Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Nape ni suala la mudaSoon atakuja kulia na kusaga meno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nape ni suala la mudaSoon atakuja kulia na kusaga meno
M7ngu anaiondoa CCM kwa kasi ya 6GYes, kisa kuzima hiki kinapatikana katika Biblia yako kitabu chako katika
1 Wafalme 12:1-13, 15-18 BHNTLKUkitaka kukielewa kisa hiki vizuri na matokeo ya ukaidi wa Mfalme Rehoboamu kutosikiliza na kutii sauti ya Mungu kupitia watumishi wake soma 1 Wafalme sura ya 12,13 na 14
".......Basi, Rehoboamu akaenda Shekemu ambako Waisraeli wote walikuwa wamekusanyika ili kumtawaza awe mfalme. Naye Yeroboamu mwana wa Nebati alipopata habari kuhusu tendo hilo (maana alikuwa bado Misri ambako alikwenda alipomkimbia Solomoni), alirudi kutoka Misri.
Lakini Waisraeli walituma ujumbe na kumwita. Kisha, yeye pamoja na jumuiya yote ya Israeli, walimwendea Rehoboamu, wakamwambia, “Baba yako alitutwisha mzigo mzito. Basi, utupunguzie mzigo huo, nasi tutakutumikia.” Naye Rehoboamu akawaambia, “Nendeni, mrudi kwangu kesho kutwa.” Basi, wakaondoka. Baadaye Rehoboamu alitaka kujua maoni ya wazee ambao walikuwa washauri wa baba yake Solomoni, alipokuwa angali hai, akawauliza, “Je, mnanishauri niwape jibu gani watu hawa?” Wazee hao wakamjibu, “Leo ukiwa mtumishi wa watu hawa, ukawatumikia na kuongea nao vizuri unapowajibu, hapo watakuwa watumishi wako daima.”
Lakini Rehoboamu alipuuza shauri la wazee; badala yake akashauriana na vijana wa rika lake ambao walikuwa washauri wake. Basi, akawauliza, “Nyinyi mnatoa shauri gani ili tuweze kuwajibu watu hawa walioniambia niwapunguzie mzigo ambao baba yangu aliwatwika?” Hao vijana wakamjibu, “Watu hao waliokuambia baba yako aliwatwika mzigo mzito, wakakuomba uwapunguzie mzigo huo, wewe waambie hivi: ‘Kidole changu kidogo ni kinene zaidi kuliko kiuno cha baba yangu. Mzigo wa baba yangu ulikuwa mzito, lakini wangu utakuwa mzito zaidi. Baba yangu aliwapiga kwa mijeledi, lakini mimi nitawapiga kwa mijeledi yenye miiba.’”
Basi, siku ya tatu Yeroboamu pamoja na watu wote wakarudi kwa Rehoboamu kama alivyokuwa amewaagiza. Mfalme akawajibu watu hao kwa ukali, akapuuza shauri alilopewa na wazee, Hivyo, mfalme hakuwajali watu kwa sababu jambo hili lilisababishwa na Mwenyezi-Mungu, ili atimize neno lake alilomwambia Yeroboamu mwana wa Nebati, kwa njia ya Ahiya wa Shilo.
Lakini watu wote wa Israeli walipoona kwamba mfalme hakuwajali, walimwambia, “Hatuna uhusiano wowote na Daudi! Hatuna sehemu yetu kutoka kwa huyo mwana wa Yese. Rudini nyumbani, enyi watu wa Israeli! Itunze nyumba yako mwenyewe, ee Daudi.” Hivyo, watu wa Israeli wakarudi makwao. Watu wa Israeli waliokuwa wanakaa katika miji ya Yuda, ndio hao tu waliobaki chini ya utawala wa Rehoboamu.
Mfalme Rehoboamu alipomtuma Adoramu, aliyekuwa mnyapara mkuu wa kazi za kulazimishwa, watu wote wa Israeli walimpiga mawe, wakamuua. Naye Rehoboamu alipanda haraka gari lake la kukokotwa, akakimbilia Yerusalemu..."
CC : Tulia Akson“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.
Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema, awasikilize watu na kuwapunguzia maumivu.
Mfalme hakuupenda ushauri wao, akaamua kufuata ushauri wa vijana waliomshauri kuwapuuza watu na kumtaka avikaze zaidi vyuma!
Ushauri huo ukapelekea Taifa la Israel kugawanyika!
CC:James Gayo.
Futa hilo jina la mnyama mkuuKabisa yule nguruwe atapata chanjo mda si mrefu
Kwa Mujibu wa Nape Nnauye watanzania mil 33 wako mitandaoni , hawa ni zaidi ya nusu ya Watanzania wote , ambao wako mil 61.“Watanzania wanaopiga kelele mitandaoni wako asilimia 16 tu na kati ya hao, asilimia 40 wako nje, na wala hawana mpango wa kurudi nchini”.
Baada ya mfalme Solomon kufariki na Rehoboam kumrithi, washauri wazee wenye hekima waliopata kufanya kazi na Solomon walimshauri Mfalme mpya awe mwema, awasikilize watu na kuwapunguzia maumivu.
Mfalme hakuupenda ushauri wao, akaamua kufuata ushauri wa vijana waliomshauri kuwapuuza watu na kumtaka avikaze zaidi vyuma!
Ushauri huo ukapelekea Taifa la Israel kugawanyika!
CC:James Gayo.
Tyar kaka soon atakuwa nyati au nyumbu huyu pakaFuta hilo jina la mnyama mkuu
Nimeandika kimkakatiComrade ina maana haukusikiliza au hata ile clip yake inayosafiri mitandaoni hujaiona?.