Yes, the plural form is a majestic language to show the greatness of God.Despite its plural form, Elohim is perceived as a singular term. According to Genesis, Elohim is considered a monotheistic term despite its polytheistic grammatical structure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, the plural form is a majestic language to show the greatness of God.Despite its plural form, Elohim is perceived as a singular term. According to Genesis, Elohim is considered a monotheistic term despite its polytheistic grammatical structure.
Mzee usilete upumbavu. Hueleweki hata unaongelea nini. Kama wewe ni mfia dini wengine hatupo hivyo mzee.Kwa hiyo, ulivyouliza hukutaka jibu, siyo?
Hii ni open platform. Najibu nitakavyo na huwezi niwekea mipaka. Once umepost hii thread ni mali ya JF sio yako.Tatizo lako mzee unarukia tu bila hata context. Unajua issue na Council of Nicaea ilitokea wapi?
Check Screenshot hii kutoka kwenye page 1. Nenda kasome #13
Napia acha kurukia mada tu bila hata kujua context ya mtu alichokuwa anakiuliza. Mbona aliyetoa hoja hiyo baada ya kumjubu alilidhika na ku LIKE comment yangu?
Hebu naomba nieleze shida yako ni nini hasa
View attachment 3043238
Umedadavua vizuri sana hata kwa kiswahili iko hivyo,nikikutanana jirani yangu mtu mzima huwa namuulixa wazima hapo😐My God! Umesoma biblical exegesis au hermeneutics kweli? Kwenye uandishi wa Biblia kuna matumizi ya lugha ya heshima kwa Mungu (majestic language) - kutumia wingi mahali pa umoja', na wala siyo makosa ya uandishi. Hata katika lugha kama Kifaransa kuna matumizi ya lugha kama hiyo. Mfano, ukimwongelea mzazi au mtu official unatumia neno 'vous' = 'nyinyi'. Mfano, "comment allez-vous": How are you? Lakini kama agemate, colleague, rafiki, utasema: "comment ca va"?: How are you? Kwenye lugha kama Chichewa, kumu'address' mzazi, mtu official au kumsalimia utasema: 'Ali bwanji'...? Sawa na kusema "Hamjambo"? Lakini kumu'address' agemate, rafiki, rafiki etc: utasema: 'mulibwanji'...? 'Ali bwanji' ni wingi wa 'muli bwanji'. Ukitumia 'ali bwanji' kwa mtu mmoja, Ina maana umetumia 'majestic language'...umeonyesha heshima kwa mtu unayemsalimia. Wakati ukitumia 'muli bwanji' kama ni mtu mkubwa kwa cheo au umri atajisikia kwamba umempa salamu ya kawaida/umemdharau. Style ya uandishi wa Kitabu cha Mwanzo, inafuata tradition hii ya majestic language, lakini siyo kosa la kiuandishi, bali style ya uandishi.
Nilichangia kwenye post ambayo hukuanzisha. Wewe mwenyewe ukaleta upumbavu katika kile nilichokiandika (you write on my wall) na wala sikukualika. Sasa unasema niache upumbavu, unakuhusu? Bure kabisa!Mzee usilete upumbavu. Hueleweki hata unaongelea nini. Kama wewe ni mfia dini wengine hatupo hivyo mzee.
Unajibu utakavyo hata nje ya context 😀 😀 😀 Wakatoliki bhana!!Hii ni open platform. Najibu nitakavyo na huwezi niwekea mipaka. Once umepost hii thread ni mali ya JF sio yako.
Sijawahi hata kuwa mkatoriki.Unajibu utakavyo hata nje ya context 😀 😀 😀 Wakatoliki bhana!!
Jew anayeamini Trinity 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaijua hata Tanakh kweli?Sijawahi hata kuwa mkatoriki.
Judaism is my religion.
Agano la kale tafsiri yake ya awali ni Hebrew languagekwani hiyo tafsiri ya awali imetoka kwa Greek language au Hebrew language?
Nitakuwa siijui.Jew anayeamini Trinity 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaijua hata Tanakh kweli?![]()
Tueleze Bereshit 1:1-3 inaongelea nini?Nitakuwa siijui.
Kwanza hakuna sehemu nimesema naamini trinity. Hoja yako nilikujibu kulingana na maandiko yanavyosema tofauti na unavyoelezea.
Kanisome tena ninapoweka bible verse nasema kabisa biblia inasema, sio mimi nasema.
Hapa tunaonegelea Genesis 1:1-3 wewe leta maelezo yako. Umesema wewe ni mfuasi wa Judaism. Judaism wanasoma Torah, na part ya torah kuna Tanakh kwenye Tanakh kunakitabu cha Bereshitיש לך ליגות ילדותיות
Hapa tunaongelea Genesis 1:1-3 In the Beginning kwenye Genesis 2 hakuna In the Beginning ni jambo tofauti kabisa.יש לך ליגות ילדותיות
Genesis 1–3 is a part of the first two sections of prose narrative in Genesis 1:1–2:3 and 2:4–4:26.
Tatizo unajifanya mjuaji sana.Hapa tunaonegelea Genesis 1:1-3 wewe leta maelezo yako. Umesema wewe ni mfuasi wa Judaism. Judaism wanasoma Torah, na part ya torah kuna Tanakh kwenye Tanakh kunakitabu cha Bereshit
Sasa issue inyoongelewa hapa ni makosa ya tafsiri iliyotolewa kutoka kwenye origin Tanakh kwenda kwenye lugha zingine.
Mpaka sasa hivi hujaongelea chochote kuhusu hoja iliyopo mezani. Nimekuwekea ushahidi lakini unashupaza shingo tu na kuleta ubishi wa Kikatoliki 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Halafu unajiona una uwezo wa kuchambua biblia 🤣🤣Hapa tunaongelea Genesis 1:1-3 In the Beginning kwenye Genesis 2 hakuna In the Beginning ni jambo tofauti kabisa.