...Najuta"

"Bibi Nisamehe...Najuta"

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
Acha unafiq wewe! Leo ndio umeyajua hayo?

Kwa miaka yote uliyokuwa unamwaga sumu humu unajua umeambukiza wangapi chuki zako? mpuuzi kabisa wewe.
 
Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.

Hii nidhamu nzuri.Nilikwambia Magufuli kashaingia mtatia akili maana mlijiona nchi ni yenu kiasi kwamba ulikuwa unamtukana Baba wa Taifa Mwl.Julius kambarage Nyerere kadri upendavyo.Nashukuru sana kama akili imekurudia bado wachache wanaoendeleza siasa za ukabila.Hawa nao wataisoma namba hivi karibuni.Tunataka kuirudisha CCM yenye nidhamu kwa Wazee na inayosifika kwa kuhubiri Upendo na Mshikamano wa Watanzania sio ile ya wanamtandao.HAPA KAZI TU.Nafikiri umeshauona Mziki wa Magufuli.HAPA KAZI TU.
 
Na wewe leo umekuwa CCM?

Kweli, HapaKaziTu.

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
 
Hayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.

Nikamuuliza kwanini?

"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".

Kwanini?

"Niliona kama kaonewa na CCM".

Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki yako kumchagua unaemuona anafaa?

"Bibi sasa nimejionea kwa macho yangu kuwa Magufuli ni bora sana zaidi ya Lowassa na sasa nimeamini CCM hawajamuonea".

Kwanini?

"Bibi wewe wacha tu, nilivyomuona anaongea kwa uchungu Muhimbili nikajuwa huyu kweli anatujali, babu Lowassa hata alivyokuwa akiongea haoneshi kama anajali au hajali.

"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"

Mie nikaangua kicheko nikaanza kumuimbia; "CCM mbele kwa mbele".

Hayo ni kwa uchache yaliyojiri leo jioni nyumbani kwangu.

beki 3 dawa imemuingia alikuwa na maradhi sugu sema drip aliyokuwa amepewa ilichelewa kuisha
 
Kumbuka kuna Mungu na miungu. Mungu hachangamani na wizi wa kura.
Basi nyie bora hamkupewa nchi maana kila leo kuibiwa tuu ina maana nyie ni lelemama...! Na bila shaka sio makini..
 
Hayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.

Nikamuuliza kwanini?

"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".

Kwanini?

"Niliona kama kaonewa na CCM".

Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki yako kumchagua unaemuona anafaa?

"Bibi sasa nimejionea kwa macho yangu kuwa Magufuli ni bora sana zaidi ya Lowassa na sasa nimeamini CCM hawajamuonea".

Kwanini?

"Bibi wewe wacha tu, nilivyomuona anaongea kwa uchungu Muhimbili nikajuwa huyu kweli anatujali, babu Lowassa hata alivyokuwa akiongea haoneshi kama anajali au hajali.

"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"

Mie nikaangua kicheko nikaanza kumuimbia; "CCM mbele kwa mbele".

Hayo ni kwa uchache yaliyojiri leo jioni nyumbani kwangu.

Huyo hg wako KIKOjoleo kinamwasha anahitaji kukunwa, EL ni king huyo JPM kawekwa kwa nguvu za watawala 2.
 
Last edited by a moderator:
Na wewe leo umekuwa CCM?

Kweli, HapaKaziTu.

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.

wewe punguani kisa kaingia mkatoliki sasa ivi unajidai eti humjaji mtu kawa dini yake lakini kipindi akiwa mwisilamu mwenzako ulikua unashinda hapa kutwa kutukana wakatoliki mpaka nyerere umemtukana sana sasa ivi unajidai kuficha unafiki wako kisa usifukuzwe kazi ya kuosha viombo hapo lumumba subiri fagio tingatinga lazma likupitie upeleke uswahili wako msoga
 
Sijawahi kumtukana Nyerere nilikuwa nanukuu tu aliyoyasema Tundu Lissu. Weka ushahidi wa wapi nimemtukana Nyerere.

Ntamjudge mtu kwa matendo yake na si kwa dini yake - kumbuka hilo.

Akileta udini, awe Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Magufuli, Kikwete huwa nnasema ukweli.

Nimeshamsema Nyerere kwa yake, Mwinyi kwa yake, Mkapa kwa yake, Kikwete kwa yake, Lukuvi kwa yake, Lowassa kwa yake, Slaa kwa yake na Magufuli nnayasema yake niyaonayo mpaka sasa.

Una zaidi?
 
Mnafiki mkubwa wewe..... Ajuza usiye na haya.

Mtaisoma namba ya Mgalatia, si mlijazana pale NSSF lazima Mnyooke.... Eti matendo yake 👅👅👅👅👅 NYAMA YA MBAVU
 
Ndo tatizo lao, wakishajua kuna mwenzao ni mkuu wa kitengo mahali bas watabweteka kwengine wataenda kujazana huko. Cha ajabu ni wazembe kazini sijawahi ona. Fitina, majungu na uswahili mwingi ndo mahala pake!
 
Mtaisoma namba ya Mgalatia, si mlijazana pale NSSF lazima Mnyooke.... Eti matendo yake  NYAMA YA MBAVU

Haya unayo wewe inatosha. Nisiyo nayo mimi inakuhusu nini?

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
 
Haya unayo wewe inatosha. Nisiyo nayo mimi inakuhusu nini?

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.

Haaaaaa sheria ya mtandao WAGALATIA WAMECHUKUA TAIFA LAO subirini muone kazi ya kulinyanyua taifa ikifanywa kwa ustadi wake.
 
We mama ni mwehu tu. Jk alitembelea wizara zote na hospital kibao! Unataka kuniambia magufuli ana upendo kuliko jk? Angekuwa na upendo angewaambia watu wa kigamboni kama hawana mia mbili wapige mbizi? Mama wajawazito wangepigaje mbizi. Wewe na huyo jamaa yako acheni ulofa wenu
 
Back
Top Bottom