"Bibi Nisamehe...Najuta"

"Bibi Nisamehe...Najuta"

wengi waliokuwa wanamshabikia lowasa walikuwa wanafata mkumbo leo nimekutana na bodaboda anasema 2020 hataki mabadiliko yeye magufuli tu lowasa alikuwa anafanya usanii wa kula kwa mama nitilie na kupanda daladala mbona kampeni imeisha harudii tena

Wacha upashkuna
 
ukurasa mpya wa kuhamishia walioboronga wizarani😕

tulipo sema mabadiliko na nyie mli-iga pasipo kuyajua mabadiliko yenyewe yanahusu nini

ni UPIMBI kufikiri kua maendeleo ya nchi yataletwa na sisi Emu

Tuliona mabadiliko yenu, mlipomtoa Slaa na kumuweka mtu asiyekubalika hata na malaika. Na tumeona wasaidizi wake wageni, hayo tumeyaona.
 
kuna kitu muhimu umekikosa kwenye maisha yako:banghead::banghead:
 
Tanzania haiwezi kuendele kama mawazo ya house girl ndiyo yanashangiliwa na wasomi wakitoa mawazo wanaambiwa wataisoma number, nakumbuka kauli ya lugola na msigwa miaka 50 hakuna viwanda mnadanganya mnaweza kujenga kwa mwaka, wasomi wakiwapa ushauri hamtaki mnakaa watu wachache mnaamua yasiyofaa, naongeza wasomi wakishauri hawasikilizwi wanajifungia ndani na ma house girl na kutuletea ushauri wa house girl kwa mawazo haya ya ki house girl tuna karne mia moja zijazo kufikia uchumi wa kati.
 
Mipango ni mpaka kufikia 2025 tuwe huko upatakapo, lakini nnakuhakikishia way kabla ya 2025 tutafika huko.

Kikwete katuwachia cubic feet trillion 55 za gas tuhangaike nazo na mpaka mwakani kuna uwezekano zikafika cubic feet trillion 110 kwani "exploration" inaendelea. Dogo hilo?
 
huyu ni mzee lakini ndo anaongoza kupost pumba humu....hana tofauti na lemutz....sijui ni couple ama
 
Magufuli anajaribu kuwaridhisha watanzania kuwa yeye ni tofauti na ccm tuliowazoea.Sisi tunataka maendeleo si sifa za kipuuzi.Sisi tumeamua kutulia ili tushirikiane kujenga Nchi yetu.Hivyo we kibibi tulia,kama magufuli ataleta change jua ni kwasababu ya pressure kutoka upinzani.Hivyo vote yako haina uhusiano na utendaji kazi wa Magufuli.Bila upinzani unafikiri ccm wangeshtuka?Kila mtu anamchango ndani ya Nchi hii.acha dharau,sisi sote ni watanzania.

I like it. Wamesahau kabisa CCM ni wapiga madili tu. Watendaji wa chama chenu hawafurahii hata kidogo. Kwa kuwa sasa atadhibit vichochoro vyao vya kupatia pesa. Wana CCM hamjijui kwa sababu mlitakiwa mchague watendaji waadilifu ili rais awe na team imara. Watz tuamke
 
Uharo huu...Rais ana uhuruma? Kwann asilipie wagonjwa wote matibabu hapo Muhimbili, aende na Temeke, Amana, Mwananyamala, Bugando, KCMC, Mbeya, Dareda Hosp, n.k akawalipie wagonjwa wote matibabu. ....

Tena kuna watu wengine huku, kazi yao nikuanzisha uzi zenye kinyaa....tu... malabuku
 
Wapiga deal walihamia chadomo.
 
Uharo huu...Rais ana uhuruma? Kwann asilipie wagonjwa wote matibabu hapo Muhimbili, aende na Temeke, Amana, Mwananyamala, Bugando, KCMC, Mbeya, Dareda Hosp, n.k akawalipie wagonjwa wote matibabu. ....

Tena kuna watu wengine huku, kazi yao nikuanzisha uzi zenye kinyaa....tu... malabuku

Kwanza tutaanza kutibu ng'ombe ili mamvi asipate tabu kwenye ufugaji wake, unaonaje?
 
Mda wa kampeini umeisha, sasa ni kazi tu! acha porojo
 
Mipango ni mpaka kufikia 2025 tuwe huko upatakapo, lakini nnakuhakikishia way kabla ya 2025 tutafika huko.

Kikwete katuwachia cubic feet trillion 55 za gas tuhangaike nazo na mpaka mwakani kuna uwezekano zikafika cubic feet trillion 110 kwani "exploration" inaendelea. Dogo hilo?

unless na wewe ni mmoja wapo kwenye genge la wahuni ,ila kama wewe ni mwenzangu na mimi tutaisoma wote namba
 
Back
Top Bottom