Biblia na ukristo unanishngaza sana haueleweki.

👉Warumi 5:8 Yesu alikufa kwa dhambi zetu
👉Yeremia 31:30 Kila mmoja atakuja kwa kwa dhambi zake
👉Ezekiel 18:20 Dhambi ya mwana hataibeba baba na dhambi ya baba hataibeba mwana
Sasa hapo hujaelewa nini mkuu? Biblia ni elimu ya kiroho inahitaji Roho Mtakatifu ili upaswe kuelewa. Wewe unatumia HUMAN INTELLIGENCE, HI ndio maana huelewi unahitaji DI, DEVINE INTELLIGENCE ili upaswe kuelewa maandiko. Fuatana na mimi:

Warumi 5:8, Yeremia 31:30, na Ezekieli 18:20 yanazungumzia masuala mawili tofauti ya kiroho. Yeremia 31:30 na Ezekieli 18:20 yanaweka wazi kanuni ya haki ya Mungu kwamba kila mtu anawajibika kwa matendo yake mwenyewe. Mungu hamhukumu mtu kwa sababu ya dhambi za baba yake wala hamhesabii baba dhambi za mwana wake. Kila mtu atasimama mbele za Mungu kwa yale aliyoyafanya yeye binafsi, na adhabu au thawabu itategemea maisha yake mwenyewe.

Kwa upande mwingine, Warumi 5:8 haisemi kwamba wanadamu wameondolewa wajibu wa dhambi zao au kwamba Mungu amebadilisha kanuni ya uwajibikaji binafsi. Badala yake, andiko hilo linaeleza upendo wa Mungu kwa wanadamu kwa kumtoa Yesu Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya wenye dhambi. Yesu alikufa kwa hiari yake ili kutoa njia ya msamaha na upatanisho kati ya Mungu na wanadamu, ingawa dhambi zenyewe zilikuwa za wanadamu.

Hivyo, Yeremia 31:30 na Ezekieli 18:20 vinaeleza jinsi hukumu ya Mungu inavyofanya kazi kwa msingi wa uwajibikaji wa mtu mmoja mmoja, wakati Warumi 5:8 inaeleza jinsi Mungu alivyotoa njia ya neema na wokovu kwa wale wanaomwamini Kristo. Hivyo hakuna mgongano kati ya maandiko hayo; mawili yanaeleza haki ya Mungu katika kuhukumu dhambi, na lingine linaeleza upendo wa Mungu katika kutoa njia ya msamaha wa dhambi.
 
Watakwambia ume quote kafungu kadogo tu.... quote yote
 
Mtumish mimi nikifa nimeungana KRISTO YESU ambaye ndo ondoleo kamili la dhambi na baba yangu akifa katika dhambi mimi sitahusika na uovu wake

Lakin baba yangu akiokoka na mimi nisiokoke basi baba yangu hatahusika na dhambi zangu mwenyewe, maana mbele za MUNGU kila mtu atasimama peke yake na YESU KRISTO ndo mwokozi atasimama na kusima huyu ni wangu na huyu si wangu

Asante sana
 
Ni kama kwenye uislam tu

Quran 2:56 Hakuna kulazimishana kwenye dini.
Quran 9:29 piganeni na wasioamini dini hadi watii
Sunan an_Nasai 4102 ukimuua kijana anaeacha uislam utapata thawabu siku ya kiyama
 
Ningemjibu ilq leo ni J pili sitaki dhambi za malumbano
Tunawaombea ndugu zetu katika imani
CDAAB1A7-1F46-4812-9BE1-1FDB1940B0CC.jpeg
 
Sasa hapo hujaelewa nini mkuu? Biblia ni elimu ya kiroho inahitaji Roho Mtakatifu ili upaswe kuelewa. Wewe unatumia HUMAN INTELLIGENCE, HI ndio maana huelewi unahitaji DI, DEVINE INTELLIGENCE ili upaswe kuelewa maandiko. Fuatana na mimi:

Warumi 5:8, Yeremia 31:30, na Ezekieli 18:20 yanazungumzia masuala mawili tofauti ya kiroho. Yeremia 31:30 na Ezekieli 18:20 yanaweka wazi kanuni ya haki ya Mungu kwamba kila mtu anawajibika kwa matendo yake mwenyewe. Mungu hamhukumu mtu kwa sababu ya dhambi za baba yake wala hamhesabii baba dhambi za mwana wake. Kila mtu atasimama mbele za Mungu kwa yale aliyoyafanya yeye binafsi, na adhabu au thawabu itategemea maisha yake mwenyewe.

Kwa upande mwingine, Warumi 5:8 haisemi kwamba wanadamu wameondolewa wajibu wa dhambi zao au kwamba Mungu amebadilisha kanuni ya uwajibikaji binafsi. Badala yake, andiko hilo linaeleza upendo wa Mungu kwa wanadamu kwa kumtoa Yesu Kristo kuwa sadaka kwa ajili ya wenye dhambi. Yesu alikufa kwa hiari yake ili kutoa njia ya msamaha na upatanisho kati ya Mungu na wanadamu, ingawa dhambi zenyewe zilikuwa za wanadamu.

Hivyo, Yeremia 31:30 na Ezekieli 18:20 vinaeleza jinsi hukumu ya Mungu inavyofanya kazi kwa msingi wa uwajibikaji wa mtu mmoja mmoja, wakati Warumi 5:8 inaeleza jinsi Mungu alivyotoa njia ya neema na wokovu kwa wale wanaomwamini Kristo. Hivyo hakuna mgongano kati ya maandiko hayo; mawili yanaeleza haki ya Mungu katika kuhukumu dhambi, na lingine linaeleza upendo wa Mungu katika kutoa njia ya msamaha wa dhambi.

Nafikiri wengi hapa wanakosa Roho mtakatifu na kushindwa kuielewa Biblia. Labda ungefafanua kidogo;

Dhambi ambazo Yesu alizifia msalabani na kuzifuta kabisa ni zipi?
Nimeuliza hivyo kwa sababu umesema dhambi zitokanazo na matendo ya bindam hazijafutwa;
Kwa kuwa dhambi zote lazima zitokane na matendo ya binadamu; Sasa tunaomba utujuze dhambi ambazo hazijatokani na matendo ya binadam alizozifuta...???
 
👉Warumi 5:8 Yesu alikufa kwa dhambi zetu
👉Yeremia 31:30 Kila mmoja atakuja kwa kwa dhambi zake
👉Ezekiel 18:20 Dhambi ya mwana hataibeba baba na dhambi ya baba hataibeba mwana
Hauwezi kuelewa kitu kwa sababu hata mpangilio wa hivyo vitabu umeukosea.

Unasoma kama Quran hiyo.
Anzia kupanga hivyo vitabu kutoka agano la kale uje agano jipya utagundua kitu.

Umenielewa we mpiga mawe shetani😂😂😂😂😂😂
 
Kwa hiyo ulitaka kwasababu Yesu Kristu alikufa kwa dhambi zetu, basi wewe ndio uishi hovyo upendavyo mwisho wa siku ukaurithi uzima wa milele?

Unaonekana utakuwa unapenda vya dezo hata hapa duniani kwenye mambo mengine, pambana acha dhambi.
 
Mambo ya dini ukitumia akili ya kawaida huwezi ya elewa ni sawa na pombe tu huwezi ielewa pombe hadi uwe mlevi au mnywaji
 
Back
Top Bottom