Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majibu ninayo mengi sana ila kasome WAFALME 1 KUANZIA SURA YA 26 kuna mtu tena aliye kuwa amewahi kuzungumza na mungu kabisa alijaribu kujenga hekalu lingine hili waisrael wa toe zaka na kufanya ibada ...kasome nini kilimkuta na mungu alisema nini...hekalu halipo baada ya kuja yesu na injili ndiyo ulikuwa mwisho wa hekalu la JENGO kwa sababu injili ni kwa ulimwengu wote siyo waisrael tu ...pazia la HEKALU LIKAPASUKA VIPANDE VIWILI..unajua nini maana yake ...siyo to HEKALU la JENGO halipo tena bali baada ya kuja kwa injili na Israel siyo tena taifa tukufu la Mungu. Ndiyo maana yesu akalia na kusema nyumba yenu mmeachiwa yatima.ni sawa mkuu umeongea kitu sahihi lakini sio wote humu tunajua maana ya HEKALU ni nini.?ili litambulike hili ni HEKALU je,likidhi vigezo gani na kina nani wanastahili kuongoza hilo hekalu na mambo yapi yanayotendeka ndani ya HEKALU..ww jibu kwa sifa za HEKALU hilo moja tu lilikuwepo zamani na sifa za watu waliohudumu ndani ya hilo Hekalu unalosema ambayo sisi hatuwezi kuyaona au kuyaishi kwenye hizi zama zetu..na pia sababu ni zipi hakuwezi kuwa na HEKALU kwa dunia ya sasa na kwanini ww useme HEKALU ni moja tu duniani je,bado lipo hadi leo.? maana umesema KANISA,MSIKITI na SINAGOGI hayatakiwi kutolewa fungu la kumi..ila ww umesema fungu la kumi linatolewa HEKALUNI tu..kwa mazingira ya sasa hatuna HEKALU sasa hilo fungu la kumi linastahili kupelekwa wapi.? au halipaswi kabisa kutolewa kwa sababu hamna sehemu sahihi inayostahili.?
Huyu 👆😂 ni wewe mzeeKuna jamaa yangu kipato chake kwa mwez ni kama 300,000
Aliambiwa awe anatuma 50,000 kila mwez alifanya hvyo mara kadhaa baadae alichomoa
Sasa unaogopa nini wasikuzike , wakati ww tayari umemshakufa,Ila kwakweli tumefikia pabaya kisa senti tu unaambiwa kanisa halitakuzika......
Tz wajinga ni wengi , acha wapigwe mpaka akili zikae SAWAZamani makanisa yote ya kiinjili zaka zilitolewa Kwa mwaka, ujio wa manabii na mitume pamoja na makanisa ya watu binafsi ya upigaji ndo walioharibu Kila kitu vikapu vya matokeo kanisani Leo ni nyingi mpaka waumini wanachanganyikiwa yaani wizi mtupu. Mungu alisaidie kanisa tuendako ni kubaya sana
sawa mkuu japo mm ningekuomba ungetueleza hapa jukwaani hata kwa ufupi kwa uelewa wako hayo niliyokuuliza kuhusu HEKALU na mahali sahihi pa kupeleka Fungu la kumi..sote tunaona na tunajua makanisa ya siku hizi na wanaojiita watumishi wa mungu wanakusanya tu yaani wizi mtupu..utakuwa umesaidia wengi humu kumbuka unatoa elimu na rejea haifai kuficha maarifa kwani ni sadaka kwa bwana na utabarikiwa kwa hilo jema..na asante kwa majibu yako mazuriMajibu ninayo mengi sana ila kasome WAFALME 1 KUANZIA SURA YA 20 ukna mtu tena aliye kuwa amewahi kuzungumza na mungu kabisa alijaribu kujenga hekalu lingine hili waisrael wa toe zaka na kufanya ibada ...kasome nini kilimkuta na mungu alisema nini
Kuzikwa na kanisa ni ibada ya shetani hakuna ibada ya maziko kwa waisrael wala wakristo isipokuwa kwa waislamu...hivyo wazo la kuzikwa kikristo ni imani za kishetani za makanisani.Ila kwakweli tumefikia pabaya kisa senti tu unaambiwa kanisa halitakuzika......
