fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 883
Mgalatia anapiga kazi umeona mkuu?? Hapa kazi tu..huku kwetu wengi washaomba msamaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mgalatia anapiga kazi umeona mkuu?? Hapa kazi tu..huku kwetu wengi washaomba msamaha
Pombe ikikulewesha unatenda kinyume na utashi wako.......sasa hivi ni zamu ya bibi kumwomba mjukuu msamaha.
😀😀😀😀........huo ni utani wa ngumi mkuu.......FF katulia tuli, awamu hii hana cha kupigia debe.imi FaizerFix nasema Chichiemu mbele kwa mbele![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
FaizerFix kuja hapa😀😀😀😀........huo ni utani wa ngumi mkuu.......FF katulia tuli, awamu hii hana cha kupigia debe.
Hawezi kuja sa hizi na yeye anaisoma namba kimya kimya muwe mnakuwa na akiba ya maneno usisahau kesho ipo.FaizerFix kuja hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
......
Namuona kule siasani anazururaHawezi kuja sa hizi na yeye anaisoma namba kimya kimya muwe mnakuwa na akiba ya maneno usisahau kesho ipo.
Bado anajuta yeye au unajuta wewe ?Hayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.
Nikamuuliza kwanini?
"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".
Kwanini?
"Niliona kama kaonewa na CCM".
Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki yako kumchagua unaemuona anafaa?
"Bibi sasa nimejionea kwa macho yangu kuwa Magufuli ni bora sana zaidi ya Lowassa na sasa nimeamini CCM hawajamuonea".
Kwanini?
"Bibi wewe wacha tu, nilivyomuona anaongea kwa uchungu Muhimbili nikajuwa huyu kweli anatujali, babu Lowassa hata alivyokuwa akiongea haoneshi kama anajali au hajali.
"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"
Mie nikaangua kicheko nikaanza kumuimbia; "CCM mbele kwa mbele".
Hayo ni kwa uchache yaliyojiri leo jioni nyumbani kwangu.
Kuwa na akiba ya manenoSisi tunadunda wanaojuta wauza unga na wezi kama akina Sioi.
Unataka kusema wote wenye uchumi mgumu saivi ni wauza unga ? Hata kule kijijibi kwenu kuna wauza unga !?Sisi tunadunda wanaojuta wauza unga na wezi kama akina Sioi.
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Bora nichague jiwe kuliko Magufuli...Lowasa ndio rais wetu
Huyo Hg wako atakuwa na mapepo yaaani jini anaona ni mtuHayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.
Nikamuuliza kwanini?
"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".
Kwanini?
"Niliona kama kaonewa na CCM".
Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki yako kumchagua unaemuona anafaa?
"Bibi sasa nimejionea kwa macho yangu kuwa Magufuli ni bora sana zaidi ya Lowassa na sasa nimeamini CCM hawajamuonea".
Kwanini?
"Bibi wewe wacha tu, nilivyomuona anaongea kwa uchungu Muhimbili nikajuwa huyu kweli anatujali, babu Lowassa hata alivyokuwa akiongea haoneshi kama anajali au hajali.
"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"
Mie nikaangua kicheko nikaanza kumuimbia; "CCM mbele kwa mbele".
Hayo ni kwa uchache yaliyojiri leo jioni nyumbani kwangu.
Yaani house-girl anakuperemba umuongezee mshahara na weye unafyatuka kuimba nyimbo?Bibi hopeless material kweli!Hayo ni maneno ya msaidizi wangu wa nyumbani aka hg.
Nikamuuliza kwanini?
"Aaah bibi si nilimchagua Lowassa".
Kwanini?
"Niliona kama kaonewa na CCM".
Sasa nikusameh kwanini na hiyo ni haki yako kumchagua unaemuona anafaa?
"Bibi sasa nimejionea kwa macho yangu kuwa Magufuli ni bora sana zaidi ya Lowassa na sasa nimeamini CCM hawajamuonea".
Kwanini?
"Bibi wewe wacha tu, nilivyomuona anaongea kwa uchungu Muhimbili nikajuwa huyu kweli anatujali, babu Lowassa hata alivyokuwa akiongea haoneshi kama anajali au hajali.
"Bibi naweza kwenda kufuta kura yangu nimpe Magufuli?"
Mie nikaangua kicheko nikaanza kumuimbia; "CCM mbele kwa mbele".
Hayo ni kwa uchache yaliyojiri leo jioni nyumbani kwangu.
Bado nimetumbua macho kushuhudia makorokocho ya rais wako ewe bibi kizee!Wewe ulikuwa usingizini kwa miaka mitatu?
Hii comment yako nimecheka kwa nguvu hahaha una majibu yanayokera[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mpaka muda mwingine nahisi wewe ni mama dangote (mama diamond)maana kwa majib mmefananaWewe ulikuwa usingizini kwa miaka mitatu?
Kunifananisha na yule mama asiye na adabu ni kunitukana. Naomba futa kauli yako.Hii comment yako nimecheka kwa nguvu hahaha una majibu yanayokera[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mpaka muda mwingine nahisi wewe ni mama dangote (mama diamond)maana kwa majib mmefanana