Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

Katika mazungumzo ya hapa na pale ya watangazaji wa clouds fm, majibizano kati ya Gadner Habashi na Efraim Kibonde mwaka 2013 yalifanya nifuatilie legitimacy ya alichokuwa akisema bwana Kibonde kwamba Biti Titi Mohammed alileta ubishi mbele ya mwalimu Nyerere, na akaambulia kibao cha shavu la kushoto na Mwalimu Nyerere kujishtukia baadae kwamba alichofanya ni sawa lakin si kwa njia ile,

Kama kawaida yangu nikachimba kwenda kwa wazee wengi wenye busara kujua ukweli wa habari hii,

Maana hata kama habari Haina ukweli lakin imesikika katika chombo cha habari maarufu sana hata kama haikuwa habari kamili, ila ni mazungumzo ndani ya chombo hicho,

Nikamuuliza mzee mmoja ambaye amehudumu ikulu kwa muda mrefu R.I.P na sitamtaja jina,

Alinijibu hivi, bwana unashangaa kofi tu kwa Biti Titi? Nyerere alikuwa rais kweli na si mfano wa rais, angekufanya chochote kile na ukashindwa cha kufanya maana ukiangalia unakuwa kwenye upande wa makosa,

Suala la Biti Titi ni kwamba kuna maagizo alipewa akafanye nje ya nchi akaenda kinyume na maagizo ya boss wake, lakin akaomba ushauri kwa watu mbali mbali jinsi ya kumuingia Nyerere na kumueleza hasara Ile na ukweli ni kwamba kwa kosa lile Titi alistahiri adhabu kubwa mno, ila alipewa heshima kwa sababu ni mmama pekee aliyejitoa kwa nchi hii katika ukombozi, hivo suala la kofi sipendi kuliongelea zaidi,"

Akaendelea

" usiangalie mambo ya kofi angalia hata taifa lilipata hasara gani kwa wakati huo,
Pia mbona siyo Biti Titi tu, kuna wakuu wa wilaya waliwahi kurushiwa stepple machine kisa mauaji yaliyoendelea nchini mwao, kuna wakuu wa shule walichapwa viboko kwa kutuhumiwa ulevi, na kuharibu Mirada ya shule, ila habari hizo zilikuwa kimya kimya,"

Nyerere alikuwa ana kaa ikulu katika corridor fulan ndefu yenye zuria jekundu, alafu unapoingilia mlango unamuona kulee anakuangalia aangalii Pembeni, ukiwa na kosa ukaitwa na Nyerere ikulu, mtihani ulikuwa uanze mguu gani kuingia kwenye corridor, maana mpaka unamfikia anakuangalia una loose confidence,

Kwa kifupi Yule mzee alikuwa mkali sana, lakin hakuonea mtu alikuwa mkali kwa mambo ya msingi"

Britannica
Sijui kuhusu makofi na Bibi Titi.

Upande mwingine wa Nyerere, he was the consummate gentleman.

Mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere. Hii nadhani ni baada tu ya kutoka chuo. Alinihadithia siku moja bado kidogo agongane uso kwa uso na Nyerere kwenye hiyo corridor iliyosemwa. Alikuwa anakata kona kuingia huko ndani kupeleka makaratasi ya Reuters, halafu hajajua Nyerere naye anakata kona kutoka. Ikawa bado kidogo tu wagongane uso kwa uso.

Mama akawa kaogopa sana ikawa kama ame freeze. Kugongana na Nyerere kwenye corridor Ikulu si mchezo. Akawa kajiona kama kakosa uangalifu na heshima. Akawa anasubiri kukaripiwa kwa maneno makali tu kwamba inakuwaje akose uangalifu vile, na maneno makali mengine kama hayo. Nyerere alikuwa anaogopwa. Lakini akajikuta sio tu hajakaripiwa, bali akamuona Nyerere tofauti aliyekuwa concerned na yeye (mama) zaidi kama yupo OK, Nyerere inaelekea alimuona huyu kashapanic ngoja nimsaidie kumrudisha kuwa normal tu. Akamwambia asighafirike sana, aendelee tu na kazi zake, ile kona imekaa vibaya.

Basi tangu siku hiyo mama akawa anamuona Nyerere si tu huyu lionized head of state, bali pia mtu anayeweza kuwa muungwana katika mahusiano ya kazini ya kila siku.

I just thought I should share that to give perspective.
 
Last edited:
Nyerere alikuwa na udini hata kama mtu utabisha nenda kafatilie siyo kwa kusoma hizi historia zilizopikwa. Na alikuja mfunga had huyu bibi titi wakenya wakaja muomba amwachie.
Hivi Mfaume Kawawa alikuwa mkatoliki.......?
 
