Bible's verses contradictions

Bible's verses contradictions

sasa wewe unaiamini chaptere 1 au 2?yani mungu aliwaumba adam na eva kwa pamoja au alimuumba adam halafu eva?
Ulichiniuliza ni sawa na hiki hapa chini....

Mtu mmoja anasema leo kuwa alitengeneza pikipiki na baiskeli kisha kesho yake akasema alitengeneza pikipiki kisha akatengeneza baiskeli.Wewe unakuja kuuliza ni siku ipi alikuwa sahihi kati ya siku ya kwanza ya maelezo yake au siku iliyofuata....

Mkuu,utakuwa umeuliza swali au kitu kingine?

Sijui kama unanielewa lakini jibu lake ni kwamba mtoa kauli alikuwa sahihi siku zote mbili.Kwasababu hiyo Mwanzo 1 na Mwanzo 2 zote zipo sahihi,sasa sijui tatizo lako ni lipi hapo....
 
naomba tafuta uzi wangu humu "je biblia na ukristo ni plagiarism:"?..tafadhali utafute,nilijibu majibu mengi sana mle..kurudia ni tire-some aisee
Kule ulijibu majibu ya kitu gani mkuu?
 
Are you serious that you have passed throughout the thread and find no answer? You just say the answers do not suit your taste.

For your information the most intelligent people in the world are those who believe in God. The first university in the world to be established is of the believers. Mention just one scientist who was not a believer
Hey man! stop pretending as if you don't know that there's inverse relationship between theism and Intelligence level.

https://www.google.com/url?sa=t&rct...6.html&usg=AFQjCNGF9x_J8Ji-hUGb21_J7eMSRZKyXQ
 
bible Inajifunga ktk vitu Vingi Sana, kuna some Verses in bible ambazo zina pornographic Contents n if it is to be revealeD Bsi itakua Battle Mbaya..Ila all in all Bible ni IMPERFECT, anD there is no way for the wordS of goD to not be PERFECT, bt in bible it IS
 
Zaburi 33:2 mshukuruni bwana kwa kinubi, kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa,
Amos 8:23 hizo nyimbo na kelele zenu zitakuwa vilio siku ya kiyama,
Amos 6:5 ninyi mnaoimba nyimbo za upuuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyizia vinanda vya namna nyingi kama vile Daudi,
Amos 8:3 Tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile
Amos 5:23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu na sauti za vinanda

NIENDELEE?
kuna conflict na contradiction kwenye aya nyingi sanaaa
 
Ulichiniuliza ni sawa na hiki hapa chini....

Mtu mmoja anasema leo kuwa alitengeneza pikipiki na baiskeli kisha kesho yake akasema alitengeneza pikipiki kisha akatengeneza baiskeli.Wewe unakuja kuuliza ni siku ipi alikuwa sahihi kati ya siku ya kwanza ya maelezo yake au siku iliyofuata....

Mkuu,utakuwa umeuliza swali au kitu kingine?

Sijui kama unanielewa lakini jibu lake ni kwamba mtoa kauli alikuwa sahihi siku zote mbili.Kwasababu hiyo Mwanzo 1 na Mwanzo 2 zote zipo sahihi,sasa sijui tatizo lako ni lipi hapo....
tatizo ni kwamba,ufunuo chapter ya kwanza adam na eva wameumbwa kwa wakati mmoja,chapter ya pili alianza kuumbwa adam halafu eva akatolewa kwenye ubavu wa adam!!!!!kipi ni sahihi kati ya hivyo viwili?
 
27 So God created mankind in his own image,
in the image of God he created them;
male and female he created them.

27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Hapo inaonyesha Mungu aliwaumba Adam na Eva kwa mfano wake na sii maana yako aliwaumba pamoja (@ ze same time) alianza Adam then Eva.
 
nakataa,soma verse zinazofata baada ya hiyo ya 27;
28 Then God blessed them and said, “Be fruitful and multiply. Fill the earth and govern it. Reign over the fish in the sea, the birds in the sky, and all the animals that scurry along the ground.”

