Biblia inavyosema juu ya kuinuka kwa Uislam

Wagalatia mmezoea kudanganyana ni nani aliyekuambia uislam umeanzia Kwa Mtume Muhammad?

Mitume yote ya Mungu walikuwa waislam

Quran 3:3
Amekuteremshia Kitabu kwa haki, kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake. Na aliteremsha Taurati na Injili

Quran 17 :77
Huo ndio mwendo kwa Mitume tulio watuma kabla yako. Wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu

MUNGU ANASEMA HAKUNA MABADIRIKO KATIKA MAFUNDISHO ALIYOWAPA MITUME YAKE

UKIONA WATU WAPO TOFAUTI UJUE HILO NI ZAO LA MNYAMA 666


NGUZO TANO ZA UISLAM NDANI YA BIBILIA

1) KUTOA SHAHADA /KUAMINI MUNGU NI MMOJA TU

Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Yesu alikuwa muislam ndio maana hapo anashuhudia kuwa Mungu ni mmoja na yeye ametumwa na huyo Mungu mmoja

2) KUSALI KWA KUSUJUDU / paji la uso kugusa aridhi

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Yesu hapo anaomba huku paji lake la uso likiwa limegusa aridhi Yani amesujudu

2 Mambo ya Nyakati 7:3
]Wakatazama wana wa Israeli wote, uliposhuka ule moto, utukufu wa BWANA ulipokuwapo juu ya nyumba; wakasujudu kifulifuli hata nchi sakafuni, wakaabudu, wakamshukuru BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele.

3) KUTOA ZAKA
Hi Haina ubishi Kila mtu anaijua

4) KUFUNGA SAUMU

Yeremia 36:9
[9]Basi, ikawa katika mwaka wa tano wa Yehoyakimu, mwana wa Yosia, mfalme wa Yuda, katika mwezi wa kenda, watu wote waliokuwa katika Yerusalemu, na watu wote waliokuja Yerusalemu kutoka miji yote ya Yuda, wakapiga mbiu ya kufunga mbele za BWANA.

Yoeli 1:14
Takaseni saumu, iteni kusanyiko la dini,
Wazee na wakusanye wenyeji wote wa nchi;
Waende nyumbani kwa BWANA, Mungu wenu,
Na kumlilia BWANA,

5) KUENDA HIJA / NA KUANGALIA KIBLA UNAPOSALI
Kwa Sasa kibla ni msikiti wa maka waislam wote duniani wanapofanya ibada wanatakiwa waangalie huko na wenye uwezo waende huko

Waislam wa zamani pia walikuwa wanaenda hija walipo chaguliwa na Mungu

Kumbukumbu la Torati 12: 5
Lakini mahali atakapochagua BWANA, Mungu wenu, katika kabila zenu zote, apaweke jina lake, maana, ni makao yake, elekezeni nyuso zenu hapo, nawe wende huko;

[6]pelekeni huko sadaka zenu za kuteketezwa, na dhabihu zenu, na zaka zenu, na sadaka ya kuinuliwa ya mikono yenu, na nadhiri zenu, na sadaka zenu za hiari, na wazaliwa wa kwanza wa makundi yenu ya ng’ombe na ya kondoo;


Hizo ni nguzo Tano za uislam ndani bibilia hili linathibitisha Mitume wote kuanzia Yesu kurudi nyuma walikuwa waislam

Sasa wathibitishie wagalatia wenzako Kwa maandiko
1) Nabii Nuhu dini yake ni ipi
2) Ibrahim dini yake ni ipi
3) Isihaka dini yake ni ipi
4) Musa dini yake ni ipi
5) Daudi dini yake ni ipi
6) Suleiman dini yake ni ipi
7) Yesu dini yake ni ipi

Maana Qurani inasema hao manabii wote ni waislam Sasa wewe thibitisha Kwa maandiko dini zao manabii Ili tukuamini kuwa kweli Quran ni kitabu Cha uongo

Other wise wewe ni product ya mnyama 666 na kunena makufuru ndicho mlicho fundishwa
 
Na nitarudi kuja kukuonyesheni Mtume Muhammad ndani ya bibilia

Maana Paulo japo amekuleteemi ukristo lakini alikuwa msomi mzuri wa Taurati hivyo alijua kuwa kupitia uzao wa Ishmael Kuna nabii atakuja

Na ndio maana akakuambieni maneno haya ila hamjayaelewa nitakuja kuwafundisha

Wagalatia 4:21
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
Wagalatia 4:22
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
Wagalatia 4:23
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
Wagalatia 4:24
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
Wagalatia 4:25
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.
 

Muhamad kwenye biblia[emoji28][emoji28][emoji28].

Embu wacha nisubiri.
 

UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.

QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125

Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.

WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU.
NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.

MOHAMED ANASISITIZA SAMA KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.

Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.

Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.

Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
 
watakujia kwa fujo kama nzige, waliotabiliwa kuilinda imani yao, ndio walivyofundishwa.

HAPA NDIPO KILA KITU KILIPO HARIBIKA.

Akalifungua shimo la kuzimu; moshi ukapanda kutoka mle shimoni kama moshi wa tanuru kubwa; jua na anga vikatiwa giza kwa sababu ya ule moshi wa shimoni.
Ufunuo wa Yohana 9:2
 
Kwani kusujudu ni kufanya nini??

Ni Heshima au Ibada??
Yesu Ametahadharisha sana kusujudu na kupata alama usoni(sigda)

Revelation 14:9-12
[9]Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake,

[10]yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

[11]Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

[12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

Tunaona watu wanasujudu na kupata sigda ukiwauliza kuhusu hiyo sigda wanakujibu hiyo ni tochi! Cha kushangara Mungu ni Nuru hiyo tochi ya kumulika kuzimu Wanako enda?? Ref!; Suratul mariam.71!

Je shetani uchu wake wa kusujudiwa uliisha??
Kawapata wa kumsujudia
 
@ Wazolee
Njoo ujibu hoja usikimbie kama wenzio.


JE ANAYESEMA ATAWAZAA HAPA DUNIANI NA KUWAPOTEZA WOTE NI NANI??????

Quran 15:39.
Akasema :mola wangu mlezi! Ilivyokuwa imenitia makosani, basi nahakikisha nitawazaini hapa Duniani na nitawapoteza wote.


Shetani hakuwafīcha kuwa anawapeleka motoni


وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71 ]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuifikia jehannam Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

allah mwenyewe makazi yake ni motoni!

Sahih al-Bukhari 4848
Narrated Anas:
The Prophet (ﷺ) said, "The people will be thrown into the (Hell) Fire and it will say: "Are there any more (to come)?' (50.30) till Allah puts His Foot over it and it will say, 'Qati! Qati! (Enough Enough!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ ‏ "‏ يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ‏.‏ حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ‏"‏‏.‏
Reference : Sahih al-Bukhari 4848
In-book reference : Book 65, Hadith 369

Kama anaebishia allah sio maskani yake motoni atuwekee ushahidi aliutoa mguu wake motoni lini.
 
Lakini si amuamini agano jipya?
 
Lakini si amuamini agano jipya?
Ulidanganywa na Nani? Unaijua misingi ya SDA ? Mimi nazijua dini na madhehebu mengi hata ya kiislamu najua wanaamini Nini ,sio kusikiliza mtu kasema kwa chuki zake binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…