Katika mazungumzo ya hapa na pale ya watangazaji wa clouds fm, majibizano kati ya Gadner Habashi na Efraim Kibonde mwaka 2013 yalifanya nifuatilie legitimacy ya alichokuwa akisema bwana Kibonde kwamba Biti Titi Mohammed alileta ubishi mbele ya mwalimu Nyerere, na akaambulia kibao cha shavu la kushoto na Mwalimu Nyerere kujishtukia baadae kwamba alichofanya ni sawa lakin si kwa njia ile,

Kama kawaida yangu nikachimba kwenda kwa wazee wengi wenye busara kujua ukweli wa habari hii,

Maana hata kama habari Haina ukweli lakin imesikika katika chombo cha habari maarufu sana hata kama haikuwa habari kamili, ila ni mazungumzo ndani ya chombo hicho,

Nikamuuliza mzee mmoja ambaye amehudumu ikulu kwa muda mrefu R.I.P na sitamtaja jina,

Alinijibu hivi, bwana unashangaa kofi tu kwa Biti Titi? Nyerere alikuwa rais kweli na si mfano wa rais, angekufanya chochote kile na ukashindwa cha kufanya maana ukiangalia unakuwa kwenye upande wa makosa,

Suala la Biti Titi ni kwamba kuna maagizo alipewa akafanye nje ya nchi akaenda kinyume na maagizo ya boss wake, lakin akaomba ushauri kwa watu mbali mbali jinsi ya kumuingia Nyerere na kumueleza hasara Ile na ukweli ni kwamba kwa kosa lile Titi alistahiri adhabu kubwa mno, ila alipewa heshima kwa sababu ni mmama pekee aliyejitoa kwa nchi hii katika ukombozi, hivo suala la kofi sipendi kuliongelea zaidi,"

Akaendelea

" usiangalie mambo ya kofi angalia hata taifa lilipata hasara gani kwa wakati huo,
Pia mbona siyo Biti Titi tu, kuna wakuu wa wilaya waliwahi kurushiwa stepple machine kisa mauaji yaliyoendelea nchini mwao, kuna wakuu wa shule walichapwa viboko kwa kutuhumiwa ulevi, na kuharibu Mirada ya shule, ila habari hizo zilikuwa kimya kimya,"

Nyerere alikuwa ana kaa ikulu katika corridor fulan ndefu yenye zuria jekundu, alafu unapoingilia mlango unamuona kulee anakuangalia aangalii Pembeni, ukiwa na kosa ukaitwa na Nyerere ikulu, mtihani ulikuwa uanze mguu gani kuingia kwenye corridor, maana mpaka unamfikia anakuangalia una loose confidence,

Kwa kifupi Yule mzee alikuwa mkali sana, lakin hakuonea mtu alikuwa mkali kwa mambo ya msingi"

Britannica
Bibi Titi alikuwa na cheo gani? Na alitumwa nini huko nchi za nje? Maana usilete porojo za Nyerere na Kawawa.
 
Sijui kuhusu makofi na Bibi Titi.

Upande mwingine wa Nyerere, he was the consummate gentleman.

Mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere. Hii nadhani ni baada tu ya kutoka chuo. Alinihadithia siku moja bado kidogo agongane na Nyerere kwenye hiyo corridor iliyosemwa. Alikuwa anakata kona kuingia huko ndani kupeleka makaratasi ya Reuters, halafu hajajua Nyerere naye anakata kona kutoka. Ikawa bado kidogo tu wagongane uso kwa uso.

Mama akawa kaogopa sana ikawa kama ame freeze. Kugongana na Nyerere kwenye corridor Ikulu si mchezo. Akawa kajiona kama kakosa uangalifu na heshima. Akawa anasubiri kukaripiwa kwa maneno makali tu kwamba inakuwaje akose uangalifu vile, na maneno makali mengine kama hayo. Nyerere alikuwa anaogopwa. Lakini akajikuta sio tu hajakaripiwa, bali akamuona Nyerere tofauti aliyekuwa concerned na yeye (mama) zaidi kama yupo OK, Nyerere inaelekea alimuona huyu kashapanic ngoja nimsaidie kumrudisha kuwa normal tu. Akamwambia asighafirike sana, aendelee tu na kazi zake, ile kona imekaa vibaya.

Basi tangu siku hiyo mama akawa anamuona Nyerere si tu huyu lionized head of state, bali pia mtu anayeweza kuwa muungwana katika mahusiano ya kazini ya kila siku.

I just thought I should share that to give perspective.
Kama ulichosema ndivyo sina jibu hapo mm nimejibu kutokana namuelezo wamada iliopo nimuombe mwenye mada aitoe inapotosha swali kwako je aliwahi kumfunga bibi t ?
 