Wewe upo kwenye upotevu mkubwa sana ndiyo maana nashindwa kukujibu ...kwanza kabisa upotevu wako umeanzia kwenye kudanganywa kuwa kanisa ni nyumba ya ibada ...pole tena pole sana kwa kupotea kiasi icho nani kakuambia kua kanisa ni nyumba ya ibada ...je kama ni nyumba ya ibada mbona taratibu zake ni kinyume na hata taratibu za nyumba za ibada za kale kama masinagogi na hekalu ..je watu uingia na viatu patakatifu...wapi kuna maandiko kuwa nyumba za ibada zilibadilishwa taratibu zake za heshima...ni mtakatifu gani au mtume au nabii gani aliye waambia wakristo kuwa patakatifu pake Panapo fanyiwa ibada watu waingie na viatu .....LABDA UNGEANZA KUNIULIZA KANISA NI NINI ? Ungejua kanisa ni nini usinge thubutu kuliita nyumba ya ibada....Kanisa ni kitu halali ila siyo nyumba ya ibada .. wakristo mmepoteasawa mkuu japo mm ningekuomba ungetueleza hapa jukwaani hata kwa ufupi kwa uelewa wako hayo niliyokuuliza kuhusu HEKALU na mahali sahihi pa kupeleka Fungu la kumi..sote tunaona na tunajua makanisa ya siku hizi na wanaojiita watumishi wa mungu wanakusanya tu yaani wizi mtupu..utakuwa umesaidia wengi humu kumbuka unatoa elimu na rejea haifai kuficha maarifa kwani ni sadaka kwa bwana na utabarikiwa kwa hilo jema..na asante kwa majibu yako mazuri
Sawa mkuu.Kabila la lawi ..kasome mwanzo wa amri ya zaka ....kabila la lawi kazi yao iliamriwa na mungu kuwa watunza sanduku la agano na hekalu ambalo sanduku lipo awakutakiwa kuangaika na mambo mengine yoyote zaidi na ibada tu hivyo wakapewa zaka kuwa kwa ajili ya familia zao na maisha yao ...sadaka ya zaka ni mali ya walawi na sadaza zisizo kuwa zaka zilikuwa mali ya mungu
Sijui kama unajua tofauti ya fungu la 10 na zaka ....kwanini nisimjaribu mungu na fungu la 50 je fungu la 10 ni kubwa kuliko la 50 au la 60 au la 70 zaka ilikuwa sadaka ya lazima ....fungu la 10 unaweza kutoa kokote ila siyo zaka ambayo nayo ni fungu la 10fungu la kumi ni kwa ajili yako na MUngu wako, ukitaka uyaone maisha mepesi ebu mjaribu Mungu kwa fungu la kumi
Nadhani idea ya kutoa kila mwezi inawahusu zaidi waajiriwa ambao kipato chao ni cha mwezi kwa mwezi...sababu ni kwamba mkitoa kila mwezi inakupa wepesi kwenye utekelezaji ukizingatia 10% inayokusudiwa ni ya annual income yako(Kumbukumbu la Torati 14:22).Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
[24]Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;
And if the way be too long for thee, so that thou art not able to carry it; or if the place be too far from thee, which the LORD thy God shall choose to set his name there, when the LORD thy God hath blessed thee:
[25]ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Then shalt thou turn it into money, and bind up the money in thine hand, and shalt go unto the place which the LORD thy God shall choose:
[26]na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;
