Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 3,727
- 3,777
Kwa hiyo ukiwa na nguvu utamshinda hata MunguMungu hawezi kumpa utukufu aliye mnyonge au kitu dhaifu
We ukipigana na mtoto mdogo ukamruhusu akushinde vipi utasema umeshindwa na mtoto mdogo?Kwa hiyo ukiwa na nguvu utamshinda hata Mungu
Kule mapangoni wakati anashurutishwa "soma!" alikuwa anashurutishwa na nani? Alimwona aliyekuwa akimshurutisha? Inasemekana alitoka mule na "homa kali"; kwanini?Tushike lipi enyi wainjilisti
Yohana 5:37
Naye Baba aliyenituma amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wowote, wala sura yake hamkuiona.
Mimi kushindwa na mtoto mdogo si jambo la kushangaza whether nimemwachia au katumia nguvu zake.We ukipigana na mtoto mdogo ukamruhusu akushinde vipi utasema umeshindwa na mtoto mdogo?
🤔🤔🤔💭Kwanini Yakobo alimshinda Mungu, Je! Mungu huwa anashindwa na wanadamu?
SWALI: Je! Mungu anashindwa na mwanadamu? Kama sio Kwanini siku ile aliposhindana na Yakobo alikiri kushindwa?
JIBU: Jibu ni ndio Mungu anakubali kushindwa, Pengine utauliza unakubalije kushindwa wakati yeye ni Mungu asiyeshindwa na chochote.
Tabia za Mungu sio kama zetu, Mungu huwa anathamini sana, NIA, BIDII na MATAMANIO ya mtu, kiasi kwamba hata kama matamanio hayo yatakuwa kinyume na mpango wake, au mapenzi yake, ikiwa tu mtu huyo ataendelea kuking’ang’ania basi mwisho wa siku atamwachia, akipate anachokitafuta haijalishi kitakuwa ni kibaya au chema. Huko ndiko kushindwa kwa Mungu.
Na ndicho kilichotokea kwa Yakobo, aliposhindana na Mungu usiku kucha, akiomba apewe jambo ambalo halikuwa mpango wa Mungu kumpa wakati ule, lakini alipong’ang’ania bila kukata tamaa, kwa kupigana mieleka, ikambidi Mungu ampe tu kulingana na haja yake.
Jambo hili hili utaliona pia wakati ule Bwana Yesu akiwa duniani, utakumbuka kuwa mwanzoni kabisa alitumwa kwa Wayahudi na sio kwetu sisi mataifa, lakini siku moja alikutana na mwanamke mmoja king’ang’anizi wa kimataifa aliyeishi nchi moja iliyoitwa Tiro. Mwanamke huyo alikuwa na binti yake aliyesumbuliwa na mapepo. Na alipokutana na Yesu alitaka aponywe, lakini Yesu hakuongea naye chochote, kwasababu sio hakutumwa kwao, lakini mama huyo hakukata tamaa, baada ya kumlilia sana, ndipo Yesu akafungua kinywa chake akamwambia, maneno haya;
Unaona, hapo, neema ya wokovu ilikuwa haijatufikia bado watu wa mataifa, kwasababu Kristo alikuwa hajasulibiwa bado, lakini mwanamke huyu, aliiwahi kabla hata ya wakati wenyewe kujika, jambo ambalo lilikuwa kinyume kabisa na mpango wa Mungu. Na ndio maana Kristo alitumia maneno magumu kama yale ili mradi tu adhoofishe mataminio yake, akawa hajibiwi, akawa anaitwa mbwa. Lakini mwisho wa siku Yesu kuona bado ni king’ang’anizi basi akakubali kushindwa. Akampa haja ya moyo wake, kama alivyofanya kwa Yakobo.
Hata wewe leo hii, unaweza shindana na Mungu nawe ukamshinda, hilo linawezekana kabisa, pengine hukustahili kupokea uponyaji wa ugonjwa wako sasa, kutokana na mambo uliyomkosea Mungu, pengine,hustahili kupewa hilo hitaji lako kwa sasa hivi, labda pengine limekusudiwa ulipokee baadaye sana, baada ya miaka 15, pengine hustahili kuwa na hiyo karama sasa hivi, lakini uking’ang’ana na Mungu, anaweza kukusogezea karibu hilo hitaji lako haijalishi alitaka litimie baada ya miaka 20.
Na ndio maana Bwana Yesu alituambia mfano huu, naomba nawe pia uutafakari vizuri;
Usichoke kung’ang’ana na Mungu wako..
Bwana akubariki.
Kutoka wingulamashahidi.org
Kinachosumbua hapa ni lugha... Maelezo yako hayaoneshi kushindwa kwa Mungu. Na kung'ang'ania au kushinda kwa mwanadamu hakumaanishi kushindwa kwa Mungu. Kushindwa kunakomaanishwa hapa ni KUSHINDA MTIHANI... Ili unielewe vema, chukulia unapofaulu mtihani inamaanisha kushindwa kwa mtunga/mtoa mtihani? MSITUMIE TAFSIRI NYEPESI KUPOTOSHA UKUU WA MUNGUKwanini Yakobo alimshinda Mungu, Je! Mungu huwa anashindwa na wanadamu?