29 Then God said, “Look! I have given you every seed-bearing plant throughout the earth and all the fruit trees for your food. 30 And I have given every green plant as food for all the wild animals, the birds in the sky, and the small animals that scurry along the ground—everything that has life.” And that is what happened.

31 Then God looked over all he had made, and he saw that it was very good!

And evening passed and morning came, marking the sixth day.

maana ya hizo verse ni kwamba baada ya kuwaumba aliwabariki(maana yake tayari kashawaumba,tena akawaambia wazae waongezeke)
 
Day 1 God creates the Heavens and the Earth. Sun brings forth light, the Earth spins and darkness is upon the face of the deep (and Earth).

Day 2 The firmament is the volcanic eruptions in the sea. Firmament above is the sunshine above the vapor canopy.

Day 3 God separates the land from the ocean. Firmament of the volcanic eruptions creates the land. The grasses and other vegetation start to grow.

Day 4 The Canopy dissipates, the sun and the moonlight start to hit the Earth. The seasons of life begin.

Day 5 God creates the sea animals, winged insects, and birds.

Day 6 God creates animals and man.

Day 7 God rests. (A humanic term to “cease” from creating)

Genesis Chapter 2 Creation Revisited – Summary Form

2:1 (This is Day 1 but it is not mentioned) God creates the Heavens and the Earth.

2:2-3 (This is Day 7) God rests on the seventh day.

2:4 (This is a repeat of Day 1) God mentions He created the Heavens and the Earth.

2:5 (This is Day 5 but it is not mentioned) -God mentions that he created grasses and plants.

2:7 (This is Day 6 but it is not stated) - God creates man and animals but this time he mentions man first and animals second. He does this because he has Adam name the land animals that were created on Day 6.

2:19 (This is Day 6 continued but it is not stated) - And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought [them] unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that [was] the name thereof.

2:22 (This is Day 6 continued but it is not stated) - And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man

Compare the creation events day to day of Genesis 1 and 2. There is no contradiction.

Jibu lako hapa

Mtoa maada unatumia akili za kutafutia credit hutaweza kuielewa biblia takatifu kamwe kwa akili hizi
 
Zaburi 33:2 mshukuruni bwana kwa kinubi, kwa kinanda cha nyuzi kumi mwimbieni sifa,
Amos 8:23 hizo nyimbo na kelele zenu zitakuwa vilio siku ya kiyama,
Amos 6:5 ninyi mnaoimba nyimbo za upuuzi pamoja na sauti ya vinanda, na kujifanyizia vinanda vya namna nyingi kama vile Daudi,
Amos 8:3 Tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile
Amos 5:23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu na sauti za vinanda

NIENDELEE?
kuna conflict na contradiction kwenye aya nyingi sanaaa
Huu uwelewa mdogo wa kusoma na kuitafsil biblia.
Maandiko haya ya zaburi yaliaandikwa wakat wa tukio la furaha la kumsifu mungu huku mungu akipendezwa na matendo na ibada aliyofanyiwa.
Amosi inakemea kuimba wakati walikuwa wanaimba na kusifu huku wanafanya dhambi ndio maana nyimbo zao zinakuwa kelele mbele mungu.
Tafakari nahaya maandiko
-utii ni bora kuliko sadaka
Je mungu hatak sadaka?
-jicho lako likikosesha ling'oe ulitupe.
 
tatizo ni kwamba,ufunuo chapter ya kwanza adam na eva wameumbwa kwa wakati mmoja,chapter ya pili alianza kuumbwa adam halafu eva akatolewa kwenye ubavu wa adam!!!!!kipi ni sahihi kati ya hivyo viwili?
Mkuu

Jana nilikupa ushauri wa bure kabisa kuwa acha haraka na unayoandika maana utaonekana hujui unachoandika na ukweli ukawa ni kinyume chake lakini naona hukuuzingatia ushauri wangu...

