Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

kumbe kunywa tungi ni halali kabisa aithee
 
ok,
sasa ukimpa mchungaji si anaenda kulipia watoto wake ada,ananunua mashamba,anakunywa pombe?????,,,,ok au wachungaji ndio MENO ya MUNGU?
 
Tumia akili hayo niliyo ongea yana fafanua vizuri sema akili yako ndogo ....hekalu la jengo ni moja tu au lilikuwa moja tu ulimwenguni na aliwezi kufanyika lingine ...wewe unapinga ila wenzako wakisikia haya maneno yangu wana jificha wasiumbuke maana hakuna mkristo wala myahudi anaye weza kubisha ninacho sema isipokuwa matapeli wa makanisani wana hofu na ninacho fundisha kwa sababu ya ufisadi wao.
 
Kwahiyo povu lote kisa wanatoa zaka au uko na mtindio wa ubongo.

Popote watakapo chagua kupeleka zaka wewe kinachokuuma nini hasa?
NDIYO MAANA YA HAYA MAANDIKO 👉 SHUKIZO LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU....hao wanao peleka zaka makanisani wanampa nguvu shetani kama maandiko yalivyo sema 👉usitupe Lulu zako chini ya Nguruwe wasije wakazikanyaga na kukulalua......LULU NI PAMOJA NA HIZO ZAKA NA SADAKA NA MALI ZENU MNAZOTOA MAKANISANI NA KUWAPA MANABII NA MITUME WA UONGO AMBAO NDIYO NGURUWE....NAO WANAZIDI KUPATA NGUVU NA KUWALALUENI KWA MAFUNDISHO MAOVU NA POTOVU.
 
Amina
 
Hao unaowasema wanatumia na kutafsiri hio Katiba (kama nyote mnatumia) sawa na wewe ? Huenda Katiba yao inaruhusu...

To each their own.., kwangu mimi mtu anayetoa bila shuruti wala hajaibiwa tofauti na hawa wengine ndio ungewafungulia UZI


 
Tajiri kama tajiri hongera kwa kuamka na hii meditation.

Ukisoma soma mbele huko utaona vile zaka sio kwa ajili ya Makuhani peke yao unaweza toa kwa Wageni wa nyumba yako, Yatima na Wajane.
Wazo zuri huwa nafikiria. Hivi nikiwapa zaka yangu kwa wahitaji wa kweli wanaoteseka mitaani, si ni Bora kuliko kuipeleka kanisani? Naomba fungu la biblia linalosema hivyo.
 
Haya yana thibitisha kwamba HEKALU NI MOJA TU ....na watu wa kale walifunga safari mwaka kwa mwaka kupeleka zaka ...kama wanabisha wakasome baada ya Mfalme selemani kufa ufalme uligawanyika yule mfalme mwingine alihofia waisrael waliokuwa upande wake wata geuka moyo kwa sababu ya kwenda kwa ufalme wa pili kuliko kuwa na hekalu ...basi ndipo akajenga hekalu lingine haramu ...kasomeni WAFALME 1 SURA KUANZIA 20 nini kilitokea na mungu alisema nini kuhusu hilo hekalu na zaka yake na alivifanya nini ...watu wakasome baada ya kufa kwa selemani
 

Attachments

  • Screenshot_20250121-101016_Swahili Bible.jpg
    152 KB · Views: 1
Wazo zuri huwa nafikiria. Hivi nikiwapa zaka yangu kwa wahitaji wa kweli wanaoteseka mitaani, si ni Bora kuliko kuipeleka kanisani? Naomba fungu la biblia linalosema hivyo.
Kumbukumbu la Torati 14:29
[29]na Mlawi kwa kuwa hana fungu wala urithi pamoja nawe, na mgeni, na yatima, na mjane aliyefiliwa na mumewe, walio ndani ya malango yako, na waje wale na kushiba; ili kwamba BWANA, Mungu wako, akubarikie katika kazi yote ya mkono wako uifanyayo.
 
Kila mtu na atoe Kwa kadiri alivyobarikiwa !!

Utoaji Kwa agano jipya hauna kanuni maalum coz kristo alijitoa msalabani na sisi twapaswa kujitoa kwake bila kipimo!!
 
Mbona umeishia kutoa matusi bila kudadavua vizuri ueleweke
Umewezaje kuwaelewa wapumbavu waliokuambia kuwa kila kanisa ni hekalu na ukashindwa kuelewa fafanuzi yangu iliyo wazi kabisa ...endelea kusoma na kutumia akili HEKALU NI MOJA TU ...kasome hata wafalme 1 sura ya 20 utaona nini kilitokea baada ya mtu mmoja kuanzisha hekalu jingine na kuwaambia wana wa Israeli kuwa hilo nalo ni hekalu watoe zaka na kufanya ibada
 
Mwanzo 28:22
Na jiwe hili nililolisimamisha kama nguzo litakuwa nyumba ya Mungu; na katika kila utakalonipa hakika nitakutolea wewe sehemu ya kumi.
 
ni sawa mkuu umeongea kitu sahihi lakini sio wote humu tunajua maana ya HEKALU ni nini.?ili litambulike hili ni HEKALU je,likidhi vigezo gani na kina nani wanastahili kuongoza hilo hekalu na mambo yapi yanayotendeka ndani ya HEKALU..ww jibu kwa sifa za HEKALU hilo moja tu lilikuwepo zamani na sifa za watu waliohudumu ndani ya hilo Hekalu unalosema ambayo sisi hatuwezi kuyaona au kuyaishi kwenye hizi zama zetu..na pia sababu ni zipi hakuwezi kuwa na HEKALU kwa dunia ya sasa na kwanini ww useme HEKALU ni moja tu duniani je,bado lipo hadi leo.? maana umesema KANISA,MSIKITI na SINAGOGI hayatakiwi kutolewa fungu la kumi..ila ww umesema fungu la kumi linatolewa HEKALUNI tu..kwa mazingira ya sasa hatuna HEKALU sasa hilo fungu la kumi linastahili kupelekwa wapi.? au halipaswi kabisa kutolewa kwa sababu hamna sehemu sahihi inayostahili.?
 
Aisee,sikujua hili..
Ila ch kushangaza Wakristo wanatawala Dunia katika kila nyanja!
Sasa kama Wapumbavu wasio na akili wanaitawala Dunia..

Sasa hapo wanaotawaliwa wakoje!
Ukusoma nani ni mtawala wa hii dunia ...ni shetani japo mungu ndiye mtawala wa kila kitu dunia kaachiwa shetani ..hivyo usishangae hao wakristo wanao tawala dunia ni wakristo waovu ni watoto wa ibilisi na waislamu ni hivyo hivyo hakuna mkristo mtakatifu anaye tawala dunia
 
Hizo pesa na Mali zilizokua zikitolewa zilikua zinaliwa na nani?

Au watu wa hilo hekalu waalikua na uwezo wakumtumia huyo Mungu!!
Kabila la lawi ..kasome mwanzo wa amri ya zaka ....kabila la lawi kazi yao iliamriwa na mungu kuwa watunza sanduku la agano na hekalu ambalo sanduku lipo awakutakiwa kuangaika na mambo mengine yoyote zaidi na ibada tu hivyo wakapewa zaka kuwa kwa ajili ya familia zao na maisha yao ...sadaka ya zaka ni mali ya walawi na sadaza zisizo kuwa zaka zilikuwa mali ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…