mbalaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 2,240
- 2,629
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikiwa siku moja ni sawa miaka 1000 hapa unamaanisha tufanye kazi miaka 6000 alafu tupumzike siku ya 7 (yaani tupumzike miaka 1000)Doesn't make sense..Rudia kusoma maandiko (Biblia) pengine utaelewa. 2 Petro 3:8 Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu...
Je, unadhani siku saba zinazotajwa zilikuwa na saa 24 kama siku tuzijuazo leo?...
Anachosema ni kwamba hizo siku 7 za uumbaji sio lateral kama zetu hizi bali ni figurative ntakueleza scenario nyingine.Ikiwa siku moja ni sawa miaka 1000 hapa unamaanisha tufanye kazi miaka 6000 alafu tupumzike siku ya 7 (yaani tupumzike miaka 1000)Doesn't make sense..
Vipi kuhusu kuikumbuka siku ya Sabato nayo pia itabidi tuisubiri kwa miaka 1000???? Haina mashiko hoja yako
Bible inasema ikawa jioni,ikawa asubuhi siku ya pili..Inamaana katika miaka hiyo 1000 kuna baadhi ya miaka ilikuwa ya GizaAnachosema ni kwamba hizo siku 7 za uumbaji sio lateral kama zetu hizi bali ni figurative ntakueleza scenario nyingine.
mwanzo 5:18 inaonyesha Enoch kazaliwa baada ya vizazi sio chini ya 6 na watu zaidi ya elfu 1.
lakini Yuda 1:14 inasema Enoch ni mtu wa saba kuishi duniani baada ya Adam!! Does it make sense!!
Nachosema ni kwamba Biblia ni mafumbo sio lateral ikiwa hivyo kuna mistari hapa nikikuuliza mwenyewe utaona haileti maana ya uhalisia mfano Ezekiel 31 inasema Miti ya Eden ilioneana wivu, mara miti mingine imehukumiwa kuzimu, mara kuna miti ina kiburi!! Does it make sense!!?
Bible is purely figurative
Ikiwa siku moja ni sawa miaka 1000 hapa unamaanisha tufanye kazi miaka 6000 alafu tupumzike siku ya 7 (yaani tupumzike miaka 1000)Doesn't make sense..
Vipi kuhusu kuikumbuka siku ya Sabato nayo pia itabidi tuisubiri kwa miaka 1000???? Haina mashiko hoja yako
Anachosema ni kwamba hizo siku 7 za uumbaji sio lateral kama zetu hizi bali ni figurative ntakueleza scenario nyingine.
mwanzo 5:18 inaonyesha Enoch kazaliwa baada ya vizazi sio chini ya 6 na watu zaidi ya elfu 1.
lakini Yuda 1:14 inasema Enoch ni mtu wa saba kuishi duniani baada ya Adam!! Does it make sense!!
Nachosema ni kwamba Biblia ni mafumbo sio lateral ikiwa hivyo kuna mistari hapa nikikuuliza mwenyewe utaona haileti maana ya uhalisia mfano Ezekiel 31 inasema Miti ya Eden ilioneana wivu, mara miti mingine imehukumiwa kuzimu, mara kuna miti ina kiburi!! Does it make sense!!?
Bible is purely figurative
Nimependa hizi hoja zenu ,ziko vzr zinafikirishaBible inasema ikawa jioni,ikawa asubuhi siku ya pili..Inamaana katika miaka hiyo 1000 kuna baadhi ya miaka ilikuwa ya Giza
vipi kuhusu jua kuzama pia ilichukua muda wa miaka 1000 jua kuzama na kuchomoza ????
Kama zamani jua lilizama kwa miaka elfu 1 na ili kuwa na siku moja ..
Je nini kilitokea jua kubadili utaratibu na kuanza kuzama na kuchomoza kwa Massa 24 kama sasa
Bible inasema Adamu alifariki akiwa na umri wa miaka 930 ( kwa hiyo unataka kusema Adamu aliishi miaka 930x 1000=930,000
Yaaani miaka laki 9 na 30