Biblia na ukristo unanishngaza sana haueleweki.

Biblia na ukristo unanishngaza sana haueleweki.

👉Warumi 5:8 Yesu alikufa kwa dhambi zetu
👉Yeremia 31:30 Kila mmoja atakuja kwa kwa dhambi zake
👉Ezekiel 18:20 Dhambi ya mwana hataibeba baba na dhambi ya baba hataibeba mwana
Hakuna mtu duniani anaelewa vitabu vya dini, walioandika wenyewe hawaelewi.
 
Back
Top Bottom