Kwenye siasa huwezi kuitenga dini kwasababu kuu mbiliSababu nyie watu wa pwani mnachanganya siasa na dini
1 siasa nimaisha yawatu ya kila Siku
2 dini maisha yawatu ya kila sku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye siasa huwezi kuitenga dini kwasababu kuu mbiliSababu nyie watu wa pwani mnachanganya siasa na dini
she is beautiful, uganda is look like majuu! Hahaha nice cars,white people,nice roads etcSasa hivi kama haufikiri sawasawa na wao au hauvai manguo ya kijani basi wewe si Mtanzania, hawa watu ni wa hovyo sana.
Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughterView attachment 822662
WEWE muongo acha kupotosha baada ya uhuru biTT alikuwa waziri na mbunge mwanamke wa kwanza, walianza kutofautiana baada ya mwalimu kutangaza Arusha Declaration ambalo lilizdhmiria kutaifisha nyumba zote za Kariakoo na Posta Including ya Bibi TT mwenyewe ambayo Nyerere akikesha humo wanapanga mikakati ya kudai uhuru. ikumbukwe kuwa mwalimu hakuwa na makazi mjini so mipango yao wakiifanya kwa wenzie akiwemo Bibi TT. Baada ya hustle za kudai uhuru wakaupata Mwl anataka kutaifisha nyumba zake hapo ndo mgogoro ukaanza akampa kesi ya uhaini na kutaifisha nyumba zake zote 2 za Posta DSM baada ya kutoka jela akalala katika mahema na kwenye mapipa tu duuh toka kuwa raisi wa Wanawake wa PAFMECA hadi kulala katika mapipa kuna raha gani ya uhuru. huyu mama sijuwi kama kamsamehe mwlBaada ya kufahamiana na Mwalimu alipewa uongozi katika Women Wing ya TANU ambapo alishiriki katika kuhamasisha wanawake kuunga mkono harakati za TANU za kudai uhuru. Hata hivyo kwa mujibu wa Bibi Titi mwenyewe, (Kwa jinsi alivyowahi kuniambia) ni kwamba tofauti za msingi kati yake na Mwalimu zilianza mwaka 1958 ambapo Mwl. alimpeleka, kwa maelezo ya Bibi Titi, Demu wake masomoni Ulaya kwa kutumia Fedha za Umoja wa Wanawake badala ya mwanamke aliyekuwa amendekezwa na Umoja huo. Mwanamke huyo wakati huo alikuwa ni Nesi katika Hopitali mojawapo iliyokuwa mikoa ya kusini.
Japokuwa hakueleza, bayana kwa nini alichukizwa na kitendo kile cha Mwalimu, wadadisi wa mambo wanadai kuwa, chuki hiyo ilitokana na wivu wa kimapenzi kwani inadaiwa kuwa hata Mwalimu na Bibi Titi walikuwa................
Nani kapindisha waligongana kwenye corridor? Nani waligongana kwenye corridor? Kupindisha kumekuja vipi?Tunajuwa kitu uhain kwa tz Mara nyingi huwa kuna jambo ambalo nizito kulitamka sasa kunamtu alikuwa anapindisha eti waligongana kwenye kordo sijui nini. Tunatambua bibi titi alikuwa anapigania usawa hakutaka kuwa sehemu ya wanafiq nakushuru sana kwa taarifa iliyooka
Naenda mbali zaidi na kusema dini ni siasa ya kale iliyovikwa joho la Mungu asiyethibitishika leo.Kwenye siasa huwezi kuitenga dini kwasababu kuu mbili
1 siasa nimaisha yawatu ya kila Siku
2 dini maisha yawatu ya kila sku
Hao wote walikuwa bendera futa upepo walikuwa hawana la kuchangia bali mr yeeeeeees. hawakujitoa muhanga wa kweli kifupi walitamani madaraka tu pindi waislamu wakifanikiwa.acha kuongea unafiki usio na tija.eti wakristu hawakushiriki kwenye kupigania uhuru.Julius Kambarage Nyerere, Ali
Sykes, Lameck Makaranga,
Gosbert Milinga, Gelmandus
Pacha, Joseph Kimalando, Japhet
Kirilo, Abubakar Ilanga, Saadan
Kandoro, Suleiman Kitwara,
Kisunguta Kabara, Chewa Said
Chewa, Dosa Aziz, Patrick
Kunambi, Joseph Kasela Bantu,
John Rupia, Abdulah Sykes.kuna Christians wangapi hapo.na hizo pesa wanazopewa makanisa zinatolewa na nani? ikiwa serikali haijengi msikiti wala kanisa.shule zilirudishwa kw kukosa hela? mbona hata historia fupi kama hiyo unataka kuipotosha leo pesa yakuendesha hizo shule wamezipata wapi? huo ni ushabiki wakidini eti kanisa linapewa pesa na serikali
Asante kwa kuweka kumbukumbu vizuri, kama mtu huna taarifa sahihi usipotoshe.Hii ni kamba, mwongo mkubwa!
