Bible's verses contradictions

iko hivi,wayahudi walikuwa na maandiko yao katika lugha yao,mfalme aliamuru yale maandiko yatafsiriwe kwa kiingereza akiwatumia akina shakespear,tatizo aliingiza mambo yake na mengine aliyaweka pembeni..mkuu huku hatutaelewana kabisa,for me the whole bible is a fraud,uzushi mtupu...hatutaelewana huku sababu nina maushahidi mengi tu
 
hapo mkuu kuna mashaka sana,kwa nini uweke tafisri yako wakati andiko linajieleza wazi hapo
 
Nikueleze tu kuwa hiki unachokiandika hapa ninakielewa sana tena kwa kina,siyo kipya kwangu isipokuwa ninachotaka ukifanye kwenye hii thread yako ni kwenda taratibu ili upangilie hoja zako vizuri ili tuzijadili kuliko kuanza kujadili makosa madogo madogo kama hayo ya matumizi ya maneno kqwenye thread yako na post zako vile vile.....

Lakini kingine ni kwamba naona kama unatumia kasi kubwa sana kuandika na matokeo yake unaandika vitu vingine ambavyo havipo kwenye Biblia kama maneno yako ya kudai kuwa biblia imeandika alianza kuumbwa Eve kisha Adam....

Ndiyo maana kabla sijaanza kujibu dhana yako hii kuhusiana na mfalm James nataka uweke sawa kwanza madai yako....

Baada ya hayo,unaweza kuonesha ni mambo gani mfalme James aliyaongeza kama yake binafsi kwenye maandiko ya Biblia na ushahidi wake?

Ukimaliza hili,baadaye tutakuja hapo kwenye huo uzushi unaodai upo kwenye Biblia.....
 
naomba tafuta uzi wangu humu "je biblia na ukristo ni plagiarism:"?..tafadhali utafute,nilijibu majibu mengi sana mle..kurudia ni tire-some aisee
 
Mkuu sijatafsiri chochote bali nimefafanua tu....
sasa wewe unaiamini chaptere 1 au 2?yani mungu aliwaumba adam na eva kwa pamoja au alimuumba adam halafu eva?
 
Hata mimi naona km kuna contradiction flaan mf 2. Genesis 2:7& 2:19 Mungu alimuumba binadamu na kisha wanyama halaf Genesis 1:24-27 inasema Mungu alianza kuumba wanyama na kisha binadamu tatizo niloliona hapa wengi wanakuja na andiko linalohusu Adam&Eva as if haya mengine hayana umuhimu.
 
Hivi...hadi sasa ushapajibu jibu la maana kwenye swali lako?
 
Hapo kweli kuna utata...lakini kuhusu adam na eva nadhan hamna utata wowote ni kua tu ya kwanza kaeleza nani alianza ya pili kamaanisha kua wote waliumbwa na mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…