Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

Nyinyi mmeshakuwa ni watu wa kudanganyana tu

Andiko hili apa Kuna jina Paulo hapo?

Quran 36:14
Tulipo watumia wawili, wakawakanusha. Basi tukawazidishia nguvu kwa mwingine wa tatu. Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwenu.

36:15

Wakasema: Nyinyi si chochote ila ni watu kama sisi. Na Mwingi wa Rehema hakuteremsha kitu. Nyinyi mnasema uwongo tu.

36:16

Wakasema: Mola wetu Mlezi anajua kwamba hakika sisi tumetumwa kwenu.

36:17

Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.

36:20

Na akaja mtu mbio kutokea upande wa mbali wa mjini, akasema: Enyi watu wangu! Wafuateni hawa walio tumwa.

36:22

NA KWA NINI nisimuabudu yule aliye niumba na kwake mtarejeshwa?

36:23

Je! Niishike miungu mingine badala yake? Arrahmani, Mwingi wa Rehema, akinitakia madhara uombezi wa hao hautanifaa kitu, wala hawataniokoa.

36:24

Basi hakika mimi hapo nitakuwa katika upotovu ulio dhaahiri.

36:25

Hakika mimi nimemuamini Mola wenu Mlezi, basi nisikilizeni!

ZINGATIA HAYA ILI USIDANGANYWE TENA

1) Hiyo Aya ya Quran haikutaja jina hivyo anayeweka jina hapo anakuwa ameongeza automatically anakuwa ameshakuwa kafiri

2) Hao Mitume waliotumwa hapo waliwambia hao watu kuwa Mungu wenu ni mmoja mnatakiwa mumuabudu yeye peke yake
Paulo hahakukundisheni hivyo yeye amekufundisheni miungu wapo 3 na Yesu ni Mungu

3) kama hapo katika hao Mitume yupo Paulo basi tuseme Paulo alikuwa muislam kitu ambacho hakiwezekani

4) Watu wa huo mji waliangamizwa Kwa Kelele za malaika Baada ya kukaidi maagizo ya Mungu kupitia hiyo Mitume

Katika historia ya maandiko hakuna mji wowote uliyoangamizwa Kwa Kelele za malaika tokea alipo zaliwa Yesu Hadi Leo Mitume ya zamani sana ndio watu wao walikuwa wanaangamizwa

Nawapeni pole nyinyi wagalatia walianzisha hiyo dini wamejipanga vizuri nyinyi mliobakia kazi yenu ni kudanganywa tu kama mapoyoyo
 
Isa Hawezi Baki Kama Isa Wa Qur'an kwa sababu Mnamchafua Nabii Wetu Kwa madai Yeye Ni Mungu.Hatuwezi Kukubali Mtume Wetu Isa Mumuite Mungu Pia Hatukubali Nabii Issa Kupewa Urafiki Na Akina Marko.

Tunapinga Propaganda Wa Paulo kuanzisha Ukristo.
Paulo Tapeli Kabisa Ndo Aliyewapotea kwa kuanzisha Propaganda Ya Ukristo Antokio
 
1) Hiyo Aya ya Quran haikutaja jina hivyo anayeweka jina hapo anakuwa ameongeza automatically anakuwa ameshakuwa kafiri
Kiri Ibn kathir ni Kafiri

Koran 36:14 Kathir - Ibn Al Kathir
(so We reinforced them with a third,) means, `We supported and strengthened them with a third Messenger. ' Ibn Jurayj narrated from Wahb bin Sulayman, from Shu`ayb Al-Jaba'i, "The names of the first two Messengers were Sham`un and Yuhanna, and the name of the third was Bulus, and the city was Antioch (Antakiyah).

Wazolee nakusubiria uje umtaje skola wenu ni kafiri
 
Kama hujui maagano basi hujui chochote kuhusu bible naweza kukupa elimu kidogo..

Yaani unataka kujua kupitia mimi ila unakuwa mbishi[emoji28][emoji28][emoji28]
Kunihamisha kwenye mada utafanya kazi sana.

Niko palepale.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Kunihamisha kwenye mada utafanya kazi sana.

Niko palepale.

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Imeandikwa zaidi ya miaka 1,500 sasa kadiri paulo alikuwa hai au aliishi miaka yote.

Kwamba hujui nifuatilie zaidi ujifunze ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
[emoji28][emoji28]Imeandikwa zaidi ya miaka 1,500 sasa kadiri paulo alikuwa hai au aliishi miaka yote.

Kwamba hujui nifuatilie zaidi ujifunze [emoji28][emoji28]
Kwa hiyo BIBLIA ilikuwepo wakati wa Paulo au haikuwepo?

Kwa nini unakwepa kitanzi?

Kama kweli kidume sema NDIO ILIKUWEPO halafu tuingie kwenye mjadala sasa.
 
