Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

she is beautiful, uganda is look like majuu! Hahaha nice cars,white people,nice roads etc
 
WEWE muongo acha kupotosha baada ya uhuru biTT alikuwa waziri na mbunge mwanamke wa kwanza, walianza kutofautiana baada ya mwalimu kutangaza Arusha Declaration ambalo lilizdhmiria kutaifisha nyumba zote za Kariakoo na Posta Including ya Bibi TT mwenyewe ambayo Nyerere akikesha humo wanapanga mikakati ya kudai uhuru. ikumbukwe kuwa mwalimu hakuwa na makazi mjini so mipango yao wakiifanya kwa wenzie akiwemo Bibi TT. Baada ya hustle za kudai uhuru wakaupata Mwl anataka kutaifisha nyumba zake hapo ndo mgogoro ukaanza akampa kesi ya uhaini na kutaifisha nyumba zake zote 2 za Posta DSM baada ya kutoka jela akalala katika mahema na kwenye mapipa tu duuh toka kuwa raisi wa Wanawake wa PAFMECA hadi kulala katika mapipa kuna raha gani ya uhuru. huyu mama sijuwi kama kamsamehe mwl
 
Nani kapindisha waligongana kwenye corridor? Nani waligongana kwenye corridor? Kupindisha kumekuja vipi?

Fafanua.
 
Kwenye siasa huwezi kuitenga dini kwasababu kuu mbili
1 siasa nimaisha yawatu ya kila Siku
2 dini maisha yawatu ya kila sku
Naenda mbali zaidi na kusema dini ni siasa ya kale iliyovikwa joho la Mungu asiyethibitishika leo.

Siyo tu huwezi kutenganisha dini na siasa.

Dini ni siasa.

Kama ambavyo huwezi kuwa na shilingi iliyo na upande mmoja, huwezi kuwa na dini isiyo na siasa.

Ndiyo maana hata mtu ambaye haifagilii dini sana kama Benjamin Mkapa (kanisa lake lilikuwa Palm Beach Hotel na sakramenti yake ilikuwa Scotch Whisky) alipopata urais akajongea St. Immaculata pale UN Road Upanga.

Na Donald Trump firauni hayawani aliyesema anawashika wanawake uchini leo anajinadi kuwa ni rafiki wa walokole wa Marekani.

Ukiangalia jinsi Uislamu ulivyoendelea kwa vita na kushika makoloni mpaka Andalusia Spain utaona dini ni siasa.

Ukiangalia Biblia ilivyoandikwa, chini ya usimamizi wa Mfalme Constantine wa Warumi, akaamua na maaskofu wake kitabu gani kiwekwe kwenye biblia na kitabu gani kisiwekwe, utaona dini ni siasa.

Ukiangalia sababu zilizopelekea Mfalme wa Uingereza kujitoa kwenye Ukatoliki na kuanzisha "Church of England" na mpaka leo Malkia wa Uingereza ndiye mkuu wa kanisa utaona dini ni siasa.

Ukiangalia mgogoro wa wa Singhalese Buddhist nationalism Sri Lanka utaona dini ni siasa.

Ukiangalia Rohingya Muslims wanavyoteswa na kutengwa na Buddhists Myanmar utaona dini ni siasa.

Yani kuanzia kwetu madongo kuinama mpaka huko kwa watu wanaotakiwa kuwa wamesoma na kuendelea, dini ni siasa.
 