And thou shalt bestow that money for whatsoever thy soul lusteth after, for oxen, or for sheep, or for wine, or for strong drink, or for whatsoever thy soul desireth: and thou shalt eat there before the LORD thy God, and thou shalt rejoice, thou, and thine household,
Kwaihiyo kwa akili yako hayo makanisa yanajijenga tu pasipo msaada wa sadaka na zaka?(Mungu alipompa jukumu Nuhu la kujenga safina hakumwonyesha kichaka cha kukata hizo mbao,ila Nuhu alitumia mazingira yalimzunguka kupata hizo mbao na kufanikisha jukumu alilopewa na Mungu (Mwanzo 6:12-16) hivo basi na watumishi hao unaita matapeli wapema majukumu ya kujenga ufarume wa Mungu hapa Duniani na vyanzo vya ujenzi ni zaka na sadaka,pamoja na hayo wewe haujalazimishwa kutoa.Zamani makanisa yote ya kiinjili zaka zilitolewa Kwa mwaka, ujio wa manabii na mitume pamoja na makanisa ya watu binafsi ya upigaji ndo walioharibu Kila kitu vikapu vya matokeo kanisani Leo ni nyingi mpaka waumini wanachanganyikiwa yaani wizi mtupu. Mungu alisaidie kanisa tuendako ni kubaya sana
Mkuu mbona umeishia kutoa matusi bila kuleta suluhisho.!?Wewe pia akili hauna ....Fungu la kumi ni sadaka ya HEKALU siyo KANISA wala SINAGOGI wala MSIKITI...Tena duniani HEKALU lilikuwa moja tu narudia tena HEKALU lilikuwa moja tu...hata ujenge jengo kubwa na zuri kiasi gani aliwezi kuwa HEKALU ...ndiyo maana hata wakati wa kale wa yesu kulikuwa na masinagogi ila ayakupata fungu la kumi wala hakuna aliyetoa fungu la kumi kwenye SINAGOGI lilipelekwa HEKALUNI TU ....HEKALU siyo nyumba ya kawaida ya ibada ni tofauti na hayo MAKANISA yenu na MASINAGOGI na MISIKITI yenu ndiyo maana hata daudi na uchamungu wake wote akuruhusiwa kujenga HEKALU ila MISIKITI na MAKANISA na MASINAGOGI mtu yoyote anaweza kujenga atakavyo wakati wowote..
Wakristo ni wapumbavu sana amna akili kabisa ni wapuuzi watupu.
Mkuu Mimi binafisi nikitoa sadaka siwezi kufatilia mtu anatumiaje. Ila Kama itakua sadaka ya malengo fulani nitafatilia kujua lengo linatimizwaok,
sasa ukimpa mchungaji si anaenda kulipia watoto wake ada,ananunua mashamba,anakunywa pombe?????,,,,ok au wachungaji ndio MENO ya MUNGU?
Kabisa mkuuMijizi imejichimbia kwenye nyumba za ibada
🤣🤣🤣 Hii ni Bunju hiiHuku kwetu tuna zaka (fungu la kumi) kwa ajili ya ujenzi wa kanisa kila mwezi, na kiwango kimewekwa kwamba msishuke chini ya hapa!
Ajabu kuna zaka ya asilimia mia kwa mwaka mara mbili, asimia mia maana yake utoe chote ulicho pata mwezi huo!
alafu usipoenda jumuia UKIKUFA hauzikwi!!!..sasa najiuliza wao wanavohukumu wamekuwa MUNGU?🤣🤣🤣 Hii ni Bunju hii
Na hapo bado hujatoa michango ya kwenye jumuiya na bado watataka na sadaka kila jumapili sasa huwa najiuliza kama tunatoa asilimia 100 ya mshahara hizo za kuleta kama sadaka zitatoka wapi achia na kulisha familia nyumbani 🤗🤗
Haya mambo ya imani magumu sana
Tusi liko wapi 🙄🙄Mkuu mbona umeishia kutoa matusi bila kuleta suluhisho.!?