nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
- Thread starter
- #61
iko hivi,wayahudi walikuwa na maandiko yao katika lugha yao,mfalme aliamuru yale maandiko yatafsiriwe kwa kiingereza akiwatumia akina shakespear,tatizo aliingiza mambo yake na mengine aliyaweka pembeni..mkuu huku hatutaelewana kabisa,for me the whole bible is a fraud,uzushi mtupu...hatutaelewana huku sababu nina maushahidi mengi tuMkuu
Naomba nikushauri jambo..
Naomba uwe makini na maneno unayotumia hapa maana naona unatumia maneno ambayo hayastahili.hapo juu umeandika "ninajua aliyetunga King James version",hii ina maana kwamba unamaanisha mtunzi wa hiyo version,sasa sijui kama unaelewa maana ya mtunzi.....
Labda rekebisha hapo mkuu.....
