kisanzala
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 440
- 252
tangu lini wagogo mna upeo mkubwa du
yani najiuliza na sipati jibu mgogo nae anajitambulisha kuwa ni mgogo?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tangu lini wagogo mna upeo mkubwa du
Wengi wnajuta. Mi nina rafiki zangu niliwaondoa mpaka fb, wananiomba msamaha. Ila mimi sijawasamehe maana walinitukana sana, wengine mpaka kusema eti nina mapepo. Ila mi nachoona mzee mamvi alitumia nguvu za giza. Maana kuna watu kama akina baergu, lisu na msigwa na akina lema ambao nilikuwa nawaamini ni wapiganaji ila wapi bwana, mamvi aliwashika akili wakawa wanafurahi.
Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.
Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
Tujenge nchi jamani. Uchaguzi umepita. Haya majeraha inabidi tuyaache yapone. Watu wanahasira na wengine wana furaha. Si vyema kumshambulia mtu mwenye huzuni. Kama unafuraha, shereheka kimya kimya. Tujenge nchi na tulete hoja zenye kutuunganisha.
Mdini Mkubwa wewe. Sasa M-galatia unamtetea. Yes, Mla Nguruwe anatawala Tanzania....
Ohhhh, Samahani.... anaitwa Mbuzi wa Mkatoliki.
wanakera mno watu wanaoingiza mambo ya udini wakat mada inahusu mambo mengine.kila mtu asali kivyake asa mambo ya ugalatia yanatokea wap aaaaaggh stupid
"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"
huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.
Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.