PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Changia mjadala bila makasiriko wala mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
Wewe unaona ni sahihi Samuya na genge lake la wauaji kukaa na maiti za watu hadi muda huu badala ya kuwapa ndugu wakazike?
 
Kila nikilala nikiamka nashindwa kupata usingizi jinsi polisi walivyoondoa uhai wa raia wasiokuwa na hatia.

Kana kwamba hili halitoshi, bado polisi wanaendelea na ushenzy wa kuwapiga raia. Tukio la polisi kumpiga daktari na kumuumiza, kinaniuma sana.
 
Majivu yalichanganywa na simenti kwani haikua rahisi kulisafisha tanuri.
 
Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.

maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.

umaskini ni kitu mbaya sana aise
Ukweli ni upo mzalendo mwenzetu?
 
Wewe sio mzima au sio binadamu kamili. Una matatizo makubwa mkuu.
ndugu mzima,
mbona unaonyesha mihemko tu ambayo ina ashiria pasinashaka yoyote kua ndia hasa mwenye changamoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…