Biblia ina mifano Mingi ya Wafalme Walioshauriwa Vibaya. Mmoja ni Huu.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.

Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema, awasikilize watu na kuwapunguzia maumivu.

Mfalme hakuupenda ushauri wao, akaamua kufuata ushauri wa vijana waliomshauri kuwapuuza watu na kumtaka avikaze zaidi vyuma!

Ushauri huo ukapelekea Taifa la Israel kugawanyika!

CC:James Gayo.
 
Cc Nape Nauye . Na 18%
 
Yes, kisa kuzima hiki kinapatikana katika Biblia yako kitabu chako katika

1 Wafalme 12:1‭-‬13‭, ‬15‭-‬18 BHNTLK

".......Basi, Rehoboamu akaenda Shekemu ambako Waisraeli wote walikuwa wamekusanyika ili kumtawaza awe mfalme. Naye Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari kuhusu tendo hilo (maana alikuwa bado Misri ambako alikwenda alipomkimbia Solomoni), alirudi kutoka Misri.

Lakini Waisraeli walituma ujumbe na kumwita. Kisha, yeye pamoja na jumuiya yote ya Israeli, walimwendea Rehoboamu, wakamwambia, “Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.” Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Baadaye Rehoboamu alitaka kujua maoni ya wazee ambao walikuwa washauri wa baba yake Solomoni, alipokuwa angali hai, akawauliza, “Je, mnanishauri niwape jibu gani watu hawa?” Wazee hao wakamjibu, “Leo ukiwa mtumishi wa watu hawa, ukawatumikia na kuongea nao vizuri unapowajibu, hapo watakuwa watumishi wako daima.”

Lakini Rehoboamu alipuuza shauri la wazee; badala yake akashauriana na vijana wa rika lake ambao walikuwa washauri wake. Basi, akawauliza, “Nyinyi mnatoa shauri gani ili tuweze kuwajibu watu hawa walioniambia niwapunguzie mzigo ambao baba yangu aliwatwika?” Hao vijana wakamjibu, “Watu hao waliokuambia baba yako aliwatwika mzigo mzito, wakakuomba uwapunguzie mzigo huo, wewe waambie hivi: ‘Kidole changu kidogo ni kinene zaidi kuliko kiuno cha baba yangu. Mzigo wa baba yangu ulikuwa mzito, lakini wangu utakuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba.’”

Basi, siku ya tatu Yeroboamu pamoja na watu wote wakarudi kwa Rehoboamu kama alivyokuwa amewaagiza. Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee, Hivyo, mfalme hakuwajali watu kwa sababu jambo hili lilisababishwa na Mwenyezi-Mungu, ili atimize neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati, kwa njia ya Ahiya wa Shilo.

Lakini watu wote wa Israeli walipoona kwamba mfalme hakuwajali, walimwambia, “Hatuna uhusiano wowote na Daudi! Hatuna sehemu yetu kutoka kwa huyo mwana wa Yese. Rudini nyumbani, enyi watu wa Israeli! Itunze nyumba yako mwenyewe, ee Daudi.” Hivyo, watu wa Israeli wakarudi makwao. Watu wa Israeli waliokuwa wanakaa katika miji ya Yuda, ndio hao tu waliobaki chini ya utawala wa Rehoboamu.

Mfalme Rehoboamu alipomtuma Adoramu, aliyekuwa mnyapara mkuu wa kazi za kulazimishwa, watu wote wa Israeli walimpiga mawe, wakamuua. Naye Rehoboamu alipanda haraka gari lake la kukokotwa, akakimbilia Yerusalemu..."
Ukitaka kukielewa kisa hiki vizuri na matokeo ya ukaidi wa Mfalme Rehoboamu kutosikiliza na kutii sauti ya Mungu kupitia watumishi wake soma 1 Wafalme sura ya 12,13 na 14
 
“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.

Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema, awasikilize watu na kuwapunguzia maumivu.

Mfalme hakuupenda ushauri wao, akaamua kufuata ushauri wa vijana waliomshauri kuwapuuza watu na kumtaka avikaze zaidi vyuma!

Ushauri huo ukapelekea Taifa la Israel kugawanyika!

CC:James Gayo.
Nape ameshiba hadi anaogopesha.
Jamaa ana kiburi hatari

Wao wanapanga kufumu madarakani hawajui nini Mungu anapanga juu yao
 
“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.

Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema, awasikilize watu na kuwapunguzia maumivu.

Mfalme hakuupenda ushauri wao, akaamua kufuata ushauri wa vijana waliomshauri kuwapuuza watu na kumtaka avikaze zaidi vyuma!

Ushauri huo ukapelekea Taifa la Israel kugawanyika!

CC:James Gayo.
Mkiota mnabakwa usiku msitoe lawama acheni kukashifu dini za wenzenu huo ni ujinga wa kiwango sana
 
Mfalme Rehoboamu alipomtuma Adoramu, aliyekuwa mnyapara mkuu wa kazi za kulazimishwa, watu wote wa Israeli walimpiga mawe, wakamuua. Naye Rehoboamu alipanda haraka gari lake la kukokotwa, akakimbilia Yerusalemu
Hili linaendana na haya matukio ya Askari kupigwa na vituo vya Polisi kuchomwa Moto
 
Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.
Hapa sasa umemnukuu nani; au ni wewe mwenyewe umejinukuu?

Huo mstari una lengo gani hasa?
 
Back
Top Bottom