Kwanza, Bibi Titi hakumleta Nyerere TAA, na wala si Kawawa. Pia, Waislam na Wakristo ni wote walishiri kwenye harakati za Uhuru.
Bibi Titi hakuwepo kwenye picha wakati wa TAA, wala TANU ya mwanzo. Bibi Titi ndio aliletwa kukutana na Nyerere, 1955, na dereva Taxi aliyejuana na shemeji wa Bibi Titi. Baadae, shemeji wa Bibi Titi akawa anamsukuma Bibi Tibi ahudhurie mikutano ya Nyerere, na baadae akavutiwa nae, akapewa kadi namba 16. Nyerere alikuwa na kadi namba moja.
Na Kawawa alikuja TANU akitokea vyama vya wafanyakazi mwaka 1958, four years behind the curve!
Na madai yako mengine ya Wakristo vs Waislam ni uwongo wa kuchomwa moto. Wakristo na Waislam walishiri bega kwa bega katika harakati. Walionzisha TANU wako 17, wa dini zote:
(1)Mwalimu J.K. Nyerere Mwenyekiti
(2)Geremano Pacha
(3)Joseph Kimalando
(4)Japhet Kirilo
(5)C.O. Milinga
(6)Abubakari llanga
(7)L.B. Makaranga
(Saadani A. Kandoro
(9)Suleman M. Kitwara
(10)Kisunguta Gabara
(11)Tewa Said Tewa
(12)Dossa A. Aziz
(13)Abdu Sykes
(14)Patrick Kunambi
(15)Joseph K. Bantu
(16)Ally Sykes
(17)John Rupia
Na ukienda nyumba zaidi, hata viongozi wa Kitaifa wa TAA walioanza kutuma madai ya kimaandishi ikulu ya Sir Edward Twinning kudai chama kitambulike kwa uwakilishi Bungeni walikuwa ni Mwenyekiti na Katibu Mkuu, TAA Taifa, Abdulwahid Sykes na Vedastus Kyaruzi respectively.
Hiyo ni kabla na wakati wa uundwaji wa TANU. Baada ya kuundwa, TANU ili recruit viongozi wa harakati kutoka viongozi wa vyama vya ushirika, Nsilo Swai, Sir George Kahama, Jeremiah Kasambala, Paul Bomani, John Mhavile, na wengine.
Kwa hiyo, kusema TANU ilikuwa ya Waislam waliokaribisha Wakristo ( or vice versa ) ni urongo, uzandiki.
nipe historia ya DOSSA azizi kwa urefu zaidi.Hii ni kamba, mwongo mkubwa!
Kwanza, Bibi Titi hakumleta Nyerere TAA, na wala si Kawawa. Pia, Waislam na Wakristo ni wote walishiri kwenye harakati za Uhuru.
Bibi Titi hakuwepo kwenye picha wakati wa TAA, wala TANU ya mwanzo. Bibi Titi ndio aliletwa kukutana na Nyerere, 1955, na dereva Taxi aliyejuana na shemeji wa Bibi Titi. Baadae, shemeji wa Bibi Titi akawa anamsukuma Bibi Tibi ahudhurie mikutano ya Nyerere, na baadae akavutiwa nae, akapewa kadi namba 16. Nyerere alikuwa na kadi namba moja.
Na Kawawa alikuja TANU akitokea vyama vya wafanyakazi mwaka 1958, four years behind the curve!