Bibi Titi ni mtu wa kumfanyia utafiti wa kutosha kuandika kitabu kamili kuondoa maswali mengi. Si kuandika story moja.

Alikuwa na nyumba Magore St Upanga opposite Makao Makuu ya Jeshi.

Mohamed Said yuko wapi atupe yaliyomo kwenye makabrasha yake?
 
Last edited:
Nyerere alikuwa na udini hata kama mtu utabisha nenda kafatilie siyo kwa kusoma hizi historia zilizopikwa. Na alikuja mfunga had huyu bibi titi wakenya wakaja muomba amwachie.
Sababu nyie watu wa pwani mnachanganya siasa na dini
 
Kuna mtu kachukua *kelibu* nini? Halafu tufunike kombe kwa ku compare na ku contrast
 
Nyerere alikuwa na udini hata kama mtu utabisha nenda kafatilie siyo kwa kusoma hizi historia zilizopikwa. Na alikuja mfunga had huyu bibi titi wakenya wakaja muomba amwachie.
Ushaharibu uzi yan supu umeitia nazi
 
Kama ulichosema ndivyo sina jibu hapo mm nimejibu kutokana namuelezo wamada iliopo nimuombe mwenye mada aitoe inapotosha swali kwako je aliwahi kumfunga bibi t ?
Serikali ya Nyerere iliwakamata Bibi Titi Mohammed, Michael Kamaliza na wengine mwaka 1969 kwa tuhuma za uhaini na kutaka kuipindua serikali. Bibi Titi alifungwa kifungo cha maisha na kupewa msamaha wa rais mwaka 1972.
 
Nyerere ntamkumbuka daima kwa ile eloquence aliyojaliwa na Mungu, uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja.

Na ile tabia ya kutopenda kujizungushia rundo kubwa la wapambe kama walivyokuwa marais wa mwanzo wa Afrika.

Nakumbuka jinsi alivyokuwa akipenda kumtaja Rashid Kawawa kila mara akihutubia. Mwalimu alikuwa msomi wa ukweli asiye na majivuno.
 
Nyerere ilikuwa lazima amtaje sana tu Rashid Kawawa.

Nyerere alimuachia Kawawa nchi, akaenda kuimarisha chama. Halafu akarudi kuchukus madaraka aliyomuachia Kawawa, Kawawa akamrudishia nchi Nyerere.

Chifu Nnamdi Azikiwe wa Nigeria aliposikia habari hizo kwanza hakuamini. Alipohakikishiwa ni kweli, akasema nileteeni huyo Kawawa nimfanye awe mwanangu, maana huku kwetu ukimuachia nchi mtu hivyo ndiyo imetoka, hawezi kukurudishia madaraka.

Hivyo, hawa wahenga hawakukutana mtaani.
 
Last edited:
Nyerere ilikuwa lazima amtaje sana tu Rashid Kawawa.

Nyerere alimuachia Kawawa nchi, akaenda kuimarisha chama. Halafu akarudi Kawawa akamrudishia nchi Nyerere.

Chifu Obafemi Awolowo wa Nigeria aliposikia habari hizo kwanza hakuamini. Alipohakikishiwa ni kweli, akasema nileteeni huyo Kawawa nimfanye awe mwanangu, maana huku kwetu ukimuachia nchi mtu hivyo ndiyo imetoka, hawezi kukurudishia madaraka.

Hivyo, hawa wahenga hawakukutana mtaani.
Wanigeria wanateswa na ukweli kuwa nchi yao ni shirikisho. Wao wamekaa kimajimbo zaidi. Hausa wanawadharau Igbo, Yoruba hawawaamini Igbo. Awolowo alikuwa na haki kabisa kusema hivyo, kwa sababu asili yao wale jamaa ni kutokuaminiana.

Sisi tulikuwa na bahati ya kuweza kuzitawala hisia za kikabila tangu enzi zile. Ni katika miaka hii ya karibuni ndipo mambo kidogo kidogo yanaharibika, yule shetani mwovu aitwa ukanda amekuwa akiibuka kupitia hoja za watu.
 
Yeah. Correction on my part. The Chief was Nnamdi Azikiwe. Huyu ndiye Azikiwe ambaye ule mtaa wa Azikiwe Dar umepewa jina lake.

Sorry I mix my Nigerian statesmen Chiefs.