Ninakuambia hivi kwasababu hapa umeandika Ufunuo badala ya Mwanzo,Yoyote anayesoma maandiko yako anaweza kuyapuuza kwasababu ya makosa haya ambayo yanapunguza kabisa uzito wa kile unachoandika hapa....

Unawezaje kuzungumzia jambo lililoko kwenye kitabu cha Mwanzo halafu ukaandika Ufunuo? hili ni kosa la kutokuwa makini.Kama unakosa umakini kwenye kitu kidogo namna hii utaweza kwenye kikubwa?

Mkuu,acha nikuache na mada yako,lakini kama utauzingatia ushauri wangu itakusaidia sana....

Siku njema mkuu wangu....
 
ok,ni makosa madogo madogo,wewe ni mkristo and you should know better...kabla hujaondoka,let me prove for the lst time ninachokwambia....soma hizi verse zote kwa utulivu na utajua kuwa hapa mungu aliwaumba kwa pamoja na kuwabariki kabisa na kuwaambia wakazae na kuongezeka..hayo ya kusema chapter 2 anaelezea process unanichekesha sababu hii sio muvi!

26 Then God said, “Let us make human beingsa]">[a] in our image, to be like us. They will reign over the fish in the sea, the birds in the sky, the livestock, all the wild animals on the earth,b]">[b] and the small animals that scurry along the ground.”

27 So God created human beingsc]">[c] in his own image.
In the image of God he created them;
male and female he created them.

28 Then God blessed them and said, “Be fruitful and multiply. Fill the earth and govern it. Reign over the fish in the sea, the birds in the sky, and all the animals that scurry along the ground.”

29 Then God said, “Look! I have given you every seed-bearing plant throughout the earth and all the fruit trees for your food. 30 And I have given every green plant as food for all the wild animals, the birds in the sky, and the small animals that scurry along the ground—everything that has life.” And that is what happened.

31 Then God looked over all he had made, and he saw that it was very good!

And evening passed and morning came, marking the sixth day.
 
Day 1 God creates the Heavens and the Earth. Sun brings forth light, the Earth spins and darkness is upon the face of the deep (and Earth).

Day 2 The firmament is the volcanic eruptions in the sea. Firmament above is the sunshine above the vapor canopy.

Day 3 God separates the land from the ocean. Firmament of the volcanic eruptions creates the land. The grasses and other vegetation start to grow.

Day 4 The Canopy dissipates, the sun and the moonlight start to hit the Earth. The seasons of life begin.

Day 5 God creates the sea animals, winged insects, and birds.

Day 6 God creates animals and man.

Day 7 God rests. (A humanic term to “cease” from creating)

Genesis Chapter 2 Creation Revisited – Summary Form

2:1 (This is Day 1 but it is not mentioned) God creates the Heavens and the Earth.

2:2-3 (This is Day 7) God rests on the seventh day.

2:4 (This is a repeat of Day 1) God mentions He created the Heavens and the Earth.

2:5 (This is Day 5 but it is not mentioned) -God mentions that he created grasses and plants.

2:7 (This is Day 6 but it is not stated) - God creates man and animals but this time he mentions man first and animals second. He does this because he has Adam name the land animals that were created on Day 6.

2:19 (This is Day 6 continued but it is not stated) - And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought [them] unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that [was] the name thereof.

2:22 (This is Day 6 continued but it is not stated) - And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man

Compare the creation events day to day of Genesis 1 and 2. There is no contradiction.

Jibu lako hapa
2:7 (This is Day 6 but it is not stated) - God creates man and animals but this time he mentions man first and animals second. He does this because he has Adam name the land animals that were created on Day 6.

mbona unaniletea mawazo ya watu...i do not need people's opinions
labda niambie umeyatoa haya kwenye biblia gani?mimi nimetumia king james version ambayo wakristo wote wanaitumia
 
Sikupingi wala sikubali. I'm christian. Kiufupi ni kwamba biblia hasa za mtandaoni nyingi zimechakachuliwa hasa katika hatua za translation kitu ambacho sio wote wana ujuzi wa lugha katika ufanyaji wa tafsiri.
 
Back
Top Bottom