Na madai yako mengine ya Wakristo vs Waislam ni uwongo wa kuchomwa moto. Wakristo na Waislam walishiri bega kwa bega katika harakati. Walionzisha TANU wako 17, wa dini zote:
(1)Mwalimu J.K. Nyerere Mwenyekiti
(2)Geremano Pacha
(3)Joseph Kimalando
(4)Japhet Kirilo
(5)C.O. Milinga
(6)Abubakari llanga
(7)L.B. Makaranga
(Saadani A. Kandoro
(9)Suleman M. Kitwara
(10)Kisunguta Gabara
(11)Tewa Said Tewa
(12)Dossa A. Aziz
(13)Abdu Sykes
(14)Patrick Kunambi
(15)Joseph K. Bantu
(16)Ally Sykes
(17)John Rupia
Na ukienda nyumba zaidi, hata viongozi wa Kitaifa wa TAA walioanza kutuma madai ya kimaandishi ikulu ya Sir Edward Twinning kudai chama kitambulike kwa uwakilishi Bungeni walikuwa ni Mwenyekiti na Katibu Mkuu, TAA Taifa, Abdulwahid Sykes na Vedastus Kyaruzi respectively.
Hiyo ni kabla na wakati wa uundwaji wa TANU. Baada ya kuundwa, TANU ili recruit viongozi wa harakati kutoka viongozi wa vyama vya ushirika, Nsilo Swai, Sir George Kahama, Jeremiah Kasambala, Paul Bomani, John Mhavile, na wengine.
Kwa hiyo, kusema TANU ilikuwa ya Waislam waliokaribisha Wakristo ( or vice versa ) ni urongo, uzandiki.
hiyo link mbona haipatikani mkuu, hebu tuma nyingine kama inawezekanaB,
Ingia hapo chini Cntrl-Click.
Huo ni mswada wa Maisha ya Bibi Titi Mohamed (1926 - 2000) kama Allah alivyoniwezesha kuuandika una maneno 8629:
https://mail.google.com/mail/u/0/?u...&attid=0.1&disp=safe&realattid=f_hvdqmqw30&zw
Chin...hiyo link mbona haipatikani mkuu, hebu tuma nyingine kama inawezekana
Tukisema Nyerere kuna muda alikua miyeyusho sana watu wanatubishiaThis is Tanzanian history abecedary, lazima tuyajue haya! Kanyang'anywa nyumba ndio, tena mbili, moja iko Upanga. Baadae, Nyerere alipochoka madaraka ndio akarudishiwa. Lakini hakuwahi kupata pesheni yake ya Uwaziri, TANU, Umoja wa Wanawake. Nafurahi alimwambia haya Nyerere usoni, kabla hawajafa.
Bibi Titi alianza kukosana na Nyerere miaka ya '60s, wakati Nyerere alipo submit Azimio la Arusha. Bibi Titi hakulipinga, at least not the substantive themes of it, lakini alipinga jinsi lilivyoletwa letwa, anasema Mzee alikuwa anaitikiwa "ndio Mzee, ndio Mzee," bila deliberation na michango.
Imagine Nyerere katoka masomoni Scotland kwenye ma Fabian Society anakuja kuyumbishwa na Mama wa Temeke hukusu transparency na democracy? Unashindwa kudebate na mwanaharakati mwenzio, unamfunga?
"Siku moja mimi na Bibi mwingine na Bi Maua tulipelekwa kama kuonyeshwa, wanawake ni hawa na hawa wanakaa hapa na hivi na hivi. Sheneda akaombwa waandikiwe barua kwa waume zao tukamwambia wote tuna waume zetu, ila Bi Maua tu.Tukaingia mjini na Bibi Tatu kila mahali na kila nyumba.
...mimi nilikwenda nyumba ya mtu safari ya kwanza kwenda kuarifu mkutano wa TANU. Nilipoingia nyumba moja wanawake wote wakakusanyika wakaniambia, ehee bibi, unataka wanaume wa chumba gani, wa chumba hiki au hiki au kile. Nikajua ehee leo nitapigwa leo; nimeshangaa. Jamani kosa gani tena nimekosa, mimi nimekuja hapa kueleza habari za mkutano, leo kuambiwa nimefuata mwanamume mmoja wa chumba cha uani tena mpaka hivi ninamkumbuka, anaitwa RASHIDI.
Akasema Bibi Titi nilichoijia ndilo hilo la kutangaza chama, nikasema ndilo hilo, hapo akawaambia ndio huyu mama anayetangaza chama cha Nyerere kuingia kila nyumba, na nilimuona hata nyumba ya mbele huko, ndiyo nikarudi nyumbani nimenusurika."
Temeke haikuwa uswahilini miaka hiyo, kama unaijua Temeke yenyewe ina mitaa iliyopangiliwa, kabla haijavamiwakanyang'anywa nyumba? and of all places Temeke.Nyerere can not be that bad,would someone enlighten us please