Kuhusu umoja wa kitaifa, jana tu nilikuwa namwambia mtu, inawezekana Nyerere alishindwa kiuchumi lakini aliweza kujenga umoja wa kitaifa. Na sasa hivi tynaona unamomonyika sana kwa vike watu wanafikiri utakuwepo tu, kazi ya kuujenga imekwisha, wakati kazi hii haiishi.
 
i was blessed kuishi jirani na bibi titi na nimekuwa na wajukuu zake. hiyo nyumba ya temeke unayosema alinyang'anywa alirudishiwa hata kabla nyerere hajaondoka madarakani na alirudishiwa ya temeke kwanza halafu ya upanga. mpaka sasa hivi wajukuu zake wanaishi pale upanga na temeke.
Ni kabila gani? Huyu
 
Nilikuwa na rafiki zangu Upanga mtaa wa Magore pale jeshini karibu kabisa na nyumba ya BibibTiti.

Hapo ndipo nilipoijua ile nyumba ya Bibi Titi.

Nilikuwa sina uhakika kamanwamepangisha au wanakaa familia yake sasa.

Shukurani kwa kutujulisha kwamba wanafamilia wapo pale.

Watafiti wanaweza kwenda kuuliza mambo kupata ukweli zaidi. Kama familia itaridhia.
 
Yeah. Correction on my part. The Chief was Nnamdi Azikiwe. Huyu ndiye Azikiwe ambaye ule mtaa wa Azikiwe Dar umepewa jina lake.

Sorry I mix my Nigerian statesmen Chiefs.

Kuhusu umoja wa kitaifa, jana tu nilikuwa namwambia mtu, inawezekana Nyerere alishindwa kiuchumi lakini aliweza kujenga umoja wa kitaifa. Na sasa hivi tynaona unamomonyika sana kwa vike watu wanafikiri utakuwepo tu, kazi ya kuujenga imekwisha, wakati kazi hii haiishi.
Sasa hivi kama haufikiri sawasawa na wao au hauvai manguo ya kijani basi wewe si Mtanzania, hawa watu ni wa hovyo sana.

Uganda President signed a bill to put in prison those women caught wearing Mini Skirts - Friends, Here is Diana, Museveni's daughter
FB_IMG_1532944997804.jpg
 
it seems there is more to this,then sees the eye.Tunaomba historians mutuweke sawa. Na huyu TAMBAZA,is it true kwamba kuanzia muhimbili primary school mpaka aga khan hospital eneo lote hili lilikuwa coconut plantation yake?
Watoto wa Upanga wa zamani wanajua habari hizi. Ni kweli kwamba sehemu hiyo yote ilikuwa ni ya Jumbe Tambaza.

Na kwa kweli, shamba la ukoo lilikuwa lenye historia ndefu sana. Ilikuwa pia ni sehemu ya makaburi, mengine ya zamani sana. Mpaka msikiti wa Tambaza upo eneo hilo.

Jumbe Tambaza ni mmoja kati ya viongozi waliomsaidia sana "Baba Kabwela" (kama walivyomuita Nyerere wenyewe enzi hizo) kukubalika kwa watu wa Pwani.

Nyerere naye, pamoja na usomi wake na Ukatoliki wake, alijichanganya vizuri na wazee wa pwani.

Kuna habari moja ya jinsi Jumbe Tambaza na wazee wa pwani walivyomfukiza Nyerere kwenye makaburi kabla ya uhuru. Nyerere aliwaambia wazee kwamba gavana anamuita kwa maongezi ya kupata uhuru. Akawa anawaomba wazee maoni. Jumbe Tambaza akamwambia hapa tutafanya vundiko la jadi. Itabidi tukuvundike. Wakachimba chini, wakaua mnyama, wakanyunyiza damu, na kusema maneno fulani. Kisha Jumbe Tambaza akamsema gavana atakuwa "shwaini" tu kwa Nyerere. Atafanya anachotaka Nyerere. Kutoka hapo Nyerere akaenda kufanya mikutano na gavana mpaka kupelekea uhuru.

Nyerere mwenyewe alisemanhaya katika moja ya hotuba zake alipokuwa anaonesha umuhimu wa kufanya kazi na wazee na kuwa adaptive (alisema yeye Mkatoliki lakini ilibidi akubali tambiko).
 
Serikali ya Nyerere iliwakamata Bibi Titi Mohammed, Michael Kamaliza na wengine mwaka 1969 kwa tuhuma za uhaini na kutaka kuipindua serikali. Bibi Titi alifungwa kifungo cha maisha na kupewa msamaha wa rais mwaka 1972.
Tunajuwa kitu uhain kwa tz Mara nyingi huwa kuna jambo ambalo nizito kulitamka sasa kunamtu alikuwa anapindisha eti waligongana kwenye kordo sijui nini. Tunatambua bibi titi alikuwa anapigania usawa hakutaka kuwa sehemu ya wanafiq nakushuru sana kwa taarifa iliyooka
 
Back
Top Bottom