Isa hatambuliki kabisa kwenye biblia

tukimleta anakuwa mjomba ake ni Musa ambapo anakuwa hafiti kabisa
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Imeandikwa zaidi ya miaka 1,500 sasa kadiri paulo alikuwa hai au aliishi miaka yote.

Kwamba hujui nifuatilie zaidi ujifunze ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Swali lipo wazi

Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
 
Kwa hiyo BIBLIA ilikuwepo wakati wa Paulo au haikuwepo?

Kwa nini unakwepa kitanzi?

Kama kweli kidume sema NDIO ILIKUWEPO halafu tuingie kwenye mjadala sasa.
Ilikuwepo na yeye kabadilisha kaleta agano jipy๐Ÿ˜…
 
Kwa hiyo BIBLIA ilikuwepo wakati wa Paulo au haikuwepo?

Kwa nini unakwepa kitanzi?

Kama kweli kidume sema NDIO ILIKUWEPO halafu tuingie kwenye mjadala sasa.
Hawezi kujibu , apo anatetemeka nini kitafuata akijibu
 
Paulo akiwa hai, Biblia ILIKUWEPO AU HAIKUWEPO?
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…Jamani Palikuwa na vitabu kama torat ,zaburi ambavyo ni agano la kale mnavyosema


Paulo akaanzisha ukristo na kuja na bible yake ya agano jipya.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Ilikuwepo na yeye kabadilisha kaleta agano jipy[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muoneni huyu.....Wavaa kobazi huwa ni vichekesho sana.

Kitu kinachoitwa BIBLIA kimeanza kuwepo Karne ya 5. Kabla ya hapo hakukuwa na kitu kinachoitwa BIBLIA. (Swali linazungumzia Biblia,halizungumzii Vitabu vilivyo ndani ya Biblia)

Paulo amefariki karne ya 1, aliwezaje kuiona BIBLIA ambayo ilikuja karne ya 5?
 
Agano la kale lilikuwepo na yeye kaleta agano jipya.
Hahaha... Wewe hata Agano hujui ni nini.

Nikikuuliza Agano Jipya ni nini utaniambia ni Vitabu.

Agano Jipya unajua ni nini kwanza? Au ndio utasema Agano jipya ni vitabu vya Mathayo-Ufunuo?

Jamani... Mambo ya dini nyingine jitahidini muyajue kwanza kabla ya kujiletea Aibu ndogondogo kama hizi.

AGANO JIPYA NI NINI?
 
Oneni mjinga huyu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….

Elimu tatizo ebu angalia unachekwa na wenzio
Mfumo wa karne unajua miaka inahesabiwa vipi?


kwa hiyo torati na zaburi hazikuwepo kabla ya kabla ya yesu na hii ni bible agano la kale
 
[emoji28][emoji28]Jamani Palikuwa na vitabu kama torat ,zaburi ambavyo ni agano la kale mnavyosema


Paulo akaanzisha ukristo na kuja na bible yake ya agano jipya.[emoji28][emoji28]
Kwa hiyo hivyo Vitabu vya Torati na Zaburi ndio Bibilia?

Jamani, hivi kwenye huu uzi hakuna wavaa kobazi waje wamsaidie huyu jamaa aepukane na hizi aibu?
 
Lini Wakristo wamemwita Isa wa Qurani Mungu?

Huyo Allah, Mungu wa Qurani, hatambuliki kama ni Mungu kwa Wakristo. Sembuse huyo Isa


Kwa taarifa yako Wakristo hatutambui chochote cha kwenye Qurani.
Tunaona mafundisho ya Qurani yanawafaa Waislamu wenyewe.

Umechekesha sana kijana.
Wakristo wamwite Isa Mungu...![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kumbuka kijana Nabii wa Waislamu ni Muhammadi peke yake na Allah ni Mungu wake.
Rejea Shahada yenu.

Ukristo umejitoshereza kijana hatuhitaji kujihusisha na maandiko au watu wa vitabu vingine.
 
Oneni mjinga huyu[emoji28][emoji28][emoji28].

Elimu tatizo ebu angalia unachekwa na wenzio
Mfumo wa karne unajua miaka inahesabiwa vipi?


kwa hiyo torati na zaburi hazikuwepo kabla ya kabla ya yesu na hii ni bible agano la kale
Swali linahusu BIBLIA... Wewe unazungumza kuhusi Torati na Zaburi.[emoji1787][emoji1787]

Torati na Zaburi ndio Biblia? Unajua hata BIBLIA ni nini kwanza?

Wakati Paulo akiwa hai hakukuwa na kitu kinachoitwa BIBLIA... Vilikuwepo vitabu, ila hakukuwa na kitu kilichokuwa compiled kinachoitwa BIBLIA.

Hiyo Biblia Paulo aliyobadilisha aliitoa wapi?
 




Kama kingereza huji sema utafsiriwe usiwe mjinga๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