Last edited:
huyu mama alikuwa ndio mpigania mkuu wa uhuru wa Tanganyika kuliko wote including Nyereremwenyewe, alikuwa mwenyekiti wa wanawake wapigania uhuru Nchini mwetu, East Africa na Africa pia chini ya PAN AFRICANISM. Bibi TT NDO ALIKUWA MHAMASISHAJI MKUU KWA akina mama mabao ndio wapiga kura wakuu nchi, alikuwa mtoto wa mjini hivyo alikuwa na mtandao mpana kuliko Mwl alietoka Koromije pekeake pia alijuwa Kiswahili vyema ambacho kilirahisisha kampeni na hamasa za huyu mama kwa wenzie. Tena alikuwa na elimu ndogo hivyo alijuwa namna ya kuwasiliana na wenye elimu ndogo wenzie tofauti na wasomi kama mwl ambae akiongea kisomi zaidi mwisho wa siku watu hawamwelewi kwani alikuwa ana derive 4mula jukwaani kumbe hadhira hata a.e.i.o.u hawajuwi. Mama huyu ndie alikuwa nanamnyanyua kwapa mwl ili amnadi kwa Watanganyika.
Mgogoro wao
Azimio la Arusha ndio chanzo cha kutoelewana kwa hawa wawili ikumbukwe azimio lilitakusudia kutaifisha mali za watu binafsi na makampuni ikiwemo nyumba 2 za huyu mama yaani ulale kwangu, tusake uhuru tuzunguke mikoani kupiga kampeni then finally utaifishe mali zangu ikiwemo nyumba iliyokuwa ofisi ya kudaia uhuru akasema no Kambarage hapana haiwezekani maana ya uhuru haipo kama napoteza mali zangu.

Kilichomkuta
alipewa kesi ya uhaini yeye na wenzie waliopinga fikra za mwenyekiti(ZIDUMU FIKRA ZA M/KITI...ZIDUMUUUUUU) wakahukumiwia kifungo cha maisha na mali zao zikataifishwa ikiwemo nyumba yake iliyotumika kama ofisi ya siri ya kudaia uhuru.
Baada ya jela
alipata msamaha wa rais baada ya kujiridhisha kuwa hakuwa na hatia na yeye alikosea kwani mawazo yake hayakuwa sahihi ila tayari nyiumba zishataifishwa hakuna kwa kulala so akalala kwa majirani na kwenye mapipa.
aonewa huruma
waziri wa Ardhi na Makazi muda huo alimuonea huruma mwanamama mwenzie akaenda kwa mwl kumuombea japo apewe nyumba moja kati ya zile mbili ndipo kakubaliwa na kupewa moja hadi kifo kinamkuta.
Source: TGNP-harakati za wanawake wa Tz
 
Hao wote walikuwa bendera futa upepo walikuwa hawana la kuchangia bali mr yeeeeeees. hawakujitoa muhanga wa kweli kifupi walitamani madaraka tu pindi waislamu wakifanikiwa.
 
mama alipigana san ktk uhuru ila unfortunately Mchongoa meno akamsni.ch, tena hadi nyumba zake ambazo ndizo harakati za kudai zikiratibiwa zilitaifishwa ama kweli......Mungu akurehem mama
 
Asante kwa kuweka kumbukumbu vizuri, kama mtu huna taarifa sahihi usipotoshe.
 
nipe historia ya DOSSA azizi kwa urefu zaidi.
Pia kuna jamaa sikumbuki jina naskia nae alizimwa, alikua wa zenji hadi akawa waziri nadhani. Baadae akafa kiutata
 
hiyo link mbona haipatikani mkuu, hebu tuma nyingine kama inawezekana
Chin...
Kwangu nimeijaribu sasa hivi imefunguka.
Nakutumia tena:



 
Hallo Members Bila Shaka Mnafahamu Mchango Wa Mwanamama Shupavu Titi Mohammed Katika Harakati Za Kupigania Uhuru Wa Tanganyika. Naomba Msaada Wenu.

Nahitaji Kupata Kauli Alizozitoa Enzi Za Kupigania Uhuru Na Hata Baada Ya Kutoka Serikalini.

Msaada Tafadhali, Ukinipatia Link Nikasome Pia Utakuwa Umenisaidia.

Natanguliza Shukrani
 
... chupu chupu "apotezwe" maana alikuwa na vinasaba vya usaliti. Ni huruma tu ya Mwalimu iliyomuokoa.
 
Tukisema Nyerere kuna muda alikua miyeyusho sana watu wanatubishia
 
kanyang'anywa nyumba? and of all places Temeke.Nyerere can not be that bad,would someone enlighten us please
Temeke haikuwa uswahilini miaka hiyo, kama unaijua Temeke yenyewe ina mitaa iliyopangiliwa, kabla haijavamiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…